Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

By the way joshi, hukuona kama mawaziri husika kutoka taasisi zinazohusika wanapaswa kujiuzulu kama ulivyotolea mfano mfu wa japani. Ndo maananasema unachuki binafsi na huhangaiki na system change badala yake vidagaa. Joshi haya ni matatizo ya uelewa mdogo kuataka kuutumia kuwa mtaalamu wa kila kitu.

ndo maana joshi nakuambia ya kuwa unachuki binafsi. Kwanini usiache sheria ichukue mnkondo wake? Mbona hujasema mayor na mkurugenzi wa ilala kwa majina yao wawajibike, mbona hujawasema erb kwa majina yao binafsi ili wawajibike. Hivi unajua majukumu ya hizo taasisi? Hivi unafahamu ninani anatoa kibali kwa kila hatua ya ghorofa ikikamilka? Hivi kwanini basi tunahitaji kuwa na professional consultants kwenye miradi. Na unasema nini kuhusu hawa walioharibu taaluma yetu kwa kutengeneza matope na kuliita ghorofa.

Narejea tena ni bahati mbaya nchi imeruhusu watu kama ninyi msioweza kujadili system badala yake mnajikita kujadili watu na matukio. Nasasa utasubiri tukio lingine safari hii la kuhusu umeme iliuanze kujadili tena mtu mwingine tukio. Iangalie system kwa upana wake na kujiuliza juu ya ajira za vijana, makazi ya watu, vifo vinavyokwepeka vya akina mama na watoto, huduma mbovu za mahosptalini na migomo ya madaktari, elimu mbovu na molari iliyochini ya walimu. Hivi unafikiri hata ikiwa raisi katika nchi yenye form four failures wengi utaweza kuongoza?!

Fikirisha kichwa kaka, na kwa taratibu hizi za siasa chafu na chuki ya mtu mmoja kuibebea bango na kuitwika nchi ni jambo la hatari sana na hususani kutoka kwa watu tunaowafahamu vizuri kama aka joshi! By the way na hii kasi ya wachina kuja bongo na kuzaa na dada zetu na siasa za majitaka tulizonazo basi tusubiri mpaka 2025 nchi itakapoongozwa na chotara wa kichina ndo atufundishe namna ya kujadili maendeleo na kutatua matatizo kwa kujadili masuluhusho badala ya chuki tupu!

Na kama unazijua vizuri sheria basi usishangae hata huyu mdosi akiwa nje ndani ya siku chache zijazo, alimradi kama tu aliajiri wataalamu sawia, kwani wataalamu ndo wanatakiwa na wanawajibika kusimamia quality ya kazi kwa kufuata sheria.
 
Ndo maana Joshi nakuambia ya kuwa unachuki Binafsi. Kwanini usiache Sheria ichukue Mnkondo wake? Mbona hujasema Mayor NA Mkurugenzi wa Ilala kwa majina yao wawajibike, Mbona hujawasema ERB kwa majina yao Binafsi ili wawajibike. HIVI UNAJUA majukumu ya hizo Taasisi? HIVI unafahamu ninani anatoa Kibali kwa kila Hatua ya ghorofa ikikamilka? HIVI Kwanini basi tunahitaji kuwa NA Professional consultants kwenye Miradi. NA unasema nini kuhusu Hawa walioharibu taaluma yetu kwa kutengeneza matope NA kuliita ghorofa.

Sasa kama ningewataja hao kwa majina na kumuacha Mchechu mtu mwingine angeniuliza mbona Mchechu umemuacha! Hakuna mahala niliposema hao wengine hawahusiki bahati wengi washakamtwa na kesi zipo mahakamani, tatizo lako ni kutajwa Mchechu tu?

Narejea tena ni Bahati Mbaya nchi imeruhusu watu Kama ninyi msioweza kujadili system badala yake mnajikita kujadili watu NA Matukio. Nasasa utasubiri tukio lingine safari hii la kuhusu umeme iliuanze kujadili tena mtu mwingine tukio. Iangalie system kwa upana wake NA kujiuliza juu ya Ajira za vijana, Makazi ya watu, vifo vinavyokwepeka vya akina mama NA Watoto, Huduma Mbovu za mahosptalini NA Migomo ya madaktari, Elimu Mbovu NA molari iliyochini ya walimu. HIVI unafikiri hata ikiwa Raisi katika nchi yenye form four failures wengi utaweza Kuongoza?!

Bahati mbaya zaidi kuliko zote ni nchi imeruhusu watu wa aian yako kutetea uzembe unaosababibisha watu karibu 40 kuuawa.Safari nyingine lile jengo jirani linalo yumba kama miti ya mianzi litapoanguka bado utakuja kumtetea Mchechu wako bila soni!.

Fikirisha kichwa kaka, NA kwa taratibu hizi za siasa chafu na chuki ya mtu mmoja kuibebea bango NA kuitwika nchi ni Jambo la hatari sana NA hususani KUTOKA kwa watu tunaowafahamu vizuri Kama AKA Joshi! By the way NA hii kasi ya wachina KUJA bongo NA kuzaa NA dada zetu NA siasa za majitaka tulizonazo basi tusubiri mpaka 2025 nchi itakapoongozwa NA chotara wa kichina ndo atufundishe namna ya kujadili maendeleo NA kutatua matatizo kwa kujadili masuluhusho badala ya chuki tupu!

Hakuna siasa hapa incompetence ya rafiki yako imesababisha vifo vya takriban watu 40. Kama ndio kubeba bango yes, nitalibeba tena kwa sana na kama unavyodai unanijua ndio vizuri soon utanijua vizuri zaidi. Bora waje kututawala "machotara" wa kichina kuliko wahindi wanamhonga rafiki yako Mchechu na kutuulia ndugu zetu.

NA Kama unazijua vizuri Sheria basi usishangae hata Huyu mdosi akiwa Nje ndani ya siku chache zijazo, alimradi Kama tu aliajiri wataalamu sawia, Kwani wataalamu ndo wanatakiwa NA wanawajibika kusimamia Quality ya Kazi kwa kufuata Sheria.

Ikiwa huyo "mdosi" kaweza kumhonga Mchechu "asiehongeka" sitoshangaa akiachiwa huko mahakamani vile vile. Hayo ndio mambo ninayoyapigana hapa rushwa iliokithiri na kuua watu wasio na hatia
 
Joshi, Sisi wengine tunakufahamu vizuri, NA Mimi nilifikiri baada ya kuoa Sasa utakuwa NA Busara NA pia Kijana Riziki! Lakini Bado Nakuona ukiwa na umbeya na majungu yaleyale ya tulipokuwa shule! Umeshindwa hoja NA kujibu maswali ya Msingi Sasa unakimbilia rushwa! Haya tuambie wewe alikugawia shillingi ngapi? Maana nyie wengine hamkujua hata thamani ya miili yenu sembuse ungekuwa kwenye nafasi nyeti kama ile! Kuna watu tunawapa kuheshimu walao kidogo na ni Hekima kuwapa heshima zao walao kidogo! Tusiwe Taifa la Makaa yanayovutana iliyote yafe!
Msitake kukera watu hapa tukamwaga mboga NA ugali bure NA matokeo yake tukaharibu na ndoa za Maholo NA mshiko!
 
Ni bora ya hawa wameamua kudeal na system ingawa inaweza isiwe kwa undani wake na haujasikia matusi, chuki, wala harufu ya visasi! Civilisation ilianzia kwa mainjinia, lakini He She wangu yeye ni bango la mtu tu! Sima kidogo hiyo

TAMKO LA TAASISI YA WAHANDISI TANZANIA KUHUSU KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA 16 LILILOKUWA LINAJENGWA JIJINI DAR ES SALAAM

1. UTANGULIZI (ANGALIZO)

Kabla ya kutoa tamko lake, Taasisi ya Wahandisi Tanzania inatanguliza ufafanuzi ufuatao kwa ajili ya kuongeza uelewa na kuzuia upotoshaji wa habari na/au uchanganyaji wa majukumu ya taasisi mbalimbali katika tasnia ya uhandisi na ukandarasi nchini Tanzania.

Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Ujenzi iliyoundwa kwa lengo la kusajili na kusimamia kazi za wahandisi nchini Tanzania. Lengo la serikali ni kulinda maslahi ya wananchi na watumiaji wa huduma za kihandisi.

Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Ujenzi iliyoundwa kwa lengo la kusajili na kusimamia kazi za makandarasi nchini Tanzania. Lengo la serikali ni kulinda maslahi ya wananchi na watumiaji wa huduma za makandarasi.

Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) ni jumuiya binafsi isiyokuwa ya kibiashara iliyoundwa na wahandisi wenyewe kwa lengo la kuhamasisha, kujenga na kuendeleza taaluma ya uhandisi na stadi za wahandisi nchini Tanzania na kwingineko.

2. KUPOROMOKA KWA JENGO

Tarehe 29 Machi, 2013, jengo lenye ghorofa 16 lililokuwa linajengwa kwenye mtaa wa Indira Gandhi jijini Dar es Salaam liliporomoka na kuua watu 36 na kujeruhi watu wengine kadhaa. Tukio hili siyo la kwanza kutokea jijini Dar es Salaam katika kipindi kisichozidi miaka 10, kwani mwaka 2006 jengo lililokuwa linajengwa Chang’ombe liliporomoka na mwaka 2009 jengo la ghorofa 10 lililokuwa linajengwa eneo la mtendeni jijini vilevile liliporomoka. Katika matukio mawili ya mwanzo serikali iliunda Tume kuchunguza vyanzo vya ajali hizo.

3. TAMKO LA TAASISI

Taasisi ya Wahandisi Tanzania kwa niaba ya Wahandisi wote nchini na kwengineko inatamka kama ifuatavyo:

(a) Kuporomoka kwa jengo lililokuwa linaendelea kujengwa jijini Dar es Salaam kumepokelewa kwa mshangao na huzuni kubwa. Wahandisi wanatoa pole kwa serikali kupitia kwa Mkuu wa Mkoa. Aidha wahandisi wanatoa pole kwa wafiwa na watanzania wote kwa ujumla kutokana na msiba huu mkubwa. Vilevile taasisi inawashukuru wananchi na waandishi wa habari kwa mchango wao katika shughuli za uokoaji kwenye ajali hii.

(b) Taasisi inaipongeza serikali kwa juhudi zake za kupanga na kusimamia uokoaji katika ajali hiyo. Aidha taasisi inaipongeza serikali kwa kuziamini na kuzikabidhi taasisi zake za kitaalamu (yaani ERB na CRB) jukumu la kuunda jopo la kufanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kuporomoka kwa jengo hilo. Ni matumaini ya Taasisi ya Wahandisi Tanzania kwamba jopo litakaloundwa litajumuisha wataalamu makini watakaofanya uchunguzi wa weledi na kina na kuzingatia maslahi ya Taifa letu bila kumwonea au kumpendelea mtu au taasisi.

(c) Kwa kuwa Taasisi ya Wahandisi Tanzania ni msemaji wa wahandisi kama wanataaluma ndani na nje ya serikali, Taasisi ya Wahandisi Tanzania inawajibika kusaidiana na serikali katika kupata ufumbuzi wa kudumu na kuondokana na kuporomoka kwa majengo na majanga mengine katika sekta ya ujenzi. Aidha umma wa watanzania unatagemea kupata tamko la wahandisi kuhusu suala hili.

(d) Ingawa kila mtu anataka aelezwe chanzo cha kuporomoka kwa jengo hilo sasa hivi, Taasisi inasema kwamba kufanya hivyo haraka haraka bila kupata taarifa za kutosha ni kuendelea kushughulikia matokeo badala ya kupata kiini kinacholeta matokeo hayo. Kutokana na mtazamo huo, Taasisi imeunda Kamati ya Wataalamu saba kusaidiana na ile Kamati ya Serikali kuchunguza chanzo cha kuporomoka kwa jengo kwa namna tofauti. Badala ya kujikita kwenye uchunguzi wa tukio lenyewe, Kamati ya Taasisi itachunguza sheria na mfumo wa sekta ya ujenzi wa majumba kwa jumla ili kubaini kiini cha matokeo yatakayopatikana katika uchunguzi wa tukio. Kamati ya Taasisi itakusanya na kuchambua taarifa kuhusu;

i) Sheria na taasisi zenye majukumu ya kisheria kwenye ujenzi wa majumba. Orodha ya Taasisi hizi ni ndefu ikiwa ni pamoja na; Halmashauri miji/majiji, OSHA, CRB, AQRB, NCC, TBA, NHC, NEMC, PPRA, Agensi ya Zimamoto na uokoaji na Wizara ya Ardhi.
ii) Viwango na kanuni kwenye sekta ya ujenzi wa majumba hapa nchini.
iii) Taratibu za kazi katika sekta ya ujenzi kuanzia pale mtu anapopata idhini ya kujenga nyumba mpaka nyumba inapokuwa tayari kwa watu kuishi.
iv) Masuala ya usanifu na usimamizi wa ujenzi wa nyumba, wahusika wake na mgawanyo wa kazi.
v) Ripoti za uchunguzi wa matukio kama haya na hatua iliyokwishafikiwa katika utekelezaji wa mapendekezo husika.
vi) KUPOROMOKA KWA JENGO NA UHUSIANO WAKE NA MAMBO YALIYOTAJWA HAPO JUU.

4. MWISHO

(a) Kamati ya Taasisi itaongozwa na Eng. Ladislaus Salema ambaye ni Rais mstaafu wa Taasisi. Kamati imepewa siku 14 kumaliza kazi yake.

(b) Taasisi inawaomba Watanzania wote siyo kuwa na subira, bali pia kushirikiana na Kamati zetu ili kupata kiini na dawa ya maradhi yanayoendelea kujitokeza kwenye sekta yetu ya ujenzi wa majumba.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika

Imetolewa na
Eng. Dk. Malima M.P. Bundara
Rais wa Taasisi

Reply Report Post
 
Ni bora ya hawa wameamua kudeal na system ingawa inaweza isiwe kwa undani wake na haujasikia matusi, chuki, wala harufu ya visasi! Civilisation ilianzia kwa mainjinia, lakini He She wangu yeye ni bango la mtu tu! Sima kidogo hiyo

Katika hili tukio kuna lawama za kutosha hapa za kusambazwa kwa wengi na huyo Mkurugenzi wa NHC aepukiki kupokea zake za uzembe wa investment na kujua shirika lake linafanya biashara na akina nani.

Kama unafanya biashara yeyote katika vitu ambavyo unatakiwa uvipe priority ni risk assesment on your investment and the consequences that might arise ambazo zina ambatana na investment zako (on this instance one of them unfortunately is the cost of lives).

Therefore hatakama wao hawakuwa wajenzi au yeye hana background ya ujenzi surely he must have a team of civil engineers to make sure their money is in safe hands and these people are responsible to report to the CEO on the quality of the building maana yakitokea yakutokea kama yaliyotokea shirika lake nalo linakuwa under scrutiny, sasa anajua hela yao inapowekezwa au ndio CEO asiejuwa his responsibilities.

Kama katoa ma-experts ndani ya shirika na kuweka watu wake inaonesha ni jinsi gani asivyo makini kwenye kuendesha shirika na kuifahamu sector anayo fanya biashara ndio maana wapo kwenye investment mkenge in the first place kwa sababu ya faida tu.

Mashirika makubwa siku hizi yanatakiwa kuwa responsible and the CEO has to have the knowledge of the overall business and its activities. Sasa wameingia ubia na shirika ambalo limevunja sheria na matakwa ya kibali cha ujenzi bila yeye kujua ina maana shirika lina mshinda kwa kuwa aelewi where all the money is being invested.

It is evident jamaa hajui afanyacho, kuongezea tu hili shirika ni la serikali linatakiwa kutengeneza faida as any business entity but with political conscious kama hawana nyumba ambazo zinaweza kuwa afforded na average government employee the dude needs to go, si kila shirika lipo for maximum profits.

Kupachikana kuna tu-cost sana kama taifa.
 
katika hili tukio kuna lawama za kutosha hapa za kusambazwa kwa wengi na huyo mkurugenzi wa nhc aepukiki kupokea zake za uzembe wa investment na kujua shirika lake linafanya biashara na akina nani.

Unapaswa ujielemishe ppp na uliza kama partiner haruhusiwi kusimamia. Pia soma ppp act and regulations zake za hapa tanzania zinasemaje.

Kama unafanya biashara yeyote katika vitu ambavyo unatakiwa uvipe priority ni risk assesment on your investment and the consequences that might arise ambazo zina ambatana na investment zako (on this instance one of them unfortunately is the cost of lives).

Sawa kabisa, na kwenye subiri uone nani atalipa fidia kama zitadaiwa kwa ktegemeana na mkataba. Unapompa wajibu mwekezaji kwa masharti ya kutimiza sheria zote na kuajiri wataalamu, hiyo unakuwa umehamisha liability.

Therefore hatakama wao hawakuwa wajenzi au yeye hana background ya ujenzi surely he must have a team of civil engineers to make sure their money is in safe hands and these people are responsible to report to the ceo on the quality of the building maana yakitokea yakutokea kama yaliyotokea shirika lake nalo linakuwa under scrutiny, sasa anajua hela yao inapowekezwa au ndio ceo asiejuwa his responsibilities.

Come on, huhitaji kuwa na background mjenzi kuwa ceo wa nhc, unachotakiwa ni kuwa na elimu ya ujenzi na business management. Elimu ya ujenzi haiishi kupanga matofali, hiyo ni sehemu ndogo tena ya utekelezaji! Elimu ya real estate inaanzia kwenye re finance, re investiment, re management, project management etc.

Kama katoa ma-experts ndani ya shirika na kuweka watu wake inaonesha ni jinsi gani asivyo makini kwenye kuendesha shirika na kuifahamu sector anayo fanya biashara ndio maana wapo kwenye investment mkenge in the first place kwa sababu ya faida tu.

Shirika lilikuwa na wataalamu technical alipoingia mwaka 2010 nasasa anazaidi ya 100 wengi wao wakiwa ni vijana. Sasa unachosema katoa experts kwa nyumba zipi walizojenga kabla just in the past ten years. Inawezekana ni mjomba wako aliyepelekwa mikoani kwenye miradi.

Mashirika makubwa siku hizi yanatakiwa kuwa responsible and the ceo has to have the knowledge of the overall business and its activities. Sasa wameingia ubia na shirika ambalo limevunja sheria na matakwa ya kibali cha ujenzi bila yeye kujua ina maana shirika lina mshinda kwa kuwa aelewi where all the money is being invested.

Kweli unaweza kudadisi overall business knowledge kuhusu jamaanna hususani kwa vijana wa kitanzania, say under 40 years. Tutajie wa kwako na utuambie ameongoza shirika gani au mashirika mangapi. Huyu alikuwa ceo kabla serikali haijamchkua, kwa hiyo ana uzoefu wa both pulic na private sector.

It is evident jamaa hajui afanyacho, kuongezea tu hili shirika ni la serikali linatakiwa kutengeneza faida as any business entity but with political conscious kama hawana nyumba ambazo zinaweza kuwa afforded na average government employee the dude needs to go, si kila shirika lipo for maximum profits.

Ni mtazamo wako tu, na mdomo na kichwa ni vyako

kupachikana kuna tu-cost sana kama taifa.

maoni yako
 
Joshi, Sisi wengine tunakufahamu vizuri, NA Mimi nilifikiri baada ya kuoa Sasa utakuwa NA Busara NA pia Kijana Riziki! Lakini Bado Nakuona ukiwa na umbeya na majungu yaleyale ya tulipokuwa shule! Umeshindwa hoja NA kujibu maswali ya Msingi Sasa unakimbilia rushwa! Haya tuambie wewe alikugawia shillingi ngapi? Maana nyie wengine hamkujua hata thamani ya miili yenu sembuse ungekuwa kwenye nafasi nyeti kama ile! Kuna watu tunawapa kuheshimu walao kidogo na ni Hekima kuwapa heshima zao walao kidogo! Tusiwe Taifa la Makaa yanayovutana iliyote yafe!
Msitake kukera watu hapa tukamwaga mboga NA ugali bure NA matokeo yake tukaharibu na ndoa za Maholo NA mshiko!

Naona sasa hoja zimeisha vimebaki vioja!, wenye akili zao washakustukia unataka kumuokoa rafiki kwa kumjadili mtoa hoja badala ya hoja. Kwa hiyo sasa mada ni Joshi Kanji ni nani, kaoa karibuni, kijana sio riziki, (mkorogo) m-mbeya ana majungu yale yale alipokuwa shule nk. Endelea kuporomosha matusi tu, nachelea kuwa usije pata ban ukatunyima uhondo wa mjadala kwani michango yako inaipa uhai sana hii mada, chonde chonde acha matusi turudi kwenye hoja.

Hii inanikumbusha msemo wa kiswahili ikiwa unakimbizwa na mtu halafu ghafla anaanza kuporomosha matusi jua kishaishiwa pumzi huyo, naona hii ndio hali uliyonayo ndugu yangu.

Nataka niku hakikishie huni fahamu kabisa kama ambavyo mimi siku fahamu wewe!. Eti nina majungu na umbea ule ule toka tulipokuwa shule! Naku challenge na kuku ruhusu nitaje kwa jina na shule niliyo soma. Acha mikwara mbuzi usitake kubadilisha mada toa hoja. Kama kweli umekereka mwaga huo ugali na mboga watu wasasambue hapa.

Mimi nipo Tunduma huku naendeleza harakati za kukomalia haki yangu ya kuchinja usipate taabu kuni nasibisha watu nisio wajua.

Ndio kuna rushwa kwenye sakata hili tena rushwa kubwa, muulize Mchechu kapewa kiasi gani na Ladha ili wajenge ghorofa kutumia spoku za baiskeli na mitete kama nondo?
 
Kweli Hawa waheshimiwa WOTE wameishiwa Hoja sasa NA Masuala NA Maswali ya msingi hayajiibiwi. Natumaini WENYE Mamlaka wamesoma hizi threads NA vyombo vyao inabidi vitafute ukweli NA kuufanyia Kazi.

Rudi kwa jina la awali la KUCHE na umtaje Joshi Kanji ni nani acha kuruka ruka na kubadili majina utoto huo.

Nataka niku hakikishie jamaa yako Mchechu hatofanywa chochote hivyo usiwe na khofu mkate wako bado upo tu, na hao "WENYE mamlaka" hawana haja ya kusoma hapa, uozo uliopo kwenye serikali yetu tunaujua hivyo kitumbua chako ndugu yangu KUCHE hakijaingia mchanga.
 
jamaa kashindwa kujibu hoja zangu za msingi, na zaidi sana ni kulalama tu!

Kweli Hawa waheshimiwa WOTE wameishiwa Hoja sasa NA Masuala NA Maswali ya msingi hayajiibiwi. Natumaini WENYE Mamlaka wamesoma hizi threads NA vyombo vyao inabidi vitafute ukweli NA kuufanyia Kazi.
 
jamaa kashindwa kujibu hoja zangu za msingi, na zaidi sana ni kulalama tu!

NA imekuumbua mpaka unajijibu mwenyewe.

Hoja yako "ya msingi" iko wapi hiyo ambayo haijajibiwa?

Ungejua maana ya neno "msingi" usingeweza kutetea NHC inavyojenga migorofa kama minara ya babeli bila msingi.
 
Unapaswa ujielemishe ppp na uliza kama partiner haruhusiwi kusimamia. Pia soma ppp act and regulations zake za hapa tanzania zinasemaje.
Mbona umekazana sana na sheria za PPP as if that is the only legal obligation they had to deal with, Makampuni mengi leo yanabwana na kanuni za proffesioanl or industrial codes of conduct.

Kwa maana hiyo kitendo cha NHC kushindwa kujua the final product of their investment na kusababisha loss of lives as a partner on the venture, the business is also indirectly incriminated in the faults. Ndio maana nikwakwambia hata kama wao hakuwa na supervision role or day-day project management nevertheless they had to make sure the building is fit for its purposes as they are directly involved with the final product. Surely you must want to know what your partner is up to knowing you're the company with reputation regarless of your stake in the venture.

Sasa what measures had they taken to ensure the building was safe on their behalf, ina maana Nehemia doesn't value the cost, risk and associated with his/her customers. Most businesses operate on external suppliers or service providers but that doesn't mean they dont know their product. Ndio maana na wao wana kesi ya negligence vilevile as shareholders.

Sasa hapa sheria zimevunjwa wazi tu, wao wakati wana invest walijua ni ghorofa kumi na zimeongezeka walitaka kuona kibali kipya, walitaka kujua the durability of their product, apparently not. Sasa sijui wewe kwanini umekazana na hiyo PPP tu whereby there are so many stones left unturned.
Sawa kabisa, na kwenye subiri uone nani atalipa fidia kama zitadaiwa kwa ktegemeana na mkataba. Unapompa wajibu mwekezaji kwa masharti ya kutimiza sheria zote na kuajiri wataalamu, hiyo unakuwa umehamisha liability.
Mnaweza msilipe nyie but that doesn't let Nehemia and NHC of the hook for being ‘rogue traders' and investing tax payers with little value on their behalf. Ndio maana hela hiyo hiyo ya mlipa kodi imeenda kumuua mlipa kodi kisa NHC, where is the morality there?

Kwa maana hiyo huyu jamaa ni money fast ndio maana katumia muda mwingi kujaribu ku-cover his ground with the PPP escape route kuliko kutaka kujua quality of the final product and the welfare of his customers again a break of industrial code of practice.
Come on, huhitaji kuwa na background ya ujenzi kuwa ceo wa nhc, unachotakiwa ni kuwa na elimu ya ujenzi na business management. Elimu ya ujenzi haiishi kupanga matofali, hiyo ni sehemu ndogo tena ya utekelezaji! Elimu ya real estate inaanzia kwenye re finance, re investiment, re management, project management etc.
Well uitaji kuwa na elimu ya industial to be a good CEO but you must have a command business knowldge to be a good CEO, having said that a good investment is guided with an acronym SMART.

Stretching: Ok sio kosa kufanya biashara na wengine hili kukuza biashara, but as an organisations you need to know the reputation of your associates maana if things are to go wrong you will also be implicated, that part was a failure on NHC there were no risk assessments associate with the partener nor check-up of the business partner and his suppliers.

Measurable: Goes on two say some their partnership investments (NHC) are risk to their customers, already a know building exists in Morogoro because of the same PPP clause, which allowed a partner to go ahead on their own with project and the final product was nothing to be desired. The CEO knew about the existence of such problems, yet he still continues on the same philosophy of endangering his customers lives for the sake of profits.

Agreed: Apparently there is no emphasis on the business strategy desired to achieve efficient results. Responsible use of investment funds and giving taxpayers value for their money (it is a government managed organisation) hence the social responsibility should always be at the fore front of decision making. Watu wamekufa and many are injured someone needs to answer.

Realistic: Apparently he knew the existence of rogue traders in the industry but he dint bother to check with this investment, matter of fact he used laws that might remove the company from risks associated with his partners. Again customers are not at the fore front of their investment thinking, even with the chances associated with loss of lives. No risk assessment done.

Time: Hicho ndio anachojua kutafuta misifa ya kuonesha the amount of houses they have built within a short space of time, the need to shape up the organisation and have a clear view of its operation is not a priority of his if things go array there is PPP escape route. Hana tofauti na Mwakyembe one year no results out. Whereby shaping the HR requires more than one year in large companies.

Sasa hapa tatizo sio yeye kutokuwa na background ya ujenzi, tatizo he is just not a good decision maker on this type business, anaweza labda alikuwa mzuri on banking but not as a CEO of NHC.
Shirika lilikuwa na wataalamu technical alipoingia mwaka 2010 nasasa anazaidi ya 100 wengi wao wakiwa ni vijana. Sasa unachosema katoa experts kwa nyumba zipi walizojenga kabla just in the past ten years. Inawezekana ni mjomba wako aliyepelekwa mikoani kwenye miradi.
Sometimes experience counts ndio maana magorofa yalikuwa ayaanguki hovyo, vijana wanaweza wakawa na vision nyingine ya business strategy but lack the skills and art of dealing with rogue traders as in this instance na kujua wapi limitations za rushwa zilipo.

Halafu hizo tabia za kila mkikosolewa mtu ana personal vendetta mkome amuwajui watu humu. Wala nia na madhumini yao katika maisha yao ya sasa wala ya baadae au hata kama wanamjua mtu huko kwenye mashirika yenu.
Kweli unaweza kudadisi overall business knowledge kuhusu jamaanna hususani kwa vijana wa kitanzania, say under 40 years. Tutajie wa kwako na utuambie ameongoza shirika gani au mashirika mangapi. Huyu alikuwa ceo kabla serikali haijamchkua, kwa hiyo ana uzoefu wa both pulic na private sector.
What is the purpose of studying human resources in business management if you can not formulate a culture or strata you can monitor in today organisations si ndio maana ya vijana wa leo kuwa viongozi makini.

Au we unadhani kwanini Bob Diamond anayetua na chopper kazini anafukuzwa kazi kwa sababu ya uzembe wa banker mmoja tu ambae hata hajawahi kumuona kisa kutokuajua activities of his organisation and Barclays is a conglomerate sembuse NHC. Au unadhani kwa nini mtu kama Tony Hayward wa BP, aliambiwa a-resign kisa supplier/sijui service provider mmbovu ndio kasababisha mlipuko na faini ya billion 20 plus kwa BP, kwa kosa la partner in business.

Ni mtazamo wako tu, na mdomo na kichwa ni vyako
No ni mtazamo wa shirika zima objectives na wanao lilipia hilo shirika hili lifanye biashara ndio maana nakwambia not every business is for maximum profit and having the same strategies as private sector, what do you know about the purpose of government organisations and its priorities.

maoni yako
It is for everybody to see watu wanapachikwa sana bila ya merit ndio maana vitu vinafanyika ki uozo uozo.
 
Mbona umekazana sana na sheria za PPP as if that is the only legal obligation they had to deal with, Makampuni mengi leo yanabwana na kanuni za proffesioanl or industrial codes of conduct.

Kwa maana hiyo kitendo cha NHC kushindwa kujua the final product of their investment na kusababisha loss of lives as a partner on the venture, the business is also indirectly incriminated in the faults. Ndio maana nikwakwambia hata kama wao hakuwa na supervision role or day-day project management nevertheless they had to make sure the building is fit for its purposes as they are directly involved with the final product. Surely you must want to know what your partner is up to knowing you're the company with reputation regarless of your stake in the venture.

Sasa what measures had they taken to ensure the building was safe on their behalf, ina maana Nehemia doesn't value the cost, risk and associated with his/her customers. Most businesses operate on external suppliers or service providers but that doesn't mean they dont know their product. Ndio maana na wao wana kesi ya negligence vilevile as shareholders.

Sasa hapa sheria zimevunjwa wazi tu, wao wakati wana invest walijua ni ghorofa kumi na zimeongezeka walitaka kuona kibali kipya, walitaka kujua the durability of their product, apparently not. Sasa sijui wewe kwanini umekazana na hiyo PPP tu whereby there are so many stones left unturned.

Mnaweza msilipe nyie but that doesn't let Nehemia and NHC of the hook for being ‘rogue traders' and investing tax payers with little value on their behalf. Ndio maana hela hiyo hiyo ya mlipa kodi imeenda kumuua mlipa kodi kisa NHC, where is the morality there?

Kwa maana hiyo huyu jamaa ni money fast ndio maana katumia muda mwingi kujaribu ku-cover his ground with the PPP escape route kuliko kutaka kujua quality of the final product and the welfare of his customers again a break of industrial code of practice.

Well uitaji kuwa na elimu ya industial to be a good CEO but you must have a command business knowldge to be a good CEO, having said that a good investment is guided with an acronym SMART.

Stretching: Ok sio kosa kufanya biashara na wengine hili kukuza biashara, but as an organisations you need to know the reputation of your associates maana if things are to go wrong you will also be implicated, that part was a failure on NHC there were no risk assessments associate with the partener nor check-up of the business partner and his suppliers.

Measurable: Goes on two say some their partnership investments (NHC) are risk to their customers, already a know building exists in Morogoro because of the same PPP clause, which allowed a partner to go ahead on their own with project and the final product was nothing to be desired. The CEO knew about the existence of such problems, yet he still continues on the same philosophy of endangering his customers lives for the sake of profits.

Agreed: Apparently there is no emphasis on the business strategy desired to achieve efficient results. Responsible use of investment funds and giving taxpayers value for their money (it is a government managed organisation) hence the social responsibility should always be at the fore front of decision making. Watu wamekufa and many are injured someone needs to answer.

Realistic: Apparently he knew the existence of rogue traders in the industry but he dint bother to check with this investment, matter of fact he used laws that might remove the company from risks associated with his partners. Again customers are not at the fore front of their investment thinking, even with the chances associated with loss of lives. No risk assessment done.

Time: Hicho ndio anachojua kutafuta misifa ya kuonesha the amount of houses they have built within a short space of time, the need to shape up the organisation and have a clear view of its operation is not a priority of his if things go array there is PPP escape route. Hana tofauti na Mwakyembe one year no results out. Whereby shaping the HR requires more than one year in large companies.

Sasa hapa tatizo sio yeye kutokuwa na background ya ujenzi, tatizo he is just not a good decision maker on this type business, anaweza labda alikuwa mzuri on banking but not as a CEO of NHC.
Sometimes experience counts ndio maana magorofa yalikuwa ayaanguki hovyo, vijana wanaweza wakawa na vision nyingine ya business strategy but lack the skills and art of dealing with rogue traders as in this instance na kujua wapi limitations za rushwa zilipo.

Halafu hizo tabia za kila mkikosolewa mtu ana personal vendetta mkome amuwajui watu humu. Wala nia na madhumini yao katika maisha yao ya sasa wala ya baadae au hata kama wanamjua mtu huko kwenye mashirika yenu.
What is the purpose of studying human resources in business management if you can not formulate a culture or strata you can monitor in today organisations si ndio maana ya vijana wa leo kuwa viongozi makini.

Au we unadhani kwanini Bob Diamond anayetua na chopper kazini anafukuzwa kazi kwa sababu ya uzembe wa banker mmoja tu ambae hata hajawahi kumuona kisa kutokuajua activities of his organisation and Barclays is a conglomerate sembuse NHC. Au unadhani kwa nini mtu kama Tony Hayward wa BP, aliambiwa a-resign kisa supplier/sijui service provider mmbovu ndio kasababisha mlipuko na faini ya billion 20 plus kwa BP, kwa kosa la partner in business.

No ni mtazamo wa shirika zima objectives na wanao lilipia hilo shirika hili lifanye biashara ndio maana nakwambia not every business is for maximum profit and having the same strategies as private sector, what do you know about the purpose of government organisations and its priorities.

It is for everybody to see watu wanapachikwa sana bila ya merit ndio maana vitu vinafanyika ki uozo uozo.

Mkuu hats off!

Unapaka mavi kwa blush!
 
tumeona wadau wakubwa wa jengo wakifikishwa mahakamani akiwemo owner 75pc,cha ajabu owner mwingine 25pc na mmiliki wa plot hana shida anakula bata mitaani!!!!!!!
 
Huyu owner mwingine kishatuambia "relaxed till then.." sasa sijui hii till then ina maana lile jengo pacha jirani pindi litakapo poromoka au sijui nini....

Babu wa watu wa kihindi anasulubiwa peke yake lupango huko.

Bongo ni zaidi ya uijuavyo...
 
Mtu wa kale nafikiri tumefikia muafaka mzuri kwenye thread nyingine juu ya nini kilipaswa kujadiliwa badala ya kudeal na mtu mmoja mmoja, hatupaswi kubishana kwakuwa kuna mtu anataka kumnyonga huyu na wengine wanamtetea,. Tulipaswa toka mwanzo kuliangalia suala hili kwa upana wake na kwa wahusika wote na kila mtu kwa kiwango chake na si kwa chuki binafsi.

Na maswali yako uliyosema hapo chini hawa jamaa walishayajibia, lakini naona hapa ni kama ligi tu bila hoja za kina! Hivi unaanzaje tu kwenda kwa Mtu mmoja tu, na vipi wale wengine wanahusika katika hili, ni kwasababu zipi huwasemi? Na kama ni uwajibikaji kwanini mawaziri husika hawasemwi. Tumeambiwa kuna mtu amekalia building cords kuzidhiinisha ili zianze kazi, unasema juu ya huyo? Vi waliokalia ripoti ya Lowasa?'

Ndo maana nasema tuangalie mfumo mzima. Kuna kitu kimoja tunapaswa kukubali, wakati baadhi ya hoja hatukubaliana tunapaswa yale yaliyobora kwa upande na tuweze kutengeneza mstakabali mzuri wa kwenda mbele.

Mbona umekazana sana na sheria za PPP as if that is the only legal obligation they had to deal with, Makampuni mengi leo yanabwana na kanuni za proffesioanl or industrial codes of conduct.

Kwa maana hiyo kitendo cha NHC kushindwa kujua the final product of their investment na kusababisha loss of lives as a partner on the venture, the business is also indirectly incriminated in the faults. Ndio maana nikwakwambia hata kama wao hakuwa na supervision role or day-day project management nevertheless they had to make sure the building is fit for its purposes as they are directly involved with the final product. Surely you must want to know what your partner is up to knowing you’re the company with reputation regarless of your stake in the venture.

Sasa what measures had they taken to ensure the building was safe on their behalf, ina maana Nehemia doesn’t value the cost, risk and associated with his/her customers. Most businesses operate on external suppliers or service providers but that doesn’t mean they dont know their product. Ndio maana na wao wana kesi ya negligence vilevile as shareholders.

Sasa hapa sheria zimevunjwa wazi tu, wao wakati wana invest walijua ni ghorofa kumi na zimeongezeka walitaka kuona kibali kipya, walitaka kujua the durability of their product, apparently not. Sasa sijui wewe kwanini umekazana na hiyo PPP tu whereby there are so many stones left unturned.

Mnaweza msilipe nyie but that doesn’t let Nehemia and NHC of the hook for being ‘rogue traders’ and investing tax payers with little value on their behalf. Ndio maana hela hiyo hiyo ya mlipa kodi imeenda kumuua mlipa kodi kisa NHC, where is the morality there?

Kwa maana hiyo huyu jamaa ni money fast ndio maana katumia muda mwingi kujaribu ku-cover his ground with the PPP escape route kuliko kutaka kujua quality of the final product and the welfare of his customers again a break of industrial code of practice.

Well uitaji kuwa na elimu ya industial to be a good CEO but you must have a command business knowldge to be a good CEO, having said that a good investment is guided with an acronym SMART.

Stretching: Ok sio kosa kufanya biashara na wengine hili kukuza biashara, but as an organisations you need to know the reputation of your associates maana if things are to go wrong you will also be implicated, that part was a failure on NHC there were no risk assessments associate with the partener nor check-up of the business partner and his suppliers.

Measurable: Goes on two say some their partnership investments (NHC) are risk to their customers, already a know building exists in Morogoro because of the same PPP clause, which allowed a partner to go ahead on their own with project and the final product was nothing to be desired. The CEO knew about the existence of such problems, yet he still continues on the same philosophy of endangering his customers lives for the sake of profits.

Agreed: Apparently there is no emphasis on the business strategy desired to achieve efficient results. Responsible use of investment funds and giving taxpayers value for their money (it is a government managed organisation) hence the social responsibility should always be at the fore front of decision making. Watu wamekufa and many are injured someone needs to answer.

Realistic: Apparently he knew the existence of rogue traders in the industry but he dint bother to check with this investment, matter of fact he used laws that might remove the company from risks associated with his partners. Again customers are not at the fore front of their investment thinking, even with the chances associated with loss of lives. No risk assessment done.

Time: Hicho ndio anachojua kutafuta misifa ya kuonesha the amount of houses they have built within a short space of time, the need to shape up the organisation and have a clear view of its operation is not a priority of his if things go array there is PPP escape route. Hana tofauti na Mwakyembe one year no results out. Whereby shaping the HR requires more than one year in large companies.

Sasa hapa tatizo sio yeye kutokuwa na background ya ujenzi, tatizo he is just not a good decision maker on this type business, anaweza labda alikuwa mzuri on banking but not as a CEO of NHC.
Sometimes experience counts ndio maana magorofa yalikuwa ayaanguki hovyo, vijana wanaweza wakawa na vision nyingine ya business strategy but lack the skills and art of dealing with rogue traders as in this instance na kujua wapi limitations za rushwa zilipo.

Halafu hizo tabia za kila mkikosolewa mtu ana personal vendetta mkome amuwajui watu humu. Wala nia na madhumini yao katika maisha yao ya sasa wala ya baadae au hata kama wanamjua mtu huko kwenye mashirika yenu.
What is the purpose of studying human resources in business management if you can not formulate a culture or strata you can monitor in today organisations si ndio maana ya vijana wa leo kuwa viongozi makini.

Au we unadhani kwanini Bob Diamond anayetua na chopper kazini anafukuzwa kazi kwa sababu ya uzembe wa banker mmoja tu ambae hata hajawahi kumuona kisa kutokuajua activities of his organisation and Barclays is a conglomerate sembuse NHC. Au unadhani kwa nini mtu kama Tony Hayward wa BP, aliambiwa a-resign kisa supplier/sijui service provider mmbovu ndio kasababisha mlipuko na faini ya billion 20 plus kwa BP, kwa kosa la partner in business.

No ni mtazamo wa shirika zima objectives na wanao lilipia hilo shirika hili lifanye biashara ndio maana nakwambia not every business is for maximum profit and having the same strategies as private sector, what do you know about the purpose of government organisations and its priorities.

It is for everybody to see watu wanapachikwa sana bila ya merit ndio maana vitu vinafanyika ki uozo uozo.
 
Hujui sheria. Mmliki wa kwanza ni NHC. Jifanye ni wewe halafu tuone kama mmliki utatetewa kipuuzi hivi. Wengine wote ni wahusika baki.Fahamu tu kuanzia leo.Uliza pia ukiona shida kabla ya kupost.

Sheria ipi unayoongelea?
 
[h=1]SA experts sought for Sh1bn demolition job
[/h]SA experts sought in Sh1bn job to demolish Dar building

>> The government is seeking South African engineering experts to demolish a 16-storey building in the city that was condemned last year.

The Lands ministry has floated a tender in South Africa, inviting companies with the required expertise to bid for the contract to tear down the building on Indira Gandhi Street in the city centre.
 
SA experts sought for Sh1bn demolition job

SA experts sought in Sh1bn job to demolish Dar building

>> The government is seeking South African engineering experts to demolish a 16-storey building in the city that was condemned last year.

The Lands ministry has floated a tender in South Africa, inviting companies with the required expertise to bid for the contract to tear down the building on Indira Gandhi Street in the city centre.
Sasa hii pesa inatoka fungu gani!?
Hivi kuna mwenye kumbukumbu juu ya aliyewahi kuwajibika juu ya hili sakata ukichukulia kuwa Watanzania karibia 100 walipoteza maisha hapa!
 
Huyu ana kampuni 2 za kwake ambazo zinapewa contracts kujenga majengo ya NHC

Na kampuni hizo zinajenga kwa mikopo ambayo ina riba kubwa mno

Hivyo akifukuzwa kazi ataendelea kutumbua tuuu
 
Back
Top Bottom