bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Maslahi gani mh weka bayana hili tuchambueShein amekata mirija ya maslahi ya Amani Karume, ndio maana muda mwingi Amani Karume anatumia kumuhujumu Shein. Kutokana na utawala na kashkash kipindi cha chaguzi za mwaka 2000 na 2005, hivi Amani Karume anapata wapi ujasiri wa kumkosoa Shein?
Na ashukuru sana kwakuwa Shein ni mpole, angekuwa Salmin ni Rais, Amani Karume angekuwa ananyea debe.
Amani Karume anampinga Shein kwakuwa maslahi yake binafsi yamezuiwa, na sio kwamba ana mapenzi mema na Zanzibar au wazanzibar.
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Me ni mbantu namsapoti Seif.Karume ni mwarabu koko anataka kuigeuza zanzibar nchi ya waarabu. Wote wanaomsapoti Maalim ni waarabu hamjiulizi kuna nini.
Vijana wale hawana ubavu wa kutamka maneno makali kama yale bila ya kupata baraka za wahusika kwanza - hasikudanganye mtu.Vijana wa ccm sijui ni vijana wa namna gani yaani wao ni kutoa matamko ya kupingana na ukweli tu sasa wanataka mwanafamilia ya mwasisi wa muungano na rais mstaafu afukuzwe uanachama wa ccm wakati amekuwa mwenyekiti wa baraza la mapinduzi miaka kumi hao ndio vijana watakaokuja kukiongoza chama mbeleni vijana wa ccm tumikieni chama na sio kutafuta vyeo na kudhalilisha wanaosimamia haki
Wananchi wakiwakataa ndo mnakuja na hoja mufilisi namna hiimti uliozaa matunda haushi kupopolewa na mawe. Shein ni chaguo la Mungu nadhani kama alivyo Magufuli. Seif ukimuangalia usoni hana credibility ya kupewa ikulu na dola.
Ni aina ya mamluki ambaye tunaweza kuja juta huko mbele. ni sawa sawa na Lowasa. ukimuangalia usoni hupati imani ya kumpa dola kamwe.! tatizo lake kubwa yeye ni mfanyabiashara na bepari pasee ! urafiki wake na watu wa hali ya chini ni wa kuigiza tuu. sio wa dhamira yake hasa.
Tukitaka taifa letu lipae kiuchumi ni lazima ifike mahala tuwapambue mafisadi, mabepari, na mamluki na tuwaweke pembeni. vibginevyo taifa litaendelea kutafunwa miaka yote. tuzinduke wajameni
wanakuwa wameona hali halisi kuwa wanatawaliwa na baraKarume anaendeleza historia ya Marais wastaafu waliotawala zanzibar, wote wamekuwa wanabadirika baada ya kustaafu na kuanza kudai wanaouita Uhuru wa Zanzibar toka kwa watanganyika. Kwa wafuatiliaji wa Siasa, hatutashangaa na Shein naye akigeuka baada ya muda wake kutawala kutaradad.
Well said Mkuu,au atumie "Jecha"Hilo jina la jamaa unalotumia unalidhalilisha.Assange si mjinga kiasi hichi wewe ulifaa utumie jina la kihiyo.
unataka wafanyaje?Wazanzibari nao mazuzu tu kama Wabara, wanaibiwa lakini wapo wapo tu hata hawaeleweki
Rekebisha headline!, inasema Abeid Karume, lakini contents ni Amani Karume!.Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Nadhani ulimaanisha Amani Karume na sio Abeid Karume!.Abeid Karume anasimamia haki.Allah amtangulie.
Baada ya hapo itawarudia ni kuwatafuna wao wenyewe.Mwisho wa ubaya ni aibu.Dhambi ya ubaguzi itawatafuna tu ccm hakuna namna ,Mlianza na Mzee Karume,mkaja kwa mzee Moyo ,Mansoor ,na sasa mwanae Karume ,baada ya hapo ???