Uwongo wa "camera 360"

Uwongo wa "camera 360"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Aisee kuna hii apllication kwenye simu za android inaitwa camera 360 inatudanganya saana kwenye mitandao ya jamii hususani instagram ... Na whatsapp ..mtu anaweka picha anang'aa vibaya mno ..lakini njoo kutana nae sasa ..vitu viwili tofauti ..
Its better to be really .. Tutakimbiana kwenye issue ya appointment .
Ni ushauri tu .v
 
Kuna app ya camera moja kwenye lumia inaitwa nokia glam me, ni balaa. Mtu bonge inakufanya uwe mwembamba kama miss

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kuna app ya camera moja kwenye lumia inaitwa nokia glam me, ni balaa. Mtu bonge inakufanya uwe mwembamba kama miss

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

hahaha hiyo ndio balaa zaidi .. @ Bulldog
 
Halafu kuna mijianaume inatumia hii camera ovyo kabisa
 
Kuna app ya camera moja kwenye lumia inaitwa nokia glam me, ni balaa. Mtu bonge inakufanya uwe mwembamba kama miss

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Wewe unafata unene au unaufuata utamu wake?
Fumba macho
 
mimi nshawah kukutana na manz flan tulikua tunachat ikabid nimuombe avue mask maana sura ilikua toft kabs
 
Acheni kulalamika tu kama Chadema, wekeni hizo picha basi ili tuamini mlichokiandika.
 
Back
Top Bottom