Mkuu kwani salfa si ni ile dawa ya kupulizia korosho?...huyu Sadifa Juma ndio kaoa juzi sio,au kaongeza wa pili? maana akili zake siku zote hua namuona fyatu!
umeandika jambo zito sana , nina uhakika huyu mzee akipita hapa atajielewa kwamba sasa yeye ni mpagani wa kiwango cha juu kabisa na wala si Alhaji .HIVi Shein akiwa anafanya ibada zake kweli hua anahisi nini moyoni mwake?
Na huko tuendako hata kusalimiana itakuwa ngumu ,hii dhambi ya ubaguz imeletwa na ccm na bado wanaiendeleza mpka wafanikishe adhma yaoHivi siasa zimeshatufikisha kutooleana...
Nitacheka sana siku hio akifukuzwa Mr. Former President, maana nadhani siku hio CCM zanzibar ofisi zao zitakuwa pale maskani yao ya kishenzi kisonge. Au hawajui kuwa Ofisi za Kiswandui ni mali Ya familia?Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Kifupi ni kua hawana Ubavu wa kumuondoa CCM. Karume anajua fika kua CCM haijawahi kushindaga kihalali Zanzibar na anajua mbinu mbalimbali walizotumia kuminya ushindi wa Seif. Kama anataka Karume amwage mchele hadharani basi wamfukuze waoneVijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Jina la aliyewatuma tafadhari.
Juliana wacha hizo! Hivi kati ya Ali na Amaan nani kaifanyia makubwa Zanzibar? Uduvi wa ccm umepoteza dira. Mpeni Maalim haki yake pambaff!Shein amekata mirija ya maslahi ya Amani Karume, ndio maana muda mwingi Amani Karume anatumia kumuhujumu Shein. Kutokana na utawala na kashkash kipindi cha chaguzi za mwaka 2000 na 2005, hivi Amani Karume anapata wapi ujasiri wa kumkosoa Shein?
Na ashukuru sana kwakuwa Shein ni mpole, angekuwa Salmin ni Rais, Amani Karume angekuwa ananyea debe.
Amani Karume anampinga Shein kwakuwa maslahi yake binafsi yamezuiwa, na sio kwamba ana mapenzi mema na Zanzibar au wazanzibar.
Hakuna kitu kibaya kama kubaguana kwa namna yoyote ile itakwenda mpaka kwenye familia!Sasa yule maalim harun suleiman na akina raza na wengine wengi ambao ni vingozi wa ccm ,ambao nimachotara watajisikiaje ? Na yule wazir mohammed aboud na yeye atasemaje? Hawa watagawika wenyewe muda si mrefu !