Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

mbaby kule mitaa yetu kumesanukaje? achana na kiranga na kiinglish chake cha wali bubu...twende ukacheke
Hahahaha daaah!

Unajua nimegundua kwa kupitia hapa hapa JF kwamba Watanzania wengi hawako makini na vitu/mambo ya usahihi hata kama ni madogo kiasi gani.

Hapo ukimhoji mwenyewe aliyeandika hivyo anaweza akakujibu 'lakini si umeelewa nilichomaanisha'.

Sasa huu utovu wa umakini huu ndiyo hupelekea kupuuza na mambo mengine ambayo kwa juu juu yanaweza kuonekana ni madogo lakini ni yenye athari kubwa endapo hayatazingatiwa.
 
Kuna aina mbili kuu za majanga, natural disasters, na negligence!.
Pasco.

Ngosha, hakuna kitu kama hicho. Janga (hazard) na maafa (disaster) ni matukio mawili tofauti. Katika majanga, kuna aina mbili: (i) majanga ya asili [natural hazard], na (ii) majanga yasababishwayo na shughuli za kibinadamu [anthropogenic hazard].

Ili tukio la janga lisababishe maafa lazima kuwe na (i) vulnerability {vulnerable society/individual}, (ii) exposure to risk, na (iii) exceeded capacity to respond.

Vilevile ili janga lifikie hatua ya kuitwa maafa kuna vigezo kadhaa lazima viwepo: (i) tukio hilo lazima lizidi uwezo wa nchi husika katika kukabiliana na janga hilo, (ii) janga hilo lazima lisababishe eneo husika kuomba msaada nje ya nchi, na (iii) tukio hilo lazima lipelekee kuitwa kwa hali ya dharura na kiongozi mkuu wa nchi.

Vigezo hivyo ndivyo vya msingi; ingawa kuna kituo cha masuala ya majanga, Centre for Research and Epidemiology of Disasters {CRED}, nacho kina vigezo vingine vya ziada, ambavyo ni: (i) watu zaidi ya 10 wawe wamefariki, na (ii) watu zaidi ya 100 kuwa wamejuruhiwa. Hivi vigezo pamoja na vile vya hapo juu ndivyo upelekea janga kuitwa maafa na kuingizwa kwenye database iitwayo Emergency Events Database (EM-DAT), pale pale CRED.

Hivyo ngosha, negligence si aina ya janga ama maafa. Ila negligence yaweza kusababisha janga kuwa maafa kutokana na negligence kupelekea kuongezeka kwa vulnerability, exposure na pia kupungua kwa uwezo wa kukabiliana na janga husika.

Ni hayo tu.
 
Kwa kweli mkataba huu ni mbovu kuliko!!! Katika sheria za mikataba mtu mwenye asilimia zaidi ya hamsini kwenye mkataba husika ndio mwenye maamuzi. Ndiyo maana NHC wamebaki kuduwaa na wanasema watachunguza. Swali ni ujenzi wa ghorofa unahusu usalama wa watanzania, inakuwaje NHC wanaingia ubia wa kisanii? Hapa NHC wanatakiwa walipe "damages" kwa familia za marehemu. Mkurugenzi wa NHC hapa lazima awajibike!!!

...unajua nini Nguto.......jaribu kupitia majibu aliyotoa NKM kutokana na maswali ya Joshi Kanji......utagundua kwamba....NHC generally walikuwa wanasubiri mapato kutokana na mradi husika.......whether mradi ungekamilika na athari nyingine......hiyo sio concern yao........yaani kweli kwa "uchumi rahisi" mwenye ardhi anakuwa mnyonge kwa ardhi yetu (maana ardhi ya NHC ni mali ya wananchi) na kumpa mwekezaji......yaani matatizo yale yale ya mikataba tuliyonayo kwenye migodi na huko baharini wanakotafuta mafuta.......design ya mikataba ile ya kifisadi imeletwa NHC.....waliokuja kuirithi wanaiangalia tu......
 
Hold up....janga ni hazard? Na tragedy ni nini sasa?

Ngosha, katika msamiati wa kiswahili hazard ni janga.

Pengine maafa (disaster) linaweza kusemwa kama ni tragic event.

Kwa misamiati yetu ya kiswahili, pengine neno tragedy laweza kukosa neno moja ambalo laweza kuwa neno sahihi.

Kwa kiingereza ni rahisi sana kutofautisha haya maneno.
 
Joshi, NKM stands for Nehemiah Kyando Mchechu, and in future when you see such an ID just know that it's Mchechu responding on issues or commenting! I am not a person who will hide is ID since I believe in truth and transparent! Neither do you have so many people at my level in Public Sector and non political who stands by their ID's.

Just to prove you wrong I am now at the accident scene as I am writing to you and we are not more than 70 people, and I was hear yesterday up until 01:30am! I am following through all the comments in different threads, actually I have always been a good follower of JamiiForums but I was never a contributor! I think the series of threads which most are misleading without facts have pushed me to consider responding to all these issues. However, by obviously fact I do not expect to become an active member on contributions!

For now I have opted to focus on the task at hand here at the accident scene, and I will try to respond on these few in a very brief in the coming two days either by posting a thread or by calling a press conference where you can come and ask as many questions as you want and we will respond to all of them and I hope it Will be at your satisfactory level and to others as well! There is nothing to hide here, no politics, no partisans side and no blax2! I am sure the press conference has always enough participants who are members of JamiiForums and they gone through all the posted comments and certainly they will be looking for answers by asking the same sort of questions!

Thanks and stay relaxed till then!

Just another shameless unrepentant government official. A CEO of the NHC, a corporation succeeding by TV show! The same trying to convince everyone that their buildings reflect value for money. Sorry Mr CEO what has happened will in all sense prove your incompetence in making a Corporation regardless of any scapegoat to be your shield. Loudly, YOU ARE A FAILURE!

You will never be a good CEO by attending the scene area a 1000xs.

And you call this an accident! Are you sure this qualifies to be an accident? You mean it was unforeseen, unplanned? Unrecognisable?

Dear JF members what qualifications does this man holds to support him, being where he is?

Yawezekana ni lile kosa la Luhanjo kudhani kila ampendaye ndiye anayefaa kuongoza NHC. Phew!

 
Ngosha, katika msamiati wa kiswahili hazard ni janga.

Pengine maafa (disaster) linaweza kusemwa kama ni tragic event.

Kwa misamiati yetu ya kiswahili, pengine neno tragedy laweza kukosa neno moja ambalo laweza kuwa neno sahihi.

Kwa kiingereza ni rahisi sana kutofautisha haya maneno.

Hazard = a thing that can be dangerous or cause damage

Tragedy = (1)a very bad event that causes great sadness and often involves someone's death

(2)a very sad, unfortunate, or upsetting situation : something that causes strong feelings of sadness or regret

Hazard haiwezi kuwa janga. Una TUKI hapo ulipo? Hebu cheki uone tafsiri yake.
 
NYIE MNA chuki na huyo mkurugenzi wa nhc .....shida mnaiona kwake tu?.....

Huu siyo wakati wa kumpenda mtu. Ni wakati wa kuwajibika period!

Awe amesoma au la awe na mafanikio au la! Mbele yetu ni mkasa unaoonyesha amefeli. Hii ni nchi ya wasomi laki 4 vyuo vikuu, siyo kucheka na mtu kama huyu eti tumpende!
 
Asante Ogah! Yaani inaniuma sana kuona watanzania wanakufa kizembe kwenye nchi yao na watu wasiojali uhai wa watu! Maana kwa akili ya kawaida tu isiyoenda shule foundation ya ghorofa tisa haiwezi kuhimili ghorofa 16!! Kuongezea hapo nondo milimita sijui 16 ndio walitumia plus mchanga kibao!! Hao wahusika wafungulie mashtatka ya mauaji sio uzembe!!!
...unajua nini Nguto.......jaribu kupitia majibu aliyotoa NKM kutokana na maswali ya Joshi Kanji......utagundua kwamba....NHC generally walikuwa wanasubiri mapato kutokana na mradi husika.......whether mradi ungekamilika na athari nyingine......hiyo sio concern yao........yaani kweli kwa "uchumi rahisi" mwenye ardhi anakuwa mnyonge kwa ardhi yetu (maana ardhi ya NHC ni mali ya wananchi) na kumpa mwekezaji......yaani matatizo yale yale ya mikataba tuliyonayo kwenye migodi na huko baharini wanakotafuta mafuta.......design ya mikataba ile ya kifisadi imeletwa NHC.....waliokuja kuirithi wanaiangalia tu......
 
Asante Ogah! Yaani inaniuma sana kuona watanzania wanakufa kizembe kwenye nchi yao na watu wasiojali uhai wa watu! Maana kwa akili ya kawaida tu isiyoenda shule foundation ya ghorofa tisa haiwezi kuhimili ghorofa 16!! Kuongezea hapo nondo milimita sijui 16 ndio walitumia plus mchanga kibao!! Hao wahusika wafungulie mashtatka ya mauaji sio uzembe!!!


Mkuu Nguto watu tukisema tunaambiwa tuna chuki binafsi!
 
Hazard = a thing that can be dangerous or cause damage

Tragedy = (1)a very bad event that causes great sadness and often involves someone's death

(2)a very sad, unfortunate, or upsetting situation : something that causes strong feelings of sadness or regret

Hazard haiwezi kuwa janga. Una TUKI hapo ulipo? Hebu cheki uone tafsiri yake.

Kweli ngosha, hazard kwa kiswahili fasaha ni athari; tragedy ni janga; na disaster ni maafa. Ingawa disaster laweza kuwa tragic event.
Lakini jambo la kusikitisha ni uhaba wa misamiati sahihi ya kiswahili kwa maneno hayo. Kwani hata neno 'effect' kwa kiswahili ni athari.

Ndiyo maana nikasema maneno hayo ukiyazungumza kwa lugha ya kiingereza ndiyo yataleta maana halisia.
 
Una "insure" nini wakati jengo halijaisha? Nadhani una "insure" pale ambapo jengo limekamilika na thamani yake inajulikana. Sidhani kama unaweza ku "insure" jengo ambalo ndio liko kwenye ujenzi. Labda mtaalamu wa bima atusaidie. Hapa niliposema NHC walipe "damages" ni kwa sababu ya uzembe wao wa kuingia mkataba mbovu uliosababisha maisha ya watu ambao maskini walienda kutafuta riziki kwa ajili ya familia zao. Ile siku ilikuwa ya mapumziko lakini wakaona ngoja waende wakatafute chochote. Pengine nyumbani haukukuwa na kitu na hiyo ikawa fursa nzuri kwao. Likin badala yake ni adha kubwa sana kwa familia zao. Hii inasikitisha sana.
nhc watalipa damage kwa familia kwani huo mjengo haukuwa na insuarance?
 
Wadosi wengi ni crooks na washatuumiza sana ili wapige pesa na rushwa ni silaha kubwa za matatizo mnaleta mbwembwe nyingi wakati wa ajali, NHC, Serikali na Mdosi wote wanahusika kama kila jiwe litageuzwa.

Tuendelee kumshukuru mungu kwa hili pia manake labda tutaamka viumbe sie ambao mpuuzi mmoja hata akinunuliwa Verosa yuko radhi kuuza au kuwaua watu wake. Michezo hii kila idara ya serikali kama humu ndani jembe mtataka liitwe jembe.

Na mtakuta hizi kampuni zipo BRELA na TIC wanampaka exemption ya vifaa na robo wamejengea na vilivyobaki wameuza.
 
Ogah umeua aisee!! Lakini pamoja na hayo magumashi dogo mpaka sasa amefanya vizuri tukubali hilo ili mjadala wa uwajibikaji wake usikwepe huu ukweli!

Hukumu ni kwa hili lililo mbele yetu.
Naamini walioko gerezani pia wametenda mengi yaliyo mema.
 
hicho kiingereza chako kinakusaidia nini? kwa kiswahili chake kafanya mengi makubwa

Huyu hapa hajaelewa somo kabsaaaaa.

Inabidi arudi Alif.

Hajaelewa kwamba somo lishabadilishwa, kutoka kwenye Kiingereza kwenda kwenye "attention to detail".

Yeye kabaki anabung'aa tu na idiocratic oversimplification ya "Kiingereza vs. Kiswahili".
 
Hahahaha daaah!

Unajua nimegundua kwa kupitia hapa hapa JF kwamba Watanzania wengi hawako makini na vitu/mambo ya usahihi hata kama ni madogo kiasi gani.

Hapo ukimhoji mwenyewe aliyeandika hivyo anaweza akakujibu 'lakini si umeelewa nilichomaanisha'.

Sasa huu utovu wa umakini huu ndiyo hupelekea kupuuza na mambo mengine ambayo kwa juu juu yanaweza kuonekana ni madogo lakini ni yenye athari kubwa endapo hayatazingatiwa.

Halafu ukiliandika hili, kwa wigo wa kuangalia umakini, wengine hawaelewi wanajifunga katika dichotomy ya Kiingereza vs. Kiswahili kama huyo hapo juu.

Kumbe mtu hana umakini tu, lugha yoyote anayotumia.Iwe Kiingereza au Kiswahili.
 
Just another shameless unrepentant government official. A CEO of the NHC, a corporation succeeding by TV show! The same trying to convince everyone that their buildings reflect value for money. Sorry Mr CEO what has happened will in all sense prove your incompetence in making a Corporation regardless of any scapegoat to be your shield. Loudly, YOU ARE A FAILURE!

You will never be a good CEO by attending the scene area a 1000xs.

And you call this an accident! Are you sure this qualifies to be an accident? You mean it was unforeseen, unplanned? Unrecognisable?

Dear JF members what qualifications does this man holds to support him, being where he is?

Yawezekana ni lile kosa la Luhanjo kudhani kila ampendaye ndiye anayefaa kuongoza NHC. Phew!


Rais wa nchi kashasema "hii ni kazi ya mungu tu" baada ya wachimbaji madini kufukiwa ardhini, huku hakuna hata preventative measures zilizochukuliwa.

Itakuwa huyu kidampa wake?

Tanzania hatuna meritocracy, kijamaa kimewekwa wekwa tu kiajabu ajabu. Kumbe achilia mbali mambo ya technical nitty gritty huko. Kujieleza tu tabu.

Lakini tutategemeaje ajue kujieleza na kuwa competent wakati rais wake mwenyewe hakuchaguliwa kwa competency?

Mchakato wa kumteua kuwa CEO hauko transparent na haujali competency.

Mtu kama huyu anaomba kazi kuwa CEO hata humfanyii oral interview, unaweza kupoteza muda tu. Unamfungia chumbani na kalamu na karatasi, unampa dakika 30 aandike insha anataka kuwa CEO ili afanye nini (ukimwambia aandike nyumbani ataandikiwa, na hakikisha hana simu asipate msaada wa nje).

Unaenda chumba cha pili kufanya mkutano mwingine.

Ukirudi baada ya dakika 30 ukisoma insha tu unajua huyu hata raundi ya pili kumpeleka ni kupoteza muda tu.

Leo ndo mtu wa aina hii kaja kuwa CEO!

Kikwete anaendeleza tu appointees wake kuwa wa ajabu ajabu kama yeye.
 
Back
Top Bottom