Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

Ogah,Mkuu kama unakumbuka Jamiiforum ya zamani niliandika I am against unfairness. I neither want to see someone accuse another person nor want to accuse someone based on baseless attacks. However, there is something which made me a bit wary about the NHC module operandi especially the 75%-25% deal that they entered with the investor in the construction of a building. ..................................

.........Maswali ya Kujuiliza sana ni kama ifuatavyo:-a. Hapo kwenye nyekundu wamefikia katika hesabu zipi hadi ikahesabika mchango wa NHC katika hiyo project ni just 25% mwekezaji ni 75%. Nitatoa mfano bei ya ardhi ya kariakoo sasa unaweza kukuta inafika hata 500,000 per square meter. Hivyo eneo la square meter 2,000 linauzwa hadi Tshs Billioni 1. Sasa kama bei ya ardhi kariakoo ni billioni 1 na bei ya ardhi pugu ni milioni 5 per square meter 2000 huo mchango wa 75-25 vp uwe sawa???b. Mbona katika maelezo ya NHC hawatuambii huyo muwekezaji anakaa muda gani akivuta hiyo 75-25. Kama ni indefinite life au 99 years au 30 years. If it exceeds more than 20 years then huo mkataba ni wa kinyonyaji kwasababu Jengo mfano wa Viva Towers pale Serena Hotel limegharimu sio zaidi ya bilioni 30. Sasa kama kila flat wakipangisha $2000 per month jengo zima hawakosi $100,000 per month from rental fees. Kama wanatapangisha for a year ni kama $1.2 million for 10 years ni sawa $12 million ambapo ni sawa Billion 19.2 after 20 years ni sawa na Billion 38.4. Sasa utaona mwekezaji atakuwa kesharudisha hela yake in 20 years or less kwani rent mjini sasa hivi inafika $4,000.Ikiwa mkataba ni wa kudumu utaona huo mkataba ni kinyonyaji maana anawekeza halafu anavuna faida ya mara 400 zaidi ya gharama alizojengea na kwangu mie huo ni ufisadi wa hali ya juu. Mkuu mie nipo makini ila sipendi mtu aonewe kwa sababu zisizo na msingi. Mchechu ametuambia ataitisha press conference I am anxious to hear what he is going to report during that press conference.[/B][/I]

Mkuu nashukuru kwa ufafanuzi juu ya wapi unasimamia.......heshima mbele!.....tuendelee na mjadala.......
 
sikutegemea mtu kama wewe ungetoa comment hii...kipindi shirika halipo kibiashara ni watanzania wangapi walikuwa wanafaidi hizo huduma za shirika? Na ni watu maskini ama?

Mbebs unafanya nini huku?

nacheki migorofa iliyoanguka kaka..huku bongo hakufai

Angalia usije ukaangukiwa na wewe. Mbebs kama wewe ukiangukiwa na gorofa ni soo.

NYIE MNA chuki na huyo mkurugenzi wa nhc .....shida mnaiona kwake tu?.....

...wee endelea mjadala wako na katoto kenzako hako.....haya ni maji marefu.....kwa mapana au kwa marefu huyawezi.......lol
 
Msisitizo,

Kwa heshima ya waliopoteza maisha na kuathirika.

Watu kama hawa (kina Mchechu) hasara hata kwa PR factor tu, seuze utendaji. Mtu ambaye Kiingereza hajui, na anajua hilo, anatumia wakalimani kutoka PR office na Kiswahili, anaweza kufanya mambo hata kama Kiingereza hajui.

Mtu ambaye Kiingereza hajui, halafu hajui hata kama Kiingereza hajui ana tatizo kubwa hata kabla hujaingia kwenye mambo technical huko, hana key attribute ya kuwa CEO ya attention to detail.

Utasimamiaje migorofa miiingi kama huna attention to detail ya kujua mimi kiingereza sijui, nisijiaibishe hapa nitumie Kiswahili au mtu anifanyie proofreading?
 
Mazee Kiingereza ujiko ujue...

Kuna mtu humu foramuni ameshawi kusema Kiingereza kinaongeza hadhi.

Kwa kiasi kikubwa ni kweli. Hivyo, watu wanajikuta tu wanakitumia huku hata hawajui kama hawakijui vizuri.

Bila kuongea Kiingereza au bila kuchomekea chomekea maneno ya Kiingereza hadhi inashuka. Sasa kwa mtu mwenye cheo cha mkurugenzi mtendaji kuongea bila kukichomekea ataonekana siyo msomi na hadhi yake itashuka.

Inasikitisha lakini hivyo ndivyo mambo yalivyo. Masalia ya ukoloni.
 
...wee endelea mjadala wako na katoto kenzako hako.....haya ni maji marefu.....kwa mapana au kwa marefu huyawezi.......lol
huo ndo ukweli! tatizo kila mtu anataka kuwa mkurugenzi nchi hii.... mbona alofanya mazuri huyaongelei...bahati mbaya kwako keshasema hajawai kusaini mkataba wowote. na amevunja kadhaa.. labda na huo angeuvunja.
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Msisitizo,

Kwa heshima ya waliopoteza maisha na kuathirika.

Watu kama hawa (kina Mchechu) hasara hata kwa PR factor tu, seuze utendaji. Mtu ambaye Kiingereza hajui, na anajua hilo, anatumia wakalimani kutoka PR office na Kiswahili, anaweza kufanya mambo hata kama Kiingereza hajui.

Mtu ambaye Kiingereza hajui, halafu hajui hata kama Kiingereza hajui ana tatizo kubwa hata kabla hujaingia kwenye mambo technical huko, hana key attribute ya kuwa CEO ya attention to detail.

Utasimamiaje migorofa miiingi kama huna attention to detail ya kujua mimi kiingereza sijui, nisijiaibishe hapa nitumie Kiswahili au mtu anifanyie proofreading?
hicho kiingereza chako kinakusaidia nini? kwa kiswahili chake kafanya mengi makubwa
 
hicho kiingereza chako kinakusaidia nini? kwa kiswahili chake kafanya mengi makubwa

Mbebs, katika kufikisha ujumbe hususan kwenye jambo/tukio muhimu kama hili ni vyema kutumia lugha unayoimudu vizuri ili kuwasilisha/kufikisha vilivyo ujumbe wako.

Unapoanza kutumia lugha ambayo hauimudu vizuri unaweza ushindwe kuwasilisha ujumbe wako vizuri na kuishia kutoeleweka.

Sasa hilo linaibua swali jingine. Je, bwana mkurugenzi mkuu anaimudu vyema hata lugha ya Kiswahili?
 
Mazee Kiingereza ujiko ujue...

Kuna mtu humu foramuni ameshawi kusema Kiingereza kinaongeza hadhi.

Kwa kiasi kikubwa ni kweli. Hivyo, watu wanajikuta tu wanakitumia huku hata hawajui kama hawakijui vizuri.

Bila kuongea Kiingereza au bila kuchomekea chomekea maneno ya Kiingereza hadhi inashuka. Sasa kwa mtu mwenye cheo cha mkurugenzi mtendaji kuongea bila kukichomekea ataonekana siyo msomi na hadhi yake itashuka.

Inasikitisha lakini hivyo ndivyo mambo yalivyo. Masalia ya ukoloni.

Inasikitisha.

Hasa ukizingatia kwa watu waliokisoma Kiingereza kama vile ni English Majors waliokwenda graduate school ya comparative literature na kumaliza Mugglestone's "The Oxford History Of English" cover to cover, na kusoma plays zinazohusika from Shakespeare to Shaw na tungo za Shaaban Robert mpaka Andanenga, watajua kwamba Kiingereza hakina logic kama Kiswahili, si phonetic kama Kiswahili, hakina consistency kama Kiswahili, hakina sheria nzuri kama Kiswahili na kina mapindo katika sheria zake zilizo kuliko Kiswahili.

Kitu pekee Kiingereza inachokishinda Kiswahili ni dominance as a world language, kitu ambacho ukiwa unawasiliana na Watanzania si factor kabisa.

Sasa kwa nini CEO wa kampuni la Watanzania ambaye hajui Kiingereza, anapowasiliana na Watanzania ambao majority hatujui Kiingereza, atumie Kiingereza?
 
......hii ndio moja ya concern niliyonayo Mkuu.....wewe umeiweka vizuri........ ......hahaha...kuna sehemu alisema "Uchumi rahisi".....pengine hiyo new principle ina-apply hapo......yaani jamaa anasema mwekezaji akijenga zaidi kitu kitaonekana na wao NHC watapata haki yao accordingly.........yaani kwa kauli hii tu......nikawa na maswali mengi zaidi juu ya Mchechu na malengo yake binafsi Vs Wananchi.......

Mkuu Ogah heshima mbele,

Yaani mpaka napata wasiwasi pengine anaeandika sio Mchechu mwenyewe! utetezi umekuwa shallow mno!
 
Kwa kweli mkataba huu ni mbovu kuliko!!! Katika sheria za mikataba mtu mwenye asilimia zaidi ya hamsini kwenye mkataba husika ndio mwenye maamuzi. Ndiyo maana NHC wamebaki kuduwaa na wanasema watachunguza. Swali ni ujenzi wa ghorofa unahusu usalama wa watanzania, inakuwaje NHC wanaingia ubia wa kisanii? Hapa NHC wanatakiwa walipe "damages" kwa familia za marehemu. Mkurugenzi wa NHC hapa lazima awajibike!!!
Wakati taifa lipo katika kuombeleza janga la kuanguka kwa jengo la ghorofa kati kati ya jiji, kuna mambo kadhaa yamejitokeza kuhusiana na mkasa huu.

Shirika la Umma kama NHC kuingia ubia wa kimagumashi magumashi na wafanyabishara wababaishaji kumepelekea kupotea kwa maisha ya ndugu zetu takriban 20+. Inakuwaje uwekezaji mkubwa kama huu NHC wanaacha kila kitu kiendeshwe kienyeji enyeji tu? kibaya zaidi sasa wanaibuka na kusema wanapitia upya sera yao ubia ili washirikishwe zaidi!.

Kwa mshangao mkubwa juhudi zote za uokoaji zinazo endelea si Mchechu au kiongozi yeyote mwandamizi wa NHC alie thubutu walau kufika site kujionea hali halisi. Rais pamoja na majukumu yake mengi ameshatembelea eneo husika mara mbili.

Imefika wakati mkurugenzi mkuu wa NHC akamatwe na awajibishwe na mamlaka za uteuzi. Taifa haliwezi kuingia katika janga kubwa kama hili wakati wahusika wala hawana habari.

Mchechu has to go....

==========
Majibu ya Nehemiah Kyando Mchechu:
 
Hapa sidhani kwamba kuna chuki na DG wa NHC. Inashangaza DG wa NHC anajitoa katika sakata hili, wao NHC wanahusika kwa kiasi kikubwa na uzembe uliopelekea watu 36 kufariki. Inapaswa nao wawe ni miongoni mwa watu 8 wanahojiwa na Polisi kituo cha kati. Pamoja na kazi nzuri zote DG wa NHC anazofanya bado NHC kuingia mikataba ya rushwa na matajiri wa kihindi ndio chanzo cha kuanguka kwa ghorofa la ubia wa NHC na matajiri.
 
Msisitizo,

Kwa heshima ya waliopoteza maisha na kuathirika.

Watu kama hawa (kina Mchechu) hasara hata kwa PR factor tu, seuze utendaji. Mtu ambaye Kiingereza hajui, na anajua hilo, anatumia wakalimani kutoka PR office na Kiswahili, anaweza kufanya mambo hata kama Kiingereza hajui.

Mtu ambaye Kiingereza hajui, halafu hajui hata kama Kiingereza hajui ana tatizo kubwa hata kabla hujaingia kwenye mambo technical huko, hana key attribute ya kuwa CEO ya attention to detail.

Utasimamiaje migorofa miiingi kama huna attention to detail ya kujua mimi kiingereza sijui, nisijiaibishe hapa nitumie Kiswahili au mtu anifanyie proofreading?

Mkuu inasikitisha! hata hicho kiswahili chenyewe mgogoro, angalia hii;

Suluhisho la matatizo yako linaanzia kwako mwenyewe na sikulaumu matabaka mengine na hususani kwa mtu anayeonekana kuwa na weredi kama wewe!

Hakuna neno weredi kwenye kwenye kiswahili labda alimaanisha weledi! kazi kweli kweli!
 
Mkuu inasikitisha! hata hicho kiswahili chenyewe mgogoro, angalia hii;

Hakuna neno weredi kwenye kwenye kiswahili labda alimaanisha weledi! kazi kweli kweli!

Hahahaha daaah!

Unajua nimegundua kwa kupitia hapa hapa JF kwamba Watanzania wengi hawako makini na vitu/mambo ya usahihi hata kama ni madogo kiasi gani.

Hapo ukimhoji mwenyewe aliyeandika hivyo anaweza akakujibu 'lakini si umeelewa nilichomaanisha'.

Sasa huu utovu wa umakini huu ndiyo hupelekea kupuuza na mambo mengine ambayo kwa juu juu yanaweza kuonekana ni madogo lakini ni yenye athari kubwa endapo hayatazingatiwa.
 
Kwa kweli mkataba huu ni mbovu kuliko!!! Katika sheria za mikataba mtu mwenye asilimia zaidi ya hamsini kwenye mkataba husika ndio mwenye maamuzi. Ndiyo maana NHC wamebaki kuduwaa na wanasema watachunguza. Swali ni ujenzi wa ghorofa unahusu usalama wa watanzania, inakuwaje NHC wanaingia ubia wa kisanii? Hapa NHC wanatakiwa walipe "damages" kwa familia za marehemu. Mkurugenzi wa NHC hapa lazima awajibike!!!
nhc watalipa damage kwa familia kwani huo mjengo haukuwa na insuarance?
 
Mkuu,

Kama una chuki binafsi na mchechu sema but hoja yako haina mashiko. Mchechu ameingia after 2007 na ameinadilisha shirika lililokuwa mbioni kufa sasa wanatembelea hilux kwenye kazi zao. Pia hoja yako haina mashiko kwasababu mkataba wa kujenga lile jengo ulifungwa mwaka 2006, sasa Nehemiah Mchechu anahusikaje? Mie namtetea labda ulete sababu zenye mashiko but hii sio mkuu.

This is a similar of some of those stupid arguments a JF member should not make!

Kwa hiyo alipokuta mkataba umefungwa aliambiwa aanze na mikataba yake na ile iliyofungwa siyo ya kwake?

Aliambiwa haya majengo mabovu yaendelee tu na yeye abariki mapya yajayo?

Nini maana ya yeye kuwa pale kama CEO wa NHC? Ni kupulizia uovu? Vipi miradi yote hii ikifanikiwa sana, atajivua na kusema sikuianzisha mimi au anajivua anapoona uozo alioshindwa kuuzuiya!

Ndivyo serikali inavyofanya kazi kwamba kila ajaye na yake? Tangu aingie ni kipi kibaya amekiondoa na yapi mazuri ameyaweka?

If he is of the same belief and understanding as you are showing, you all deserve an outmatching order.
 
Back
Top Bottom