Uwekezaji wa majengo haulipi

Uwekezaji wa majengo haulipi

Hiyo repair inakula makusanyo yote ya mwaka
Repair haiwezi kula makusanyo yote ya mwaka. Inakula kidogo hata ikiwa 20 percentage ya makusanyo sio mbaya biashara ambayo sitaki kuifanyia Mimi ni kujenga nyumba za kupangisha na kuanza kukimbizana Kodi na wapangaji ila ukiwa na hotel au Lodge in good location mtu analipia kabla ya kulala na saa nne mwisho. Biashara ya mahotel ni nzuri mno Chumba kimoja let's say 30,000 mpaka 50,000 per one night . Hotel zinatengeneza faida ila location ni kitu Cha kwanza . Iwe hotel eneo ambako inaonekana na Kuna watu wengi
 
Repair haiwezi kula makusanyo yote ya mwaka. Inakula kidogo hata ikiwa 20 percentage ya makusanyo sio mbaya biashara ambayo sitaki kuifanyia Mimi ni kujenga nyumba za kupangisha na kuanza kukimbizana Kodi na wapangaji ila ukiwa na hotel au Lodge in good __cpLocation mtu analipia kabla ya kulala na saa nne mwisho. Biashara ya mahotel ni nzuri mno Chumba kimoja let's say 30,000 mpaka 50,000 per one night . Hotel zinatengeneza faida ila __cpLocation ni kitu Cha kwanza . Iwe hotel eneo ambako inaonekana na Kuna watu wengi
Jaribu kutembelea baadhi ya hoteli zilizovuma miaka mitano iliyopita, utaona uchakavu wa majengo, mifumo ya maji n.k
 
Kuna kitu watu wanashindwa kutenganisha thamani ya ardhi na uwekezaji wake ambao uko juu ya hiyo ardhi.

Kwanza ardhi pia inasifa ya kupanda na kushika thamani kulingana na sababu mbali mbali, zikiwemo kuhama Kwa mji, Vita ni

Uwekezaji wa nyumba za kupangisha Kwa sasa ni kama trend Kila mtu anataka kuwekeza huko sijui nini kimetokea ila baada ya miaka kadhaa tutapata majibu.
 
Ulishajiuliza swali kwa nini zile hoteli zilizokuwa tishio miaka ile, ila kwa nyakati hizi zinaonekana zimechoka? Ni bora ujenge na kuuza, kutokufanya hivyo ni sawa na kuongelea dira ya 2056-20100 ambayo huna uhakika kama utakuwepo.​
Kwa mawazo haya wanao watakuja kuanza moja. Tengeneza generational wealth acha kulia lia
 
Ubaya wa huu uwekezaji ni slow return na maintenance costs, mwisho wa siku unajikuta unafanya capital preservation zaidi kuliko real growth.

Bila management nzuri na cash flow plan, unaweza jikuta unakula mtaji polepole without noticing.
 
Mapato wanayoyapata hayaendani na fedha walizowekeza.
Samsung ni conglomerate kubwa sana, ni chaebol kule South Korea ina biashara nyingi kubwa ikiwemo consumer electronics, inatengeneza silaha kama vifaru, inaunda meli kubwa, ina funds na securities ila bado imewekeza kwenye real estate.

Hakuna tajiri anawekeza kwenye nyumba akiwa njaa hana hela, labda mtumishi. Ukiona mtu anazika hela kwenye jengo ujue tiyari anayo hiyo biashara unayomlazimisha awekeze. Au unahisi mtu anaokota hela ndio anajenga?
 
Nyumba siku zote ni maintenance and improvement, kama hufanyi itapoteza thamani haraka na utachukia unapoishi
Biashara muda wote ni kulipa kodi ya pango, kodi TRA, umeme, maji, wafanyakazi, usafi, Manispaa/Halmashauri, ulinzi na takataka kibao.

Mtu ameishi miaka zaidi ya 20 akifanya biashara au kazi, akiwekeza kwenye real estate simshangai. Mimi ambaye bado nina energy na muda siwezi wekeza huko ila nawaelewa wanaofanya hivyo.
 
Ila nijuavyo ardhi haishuki thamani
Kwenye majengo jenga simple stractues kuepuka uwekezaji mkubwa huku fashion zikikimbia mno
Ninadhani watanzania tunahitaji elimu kubwa sana kwenye mambo ya real estate. Imagine mtu anabeza uwekezaji wa majengo na ardhi? Hizi biashara za uchuuzi zinapofusha watu. Ni biashara zenye pesa ya haraka haraka ila ni ngumu mno kumrithisha mtu.
 
Biashara muda wote ni kulipa kodi ya pango, kodi TRA, umeme, maji, wafanyakazi, usafi, Manispaa/Halmashauri, ulinzi na takataka kibao.

Mtu ameishi miaka zaidi ya 20 akifanya biashara au kazi, akiwekeza kwenye real estate simshangai. Mimi ambaye bado nina energy na muda siwezi wekeza huko ila nawaelewa wanaofanya hivyo.
Ukipata opportunity jenga tuu, inaweza ikawa ndio one time shot na usije kuipata tena maishani kwako
 
Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa matumaini majengo hayo yatawalipa na kupata faida zaidi na zaidi. kwa ujumla majengo hayo uwapa hasara, vinginevyo mmiliki hatonufaika zaidi ya kizazi chake kijacho ambacho ndio kitakuwa kinakula faida baada ya miaka kadhaa kupita. Ukitaka kuamini hili, tembelea nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k zipe miaka mitano alafu ukazitembelee tena, utazikuta zimechoka na kama hakutokuwa na hela ya ziada ya ukarabati, ndio hivyo biashara inakuwa imekufa.​
Ukijenga hilo jengo lako nenda kakope benki hela ndefu tu, ukafanye michongo yako. watu ndo wanavofanya. Kunatofauti kubwa sana kati ya kuwekeza na kutunza.
 
Back
Top Bottom