Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
- Thread starter
- #161
Na kwa nini wamewekeza huko?Mkuu kwahio hujui kuwa wengi wanaowekeza kwenye majengo ni watu wana biashara nyingine ila wameamua kuweka fedha zao kwenye ardhi au nyumba?
Na kwa nini wamewekeza huko?Mkuu kwahio hujui kuwa wengi wanaowekeza kwenye majengo ni watu wana biashara nyingine ila wameamua kuweka fedha zao kwenye ardhi au nyumba?
Mkuu unapangia mtu pesa yake awekeze wapi? Kwa mimi binafsi hio ni retirement plan yangu,yaani pension yangu inatoka huko.Na kwa nini wamewekeza huko?
Sahihi kbsaIle kodi unayoipata pale sio faida, unatakiwa utoe gharama zote za uendeshaji ndipo ujilipe kama faida. Ni sawa na umenunu basi kwa milioni 300 na ukaliweka barabarani, ile nauli ya abiria sio faida. Faida itapatikana baada ya kutoa fedha uliyowekeza.
Hebu vitaje hivyo vituWekeza kwenye vitu vya msingi, achana na majengo
Jambo la kuzingatia ni kufanya marekebisho ya mara kwa mara inapotokea hitilafu, bila kusahau kurudia rangi n.kBaada ya miaka 5 uje utupe mrejesho wa hayo majengo
Unamaanisha majengo hayatakiwi kuchoka ? Nini maana ya kufanya repair ?Kwa nini majengo ya zamani yamechoka kama kweli uwekezaji huo unalipa?
Nina eneo ambalo nimenunua million 3.5 mwaka 2023Kama mtu alishawekeza huko, lazima ajifariji kwa sababu hawezi tena kurudi nyuma.
Hakuna ukweli hapoNina eneo ambalo nimenunua million 3.5 mwaka 2023
Mwezi wa 1 jirani ambaye ameshajenga tayari alinifuata ili nimuuzie eneo langu, Offer yake ilikua million 25 akapanda hadi 30 NILIKATAA.
Nyumba unauza harakaharaka hivyo?Sasa hakuna uwekezaji hauna presha na hauangushi km wa nyumba na ardhi aisee hata ufanye nn mm siwezi acha najenga kajumba m 45 unauza 70 ama 65 bila presha ni wapi utapata hiyo faida bila kukimbizana na tra