binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,091
- 34,344
Na kwenye nyumba za kupangisha kwa jinsi wapangaji wanavyosumbua!
Elfu 50 kwa mwezi, mpaka irudi hela uliojengea sijui ni miaka mingapiNa kwenye nyumba za kupangisha kwa jinsi wapangaji wanavyosumbua!
Ndio maana kuna uwekezaji wa mda mrefu na wa mda mfupi. Ww unataka faida za haraka haraka wekeza kwingine kwenye nyumba za kupangisha ni uwekezaji wa mda mrefu na huchukua mda kurudisha pesa yako ila faida yake ni nyumba itakua na thamani mara mbili ya faida ama fedha uliyo wekezaUkijenga na kuuza sawa, ila ukitaka upangishe ili uweze kujilipa, fedha ulioiwekeza hutoipata.
Mkuu, kama nyumba umejenga sehemu nzuri na umejenga kitaalam una haki kusema ni faida. Umewekeza eg bilioni 1 , unakula faida ya ya eg milioni 5 kila mwezi na mtaji unabaki pale pale. Watu wengi wanakosea kuwekeza kwenye nyumba kwa sababu anataka kurudisha fedha alizojengea kwa muda mfupi afanye shughuli nyingine zizalishe tena. Uwekezaji wa nyumba siyo wa namna hiyo, yaani siyo una fedha ya ngama halafu unawekeza kwenye nyumba. NB: unaweza kutumia hati ya nyumba yako kukopa fedha na ukafanyia shughuli nyingine.Ile kodi unayoipata pale sio faida, unatakiwa utoe gharama zote za uendeshaji ndipo ujilipe kama faida. Ni sawa na umenunu basi kwa milioni 300 na ukaliweka barabarani, ile nauli ya abiria sio faida. Faida itapatikana baada ya kutoa fedha uliyowekeza.
Ona masaki&obay&mikocheni watu wanavyohamishwa kwa dau kubwaUki elewa mchezo wa majengo na ardhi, utajua wahindi, wachina au makampuni yana toa wapi fedha.
Majengo na ardhi ni good leverage.
Ni kama social security yakoMkuu, kama nyumba umejenga sehemu nzuri na umejenga kitaalam una haki kusema ni faida. Umewekeza eg bilioni 1 , unakula faida ya ya eg milioni 5 kila mwezi na mtaji unabaki pale pale. Watu wengi wanakosea kuwekeza kwenye nyumba kwa sababu anataka kurudisha fedha alizojengea kwa muda mfupi afanye shughuli nyingine zizalishe tena. Uwekezaji wa nyumba siyo wa namna hiyo, yaani siyo una fedha ya ngama halafu unawekeza kwenye nyumba. NB: unaweza kutumia hati ya nyumba yako kukopa fedha na ukafanyia shughuli nyingine.
Chukulia nyumba uliyojenga ndio mtaji wako na hela ya pango unayopata ndio faida siku ukitosheka na faida unauza nyumba/ardhi unarudisha mtaji wako kibindoni kwishaaKuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.
Naam, cheki air bnb za maana,nyumba za maana, ziki ingizwa katika orodha ya kampuni why wasipate mkopo mkubwa!.Ona masaki&obay&mikocheni watu wanavyohamishwa kwa dau kubwa
Na watu wanafanya uwekezaji hapo
Ova
Kama ulijenga kwa milioni 200, utaiuza kwa bei gani baada ya miaka 10?Chukulia nyumba uliyojenga ndio mtaji wako na hela ya pango unayopata ndio faida siku ukitosheka na faida unauza nyumba/ardhi unarudisha mtaji wako kibindoni kwishaa
Baada ya miaka 5+ huo uwekezaji utakuwa umechokaOna masaki&obay&mikocheni watu wanavyohamishwa kwa dau kubwa
Na watu wanafanya uwekezaji hapo
Ova
Kwa nini unawekeza?Tofautisha biashara na uwejezaji.
Hiyo repair inakula makusanyo yote ya mwakaNyumba za kupanga na apartment ndio return ni kwa mda mrefu ila hotel $ lodge kama ipo __cpLocation nzuri return inakuja haraka sana . Hotel na lodge Kila mwaka itakubidi ufanye repair
Hizo zinafanyiwa ukarabati wa mala Kwa malaKuna ukweli, lakini kuna nyumba zimejengwa vizuri sana na quality ya hali ya juu sana ni kama timeless machine
Si sahihi kumpangia mtu matumizi, ila ni muhimu kutathmini faida na hasara ya kila uwekezaji.Sawa, HIYO PESA YA KUWEKEZEA KWENYE MAJENGO WAWEKEZE KWENYE NINI? MAANA WEWE UNAJUA MATUMIZI YA PESA NA UWEKEZAJI KULIKO WAO, WAFUNDISHE BROO USIISHIE HAPO WAAMBIE NA KIPI CHA KWENDA KUWEKEZA PESA