SADIFA waheshimu wazanzibar acha ubinafsi wako maamuzi ya kura za Wazanzibar ni muhimu kuheshimiwa mbona maifanya Zanzibar kuwa Burundi nyingine.By the way Sadifa ameshatoka Honey moon?
Sema CCM ndio wabaguzi na leo mmedhihirisha kwenye maandamano mabango mliyobeba yamejaa kauri za kuwabagua watu wa jamii fulani.Chokochoko zote za karume, nia yake muungano uvunjike, wazanzbar ni wabaguz sana
Hakuna mwenye ubavu huo zanzibar, wao ni kahawa na halua tuCould ccm be creating another BOKA HARAM/AL SHABAB in Zanzibar unknowingly?
mkuu hao ndo wanaoamini upinzani ni uadui na huwezi kushirikiana kwa lolote na mtu alie chama cha upinzaniHivi siasa zimeshatufikisha kutooleana...
Shein amekata mirija ya maslahi ya Amani Karume, ndio maana muda mwingi Amani Karume anatumia kumuhujumu Shein. Kutokana na utawala na kashkash kipindi cha chaguzi za mwaka 2000 na 2005, hivi Amani Karume anapata wapi ujasiri wa kumkosoa Shein?
Na ashukuru sana kwakuwa Shein ni mpole, angekuwa Salmin ni Rais, Amani Karume angekuwa ananyea debe.
Amani Karume anampinga Shein kwakuwa maslahi yake binafsi yamezuiwa, na sio kwamba ana mapenzi mema na Zanzibar au wazanzibar.
waanze kufukuzwa wao kwanza maana chama kimewashinda sasa wanaanza Ushambenga kufuata fuata mtu binafsi mwenye Uhuru wa mawazo.Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Hao vijana ni kichuguu na Karume ni mlima Kilimanjaro hawamwezi kamwe.Hakuna mwenye ubavu huo zanzibar, wao ni kahawa na halua tu
Sasa wewe kilaza inahusiana vp na karume kufukuzwa uanachama wa CCM?chadema mnahangaikia nini huko nchi za nje?
Mimi nimemwoa faiza,tuseme na mimi nipo ccm?
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
CCM wamelea sana huu ujinga wa ushabiki vimaviVijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Uko sahihi kuhusu CCM kutoshinda kihalali na hii iliwapa shida CCM hususan kipindi chake Karume maana alikuwa hakubaliki kabisa na hapendwi. Au umesahau? Hawezi kumwaga mchele hadharani kwa sababu ana mali nyingi sana za familia ikiwemo ardhi nyingi aliyochukua na familia yake. Usisahau yale ya Sumaye. Msimdanganye Karume - he is not clean na ni mnufaika mkubwa wa CCM na utawala wake wa kibabe. Mnasahau mpk leo Lowassa hajamwaga hata punje ya mchele kabaki kuwazungusha mikono tu!?Kifupi ni kua hawana Ubavu wa kumuondoa CCM. Karume anajua fika kua CCM haijawahi kushindaga kihalali Zanzibar na anajua mbinu mbalimbali walizotumia kuminya ushindi wa Seif. Kama anataka Karume amwage mchele hadharani basi wamfukuze waone
CUF ina wawakilishi unguja na pemba,ccm ni unguja tuu baadhi ya majimbo.Hujiulizi kwa nini ccm itawale????Karume ni mwarabu koko anataka kuigeuza zanzibar nchi ya waarabu. Wote wanaomsapoti Maalim ni waarabu hamjiulizi kuna nini.