Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,228
- 60,546
Sahihi na watu wanaamini zile laki tatu tatu wanazopokea kila mwezi ni faidaKwa kizazi kijacho hakuna shida, ila wewe uliyewekeza ni sawa na umepoteza.
Sahihi na watu wanaamini zile laki tatu tatu wanazopokea kila mwezi ni faidaKwa kizazi kijacho hakuna shida, ila wewe uliyewekeza ni sawa na umepoteza.
Sahihi na watu wanaamini zile laki tatu tayuKwa kizazi kijacho hakuna shida, ila wewe uliyewekeza ni sawa na umepoteza.
nyumba hiyo kwa mwezi unachukua 1Milioni, kwa mwaka unapata 12milioni.Mfano nina milioni 200, itanichukua miaka mingapi kuipata hiyo milioni 200 niliyoiwekeza?
Umefafanua vizuri mkuuWatanzania biashara au uwekezaji wetu huwa tunafikiria kwa muda mfupi, na muda wote tunataka super profit tena kwa muda mfupi iwezekanavyo. Ndiyo maana unakuta dalali anataka akiuza nyumba, ile faida anayopata akajenge nyumba yake. Ndiyo, najua shilingi yetu huteremka thamani sana, lakini duniani kote ukiwekeza kwenye nyumba huwezi kutegemea fedha ulizojengea zirudi kwa muda mfupi. Chukulia hivi. Nyumba haishuki thamani, na ile kodi unayochukuwa kila mwezi ndiyo faida yako. Yaani kama unachukuwa milioni mbili, basi hiyo ndiyo faida yako, na mtaji wako unabaki kama ulivyo. **nyumba ikijengwa kitaalam na eneo zuri inachukuwa muda kufanyiwa marekebisho makubwa. Kutoka kwenye kodi weka asilimia ndogo kila mwezi ambayo itafanya ukarabati wakati ukifika. Ila ukijenga kibongo-bongo miaka 10 tu unakuta nyumba inadai kubomolewa ijengwe nyingine.
Uwekezaji ni jambo la muda mrefu, ni sawa hata usipofaidika wewe wafaidike kizazi chako. Si kama maghorofa ya kariakoo tuKuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Haujui chochote kuhusu uwekezaji wa majengo. Acha kupotosha watu. KajifunzeKuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Nikadhani mpaka unajenga nyumba extra ni tayari biashara unayo.. Au ndo vile wabongo tunapenda kupinga kila kituKuwa na nyumba siyo kigezo cha kukopea benki,kigezo cha kwanza ni biashara inayo onekana. Nyumba itasimama kama dhamana..
Nyumba hainaga hatiNB: unaweza kutumia hati ya nyumba yako kukopa fedha na ukafanyia shughuli nyingine.
Sawa mkuuKuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.
Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi.
Kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita.
Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
hiyo nyumba tayari ni mtaji kama ulitumia million 200, basi miaka 5 mbele ukitaka kuiuza utakuta imeshafika 250 au 300. kwasababu ardhi pia inapanda thamaniMfano nina milioni 200, itanichukua miaka mingapi kuipata hiyo milioni 200 niliyoiwekeza?
Nyumba haipandi thamanihiyo nyumba tayari ni mtaji kama ulitumia million 200, basi miaka 5 mbele ukitaka kuiuza utakuta imeshafika 250 au 300. kwasababu ardhi pia inapanda thamani
sasa wewe unavyosema ukusanye tena kodi hadi zifike 200 unakosea namna ya kufikiri
Baada ya miaka 5 uje utupe mrejesho wa hayo majengoInaonekana mtoa mada hana uzoefu kwenye huo uwekezaji wa real estate
Biashara ya lodge & hotel ni uwekezaji unaolipa (speaking from my own experience), nimewekeza kiasi huko
Niliwekeza shilingi 170M hivi awali, lakini baada ya miezi 14 hivi hela yangu ilirudi kupitia hiyo hiyo biashara ya lodge
Miaka miwili mbele, nikajenga lodge ya pili kupitia lodge ya awali
Ukipata __cpLocation nzuri, biashara ya lodge haiwezi kukutupa
Jambo la kuzingatia, ni kufanya maintenances za mara kwa mara, shower ikiharibika, unatakiwa ukai-replace, sijui TV hainoeshi unatakiwa ukairekebishe ili wateja wasije wakaanza kukulalamikia
Niliwahi kupata wazo la mkumbo la kwenda kuziweka hizo hela kwenye hisa/bond n.k lakini nimegundua kupitia biashara hii ya real estate unapata return nzuri kuliko kwenda kuziweka hela huko..
Ukiwa na shida ya milioni 50 ama 70 unakwenda kukopeshwa na benki bila shida yeyote huku ukipata nafasi ya kupanua wigo wa biashara yako
Leta elimu yako ukiwa na mchanganuo wa miaka 5Haujui chochote kuhusu uwekezaji wa majengo. Acha kupotosha watu. Kajifunze
Nakubaliana na hoja yako, wafaidike kizazi kijachoUwekezaji ni jambo la muda mrefu, ni sawa hata usipofaidika wewe wafaidike kizazi chako. Si kama maghorofa ya kariakoo tu
Unajitengenezea wewe utajiri ili ukunufaishe au unawatengenezea kizazi kijacho?Kwa mawazo haya wanao watakuja kuanza moja. Tengeneza generational wealth acha kulia lia
Kwa nini hoteli nyingi zinachakaa wakati zinaingiza fedha?Samsung ni conglomerate kubwa sana, ni chaebol kule South Korea ina biashara nyingi kubwa ikiwemo consumer electronics, inatengeneza silaha kama vifaru, inaunda meli kubwa, ina funds na securities ila bado imewekeza kwenye real estate.
Hakuna tajiri anawekeza kwenye nyumba akiwa njaa hana hela, labda mtumishi. Ukiona mtu anazika hela kwenye jengo ujue tiyari anayo hiyo biashara unayomlazimisha awekeze. Au unahisi mtu anaokota hela ndio anajenga?
Ungekuwa na nia ya kuelewa ungejifunza kwanza kabla uya kuja kuandika hapa. Hata hivyo nitakupa dondoo chache.Leta elimu yako ukiwa na mchanganuo wa miaka 5