Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,843
- 13,120
Case study.Jaribu kutembelea baadhi ya hoteli zilizovuma miaka mitano iliyopita, utaona uchakavu wa majengo, mifumo ya maji n.k
LAMADA YA ILALA
Case study.Jaribu kutembelea baadhi ya hoteli zilizovuma miaka mitano iliyopita, utaona uchakavu wa majengo, mifumo ya maji n.k
Issue ni location mkuu. Kuna maeneo mengine hizo frame hazina wateja kabisaBiashara hii inategemea na wapi umewekeza, jengo la aina ile ile ubora ule ule, kodi inatofautiana sehemu na sehemu, location ndio jambo kubwa zaidi kwenye biashara nyingi.
na ubora wa ujenzi ulioufanya.. miaka mi5 ukarabati tena mkubwa hayo ni maajabu mkuu.
Nimefanya sehemu kwa udogo, naona faida yake, ningekuwa na uwezo ningefanya kwa ukubwa zaidi, ni biashara nzuri, haina stress na inalipa vizuri.
Mfano mie nijenge frem za biashara 5 kwa milioni 30, kodi ni laki 2 kwa mwezi,hapo nakuwa nakunja milioni kila mwezi, kodi ya miezi 6 ni milioni 6.. nakunja hiyo pesa wakati jengo(milioni 30) lipo, yaani hizo milioni kila mwezi ni faida.
Sahihi mkuu, komenti yangu ilisisitiza hapo kwenye location, biashara nyingi location ndio jambo la msingi mnoo, fremu ile ile, chumba kile kile, nyumba ile ile lakini kodi inatofautiana kutegemea iko wapiIssue ni location mkuu. Kuna maeneo mengine hizo frame hazina wateja kabisa
Na kila mtu akimuhamishia risk mwenzake itakuwaje?maana yake kila mtu ataogopa kujenga na nyumba zisipojengwa wewe utalala wapi?Unahamisha risk?
Unahisi ni kwa nini hoteli zilizokuwa tishio huko nyuma, kwa sasa zinachakaa?Je marek
Je marekebisho yake hayo ni sawa na kujenga jengo upya? Marekebisho yanachukua hata 25%? Jibu hapana.
Kwa mimi kama itafika hiyo miaka 10, bado nitakuwa na faida kubwa sana mkuu, mie ujenzi ukijumlisha na utoto wa mjini, fundi huyu mnajuana, huyu mnapozana, ni ile miaka mi3 tu ya mwanzo pesa ilikuwa isharudi, hapa nakula faida, hii miaka miwili ni ya faida mwaka mmoja pesa yake kama ulivyosema niliitumia tumia, ila mwaka huu nimeanza kuiwekeza, hivyo ndani ya hii miaka 5 iliyobaki kabla sijaamza kufanya ukarabati, tayari nitakuwa na faida si chini ya milioni 50(sijui kama nitaiona, ama kuishika yote kwa pamoja, lakini hayo ndio mahesabu ambayo yapo) na jengo lipo likiwa limepanda thamani
Siwezi tolea kauli hotel sababu sijafanya biashara ya hotel.Unahisi ni kwa nini hoteli zilizokuwa tishio huko nyuma, kwa sasa zinachakaa?
Ila cha ajabu, ni ngumu kukuta watu waliowekeza kwenye majengo wamefilisika kabisa.Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.
Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi.
Kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita.
Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Umeongea vyema uhakika wa Kila mwez kupata chochote kitu upoIla cha ajabu, ni ngumu kukutu watu waliowekeza kwenye majengo wamefilisika kabisa.
Ni uamuzi wangu tu sina njaa.Itarudi kwa kudunduliza kila mwezi au kwa kuuza hilo jengo?
Mkuu usijidanganye sana Kuna wengi wameibiwa nyumba mkuu, sio risk free ni low riskRisk free.
Mtu hata awe mwizi kiasi gani hawezi kuiba nyumba na kukimbia nayo ila biashara zingine msaidizi wako akiamua tu siku moja anabeba mzigo wote na kupotea nao kisha unakuwa maskini tena.
Unahisi ni kwa nini hoteli zilizokuwa tishio huko nyuma, kwa sasa zinachakaa?
Hawajaiba sema wameforge nyaraka mwisho wa siku mwenye nyumba akipambana kisheria bado nyumba yake anaikuta palepale tofauti na ukiibiwa gari leo Dar kesho iko Mwanza kisha wanaichinja na kuuza spea biashara inaishia hapo.Mkuu usijidanganye sana Kuna wengi wameibiwa nyumba mkuu, sio risk free ni low risk
Mkuu Nina ushaidi Kuna watu wamepigwa nyumba mpaka Leo hawajaipataHizo hotel kuchoka
Hawajaiba sema wameforge nyaraka mwisho wa siku mwenye nyumba akipambana kisheria bado nyumba yake anaikuta palepale tofauti na ukiibiwa gari leo Dar kesho iko Mwanza kisha wanaichinja na kuuza spea biashara inaishia hapo.
Hapo inakuwa umetumika ubabe kutokana na usimamizi mbovu wa sheria zetu ila nyumba haijaibiwa bado ipo sema mmiliki ameshindwa kuichukua kwa sababu ya unyonge hii ndio mantiki yangu.Mkuu Nina ushaidi Kuna watu wamepigwa nyumba mpaka Leo hawajaipata
MTAZAMOKuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.
Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi.
Kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita.
Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Hili ni kweli mkuuKujenga na kuuza haina shida, ila kujenga ili upangishe ni sawa na kutupa hela eneo husika , ambao wanufaika watakuwa ni kizazi chako kijacho na si wewe.
Mkuu ukiona biashara inaongezeka jua inalipa watu si wajingaKwa haraka haraka utaona inalipa, baada ya miaka michache jengo likianza kula hela za ukarabati, pesa inakuwa inapotea, hivo hivyo ata kwenye vyombo vya usafiri mfano mabasi n.k
Ni waoga kuwekeza maeneo mengine yanayolipa kwa haraka zaidi kutokana na heka heka za hapa na pale.Mkuu ukiona biashara inaongezeka jua inalipa watu si wajinga
Mkuu kwahio hujui kuwa wengi wanaowekeza kwenye majengo ni watu wana biashara nyingine ila wameamua kuweka fedha zao kwenye ardhi au nyumba?Ni waoga kuwekeza maeneo mengine yanayolipa kwa haraka zaidi kutokana na heka heka za hapa na pale.