UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

Take note Machotara huko Zenji ni zaidi ya nusu ya raia wote.SHAME ...SHAME...SHAME.....kwa anayehusika na bango hilo.Huyo aliyebeba sijui ni wa chama gani...na sijui kama hicho chama kili yaratibu mabango.
 
Inauma inauma inauma inauma inauma....Namuona Dr.Salim Ahmed Salim....kama haya yalimtokea.....Namuona Kinana Jembe ulaya wa Ccm bila huyu ccm miguu juu kifo cha mende...kesho mutamuita chotara...SHAME...AIBU...SHAME laana za Mwenyezimungu ziwe juu ya wale wanaoleta mambo ya ubaguzi wa rangi.
 
Vijana wa ccm sijui ni vijana wa namna gani yaani wao ni kutoa matamko ya kupingana na ukweli tu sasa wanataka mwanafamilia ya mwasisi wa muungano na rais mstaafu afukuzwe uanachama wa ccm wakati amekuwa mwenyekiti wa baraza la mapinduzi miaka kumi hao ndio vijana watakaokuja kukiongoza chama mbeleni vijana wa ccm tumikieni chama na sio kutafuta vyeo na kudhalilisha wanaosimamia haki
 
Shein amekata mirija ya maslahi ya Amani Karume, ndio maana muda mwingi Amani Karume anatumia kumuhujumu Shein. Kutokana na utawala na kashkash kipindi cha chaguzi za mwaka 2000 na 2005, hivi Amani Karume anapata wapi ujasiri wa kumkosoa Shein?
Na ashukuru sana kwakuwa Shein ni mpole, angekuwa Salmin ni Rais, Amani Karume angekuwa ananyea debe.
Amani Karume anampinga Shein kwakuwa maslahi yake binafsi yamezuiwa, na sio kwamba ana mapenzi mema na Zanzibar au wazanzibar.
Maslahi gani mh weka bayana hili tuchambue
 
Kwani Mh. Karume amefanya kosa gani?
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.

Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.

===================
 
SIASA ZA KIBEBERU, MTU AKISIMAMIA UKWELI, AMEKISALITI CHAMA, WAKATI ANAKIWEKA SAWA MAANA KINAENDA OVYO. KATIBA IESHIMIWE
 
Karume ni mwarabu koko anataka kuigeuza zanzibar nchi ya waarabu. Wote wanaomsapoti Maalim ni waarabu hamjiulizi kuna nini.
Me ni mbantu namsapoti Seif.
Nyie watoto wa panya kamwe hamumuwezi Karume ameshamu-outsmart Kikwete kitambo sana sasa hivi tunamalizia tu.
He is a Godfather.
 
Vijana wa ccm sijui ni vijana wa namna gani yaani wao ni kutoa matamko ya kupingana na ukweli tu sasa wanataka mwanafamilia ya mwasisi wa muungano na rais mstaafu afukuzwe uanachama wa ccm wakati amekuwa mwenyekiti wa baraza la mapinduzi miaka kumi hao ndio vijana watakaokuja kukiongoza chama mbeleni vijana wa ccm tumikieni chama na sio kutafuta vyeo na kudhalilisha wanaosimamia haki
Vijana wale hawana ubavu wa kutamka maneno makali kama yale bila ya kupata baraka za wahusika kwanza - hasikudanganye mtu.
 
mti uliozaa matunda haushi kupopolewa na mawe. Shein ni chaguo la Mungu nadhani kama alivyo Magufuli. Seif ukimuangalia usoni hana credibility ya kupewa ikulu na dola.

Ni aina ya mamluki ambaye tunaweza kuja juta huko mbele. ni sawa sawa na Lowasa. ukimuangalia usoni hupati imani ya kumpa dola kamwe.! tatizo lake kubwa yeye ni mfanyabiashara na bepari pasee ! urafiki wake na watu wa hali ya chini ni wa kuigiza tuu. sio wa dhamira yake hasa.

Tukitaka taifa letu lipae kiuchumi ni lazima ifike mahala tuwapambue mafisadi, mabepari, na mamluki na tuwaweke pembeni. vibginevyo taifa litaendelea kutafunwa miaka yote. tuzinduke wajameni
Wananchi wakiwakataa ndo mnakuja na hoja mufilisi namna hii

Rudi darasani mkuu hakuna cha maana hasa ulokieleza hapa.

Dhambi ya ubaguzi utaitafuna ccm. NYERERE ANGELIKUEPO LEO HII sjui ANGEKUA ANAJIVUNA KUWA MWANA CCM AU ANGEBWAGA MANYANGA.

NAOMBA JAMII YA KITANZANIA TUITAMBUE CCM HASA UVCCM KUWA NDO KITENGO CHA UBAGUZI TANZANIA.

NA KAMA VIONGOZI WA CCM WATAKAA KIMYA BASI ITAMBULIKE KUWA CCM NI CHAMA CHA KIKABURU AU CHAMA HATARI KABISA DUNIANI KWA KUKUMBATIA UBAGUZI
 
Karume anaendeleza historia ya Marais wastaafu waliotawala zanzibar, wote wamekuwa wanabadirika baada ya kustaafu na kuanza kudai wanaouita Uhuru wa Zanzibar toka kwa watanganyika. Kwa wafuatiliaji wa Siasa, hatutashangaa na Shein naye akigeuka baada ya muda wake kutawala kutaradad.
wanakuwa wameona hali halisi kuwa wanatawaliwa na bara
 
Spirit ya Seif au tuseme aura yake, ipo katika kiwango kimoja na ile ya Mamvi wa UKAWA, ni watu wajanja sana, wamejaa akili nyingi kuliko wale wanaowazunguka. Ni rahisi kuhisi labda wanafanya kazi kwa maslahi ya wenye nguvu kiuchumi ambao hawaonekani katika vikao vya kisiasa, watu ambao wameushika uchumi lakini huwezi hata kuwatambua unapokutana nao kwenye foleni za ATM au ndani ya nyumba za ibada. Siku zote watu wenye machale huwatazama wanasiasa wa aina hii halafu vichwani mwao wanabaki na rundo la maswali yasiyoweza kupata majibu ya haraka.
 
Duu hii kali,,,ubaguz hawajaanza leo.Nakumbuka enzi 2005 yule aligombea urais akaambiwa sio mtanzania,,,aliwah kua katib mkuu wa umoja wa Africa
 
Vijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.

Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.

===================
Rekebisha headline!, inasema Abeid Karume, lakini contents ni Amani Karume!.
Abeid Amani Karume, na Amani Abeid Karume ni watu wawili tofauti!, mmoja ni baba na mwingine ni mwana!, uliyemtaja mwanzo ni baba na keshatangulia mbele ya haki!.

Pasco
 
Kwani mtu wa ccm hawezi kuolewa na wa cuf? .karume anataka kufukuzwa eti tu alialikwa maulidi na maalim seifu .maulidi ni ya waislamu wote .mbona msikiti mmoja unasaliwa na watu wa vyama tofauti .tatizo karume kaiona haki .na ukiiona haki unatakiwa uifuate .hata akifukuzwa hana cha kipoteza.ameshajua dunia ni mapito tu
 
Dhambi ya ubaguzi itawatafuna tu ccm hakuna namna ,Mlianza na Mzee Karume,mkaja kwa mzee Moyo ,Mansoor ,na sasa mwanae Karume ,baada ya hapo ???
 
Dhambi ya ubaguzi itawatafuna tu ccm hakuna namna ,Mlianza na Mzee Karume,mkaja kwa mzee Moyo ,Mansoor ,na sasa mwanae Karume ,baada ya hapo ???
Baada ya hapo itawarudia ni kuwatafuna wao wenyewe.Mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Back
Top Bottom