Uwekezaji wa majengo haulipi

Uwekezaji wa majengo haulipi

Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.

Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi.

Kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita.

Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.​
Unahitaji elimu ili upate maarifa ya kutosha, Utakua na taarifa sahihi juu ya uwekezaji wa namna hii na utabadilisha mtazamo wako
 
Sio kwa Nyumba za wageni,,aise wanapiga peza we jiulize show time elffu 10 na lodge ina vyumba 30+
Kwa haraka haraka utaona inalipa, baada ya miaka michache jengo likianza kula hela za ukarabati, pesa inakuwa inapotea, hivo hivyo ata kwenye vyombo vya usafiri mfano mabasi n.k​
 
Hawa watu sasa hivi tunawaacha na hizi thread zao maana hata ukiwapa mifano hai wanaumia watabaki kusema unajimwambafai. ASIEJUA MAANA HAAMBIWI MAANA.
Kama mtu alishawekeza huko, lazima ajifariji kwa sababu hawezi tena kurudi nyuma.
 
Biashara hii inategemea na wapi umewekeza, jengo la aina ile ile ubora ule ule, kodi inatofautiana sehemu na sehemu, location ndio jambo kubwa zaidi kwenye biashara nyingi.
na ubora wa ujenzi ulioufanya.. miaka mi5 ukarabati tena mkubwa hayo ni maajabu mkuu.

Nimefanya sehemu kwa udogo, naona faida yake, ningekuwa na uwezo ningefanya kwa ukubwa zaidi, ni biashara nzuri, haina stress na inalipa vizuri.

Mfano mie nijenge frem za biashara 5 kwa milioni 30, kodi ni laki 2 kwa mwezi,hapo nakuwa nakunja milioni kila mwezi, kodi ya miezi 6 ni milioni 6.. mwaka milioni 12, miaka mi3 ni 36, inarudi kwa makadirio ya juu miaka mi3,kila mwezi ni milioni 1, nakunja hiyo pesa wakati jengo(milioni 30) lipo, yaani hizo milioni kila mwezi ni faida.
 
Biashara hii inategemea na wapi umewekeza, jengo la aina ile ile ubora ule ule, kodi inatofautiana sehemu na sehemu, __cpLocation ndio jambo kubwa zaidi kwenye biashara nyingi.
na ubora wa ujenzi ulioufanya.. miaka mi5 ukarabati tena mkubwa hayo ni maajabu mkuu.

Nimefanya sehemu kwa udogo, naona faida yake, ningekuwa na uwezo ningefanya kwa ukubwa zaidi, ni biashara nzuri, haina stress na inalipa vizuri.

Mfano mie nijenge frem za biashara 5 kwa milioni 30, kodi ni laki 2 kwa mwezi,hapo nakuwa nakunja milioni kila mwezi, kodi ya miezi 6 ni milioni 6.. nakunja hiyo pesa wakati jengo(milioni 30) lipo, yaani hizo milioni kila mwezi ni faida.
Hiyo unayoiita faida utakuja kuitumia kwenye ukarabati mkubwa, mbaya zaidi hizo fedha huwa hatuziweki, baada ya miaka kadhaa jengo linakuwa limechoka na mabati kuwa na rangi kama jezi ya simba.
 
Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe.

Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi.

Kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita.

Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.​
Ni kwa sababu unataka kujenga kwa cash, matajiri hutumia madeni so ile cash flow ni ela mpya kwake
 
Hiyo unayoiita faida utakuja kuitumia kwenye ukarabati mkubwa, mbaya zaidi hizo fedha huwa hatuziweki, baada ya miaka kadhaa jengo linakuwa limechoka na mabati kuwa na rangi kama jezi ya simba.
Ukarabati mkubwa upi huo mzee, bati zinachoka baada ya muda gani, milango ya fremu baada ya muda gani, wiring ni muda gani, sioni, hapo ni kuomba mungu tu aepushe ajali za moto, tetemeko na mengineyo kama hayo..
Makadirio ni miaka 20 mbele huko, wakati huo thamani ya eneo inapanda, kodi inaongezeka, sasa ishu ya wiring kwa mimi, si kodi ya mwezi mmoja tu nimerekebisha. Na sio leo wala kesho, mpaka sasa jengo lina miaka mi5, mie kwa mahesabu yangu nakula faida, sababu ujenzi wake naona pesa isharudi mkuu.
 
Ni jengo lipi lenye miaka 10 ambalo ukilitazama leo, bado lina mng'ao ule ule wa upya?
 
Je marek
Ni jengo lipi lenye miaka 10 ambalo ukilitazama leo, bado lina mng'ao ule ule wa upya?
Je marekebisho yake hayo ni sawa na kujenga jengo upya? Marekebisho yanachukua hata 25%? Jibu hapana.
Kwa mimi kama itafika hiyo miaka 10, bado nitakuwa na faida kubwa sana mkuu, mie ujenzi ukijumlisha na utoto wa mjini, fundi huyu mnajuana, huyu mnapozana, ni ile miaka mi3 tu ya mwanzo pesa ilikuwa isharudi, hapa nakula faida, hii miaka miwili ni ya faida mwaka mmoja pesa yake kama ulivyosema niliitumia tumia, ila mwaka huu nimeanza kuiwekeza, hivyo ndani ya hii miaka 5 iliyobaki kabla sijaamza kufanya ukarabati, tayari nitakuwa na faida si chini ya milioni 50(sijui kama nitaiona, ama kuishika yote kwa pamoja, lakini hayo ndio mahesabu ambayo yapo) na jengo lipo likiwa limepanda thamani
 
Back
Top Bottom