KERO Uwanja wa CCM KIRUMBA una matundu manne 4 tu ya vyoo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
.... upigwe marufuku kutumika kwenye michezo ya ligi. Ama eneo litaifishwe na serikali ili ujengwa uwanja mpya wa kisasa kuendana na hadhi ya jiji, ama jiji lijenge uwanja wake wa kisasa eneo la Kitangiri ili ligi iachane na Kirumba ya CCM.
Kwa asili CCM haijawahi kujenga uwanja.Hivi viwanja ni mali ya wananchi wote.CCM ilipora viwanja vyote ni suala la muda tu vitarejea serekali kupitia Halmashauri za miji na majiji.
 
Wacha kulalamika kijinga, tumia fursa hiyo, tafuta sehemu karibu ya hapo jenga vyoo utengeneze pesa.

Kila tatizo ni fursa.
Me siwezi kufanya biashara ya kuhifadhi vinyesi.

Nenda kaifanye mwenyewe
 
Mbona siamini haya. Miaka ya nyuma shule niliyosoma ilikuwa na wanafunzi 800 -1000. Shule ilikuwa na tundu sizizopungua 60 za choo. Sasa uwanja wa watu 30000+ uwe na tundu nne tu. (Kumbuka shule ilikiwa ni ya Kutwa)
 
Tushangae kwa pamoja
 
Back
Top Bottom