UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa.

UVCCM yakerwa na kauli ya Mchengerwa.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,571
Reaction score
46,545
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Pwani, Samaha Seif Said, amekemea vikali kauli iliyotolewa hivi karibuni na Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Rufiji, Mohamed Mchengerwa, akidai kuwa imewadhalilisha na kuwakatisha tamaa vijana wanaojitolea bila kuchoka kukitumikia chama hicho tawala.

Samaha ametoa kauli hiyo akijibu matamshi ya Mchengerwa yaliyotolewa wilayani Kibaha wakati akifungua kikao cha Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Pwani, ambapo waziri huyo alidai kuwa vijana hawafanyi kazi bila kupewa hongo na kwamba wamechagua upande.

Akiongea kwa niaba ya vijana hao, Samaha ameeleza kuwa kauli hiyo imewaumiza na kuwakera sana, huku akisisitiza kuwa wako tayari hata kuomba radhi iwapo itabainika walimkosea, lakini kwa utaratibu wa kistaarabu unaolinda maslahi ya umoja huo.

Mwenyekiti huyo wa UVCCM Mkoa wa Pwani amemtaka Mchengerwa kuacha kutumia kauli za jumla zinazoweza kuchafua taswira na heshima ya jumuiya nzima, badala yake ataje wazi mtu au watu maalum anaowalenga ikiwa ana malalamiko binafsi, akisisitiza kuwa vijana wa UVCCM wanafanya kazi kwa kujitolea na hawapaswi kudharauliwa wala kuhusishwa na vitendo vya rushwa hasa ikizingatiwa kuwa si kipindi cha uchaguzi.
 
Hajakosea, yuko sahihi, sisi wanachama tunayashuhudia wanayotufanyia huku uraiani
 
1792301851037.jpeg
 
porojo useless kweli hii gentleman :1Head:
 
Attachments

  • IMG-20260829-WA0027.jpg
    IMG-20260829-WA0027.jpg
    326.2 KB · Views: 3
Mh waziri kaongea ukweli na Maneno mengine kayahifadhi kama mtu mzima..
Namuongezea

Vijana wa CCM kwa sasa ni machawa waliopitiliza hasa Hawa UVCCM nk .

Mm nimekaa kigamboni wakati wa ziara ya Samuya,, niliona uchafu mwingi sana kwanza Ni aibu .

Hawa ndo vijana watakuwa mawaziri wa baadae( rubbish)
 
  • 6415691-4b4d6201ed6b5b5735c16b5fa650b075.mp4
    19.1 MB
  • IMG-20261011-WA0050.jpg
    IMG-20261011-WA0050.jpg
    143.7 KB · Views: 1
Mchengerwa amechoka kupigwa mizinga na vijana wa ccm. Haya ndio madhara ya kufanya siasa chama kikiwa kimechokwa, lazima ulipe ili watu wajitokeze.
 
Back
Top Bottom