KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,364
- 6,256
Mi nishangaa,kinchi chenywe kama dar alaf bdo tunakinga'nga'nia,,wapeni ki wilaya chao sisi tuendelee na mambo ya msingi
Mkuu huyo simiyu ameshakata tamaa ya maisha maana elimu hana na kwa kazi yake kila siku anapigwa lindo tukwa hiyo mkuu Simiyu, wewe binti yako akiolewa na mtu mwenye itikadi tofauti na wewe, ni kosa? ..kwa nini unakuwa na chuki kiasi hiki?
Mi nadhani Karume anajitambua na ndio sababu yeye hujali maslah ya Zanzibar kuliko chama...
Shein alisha kataliwa na wenye nchi yaoNasikia hata hotuba ya Maalim Sefu jana iliandikwa na wanasiasa wa nchi jirani ili kuharibu utamu wa sherehe za mapinduzi leo na ndio maana hotuba ikasomwa jana live ili kupinga mapinduzi yaliyomuondoa Sultani muarabu aliyeacha mbegu za machotara kibao wanaoyachukia mapinduzi na wengi wao machotara hao wametangaza kutoshiriki kwenye sherehe.
Muda wake ulishamalizika mara tu baada ya uchaguzi wa 25.10Karume anaendeleza historia ya Marais wastaafu waliotawala zanzibar, wote wamekuwa wanabadirika baada ya kustaafu na kuanza kudai wanaouita Uhuru wa Zanzibar toka kwa watanganyika. Kwa wafuatiliaji wa Siasa, hatutashangaa na Shein naye akigeuka baada ya muda wake kutawala kutaradad.
What the hell are you talking about? If you have no facts to talk about, you are free to pass.don't act smart on me dude.
Kaka bado ni Rais kwa muongozo walionao wazanzibar. Usizungumze kikatiba ambayo ZnZ haipo.Muda wake ulishamalizika mara tu baada ya uchaguzi wa 25.10
Aaaaah kumbe ni muongozo na siyo kikatiba?asante mkuuKaka bado ni Rais kwa muongozo walionao wazanzibar. Usizungumze kikatiba ambayo ZnZ haipo.
hahaha... ni chokoraa flan hivi anaeish kwa kujipendekeza kama Daudi Bashite...yule aliyemfunga gidam mtoto wa mzee msafiri wa msogaMkuu huyo simiyu ameshakata tamaa ya maisha maana elimu hana na kwa kazi yake kila siku anapigwa lindo tu
Karume ni mnyasa kutoka MalawiKuna suala la udugu, hao wanaoitwa wazanzibari wengi wao babu na bibi zao wana asili ya pwani ya Tanzania, kuanzia Tanga mpaka Mtwara. Mpemba akiyatamka yale maneno yanayoanzia na M ataweka N, mfano Mtoto atasema Ntoto, Mtu atasema Ntu, sawasawa na wenyeji wa mkoa wa Mtwara jinsi wanavyoongea. Kuna wanyamwezi wengi visiwani Zanzibar, kuna wagogo na makabila mengi ya huku Bara. Mwasisi wa Mapinduzi marehemu Karume ni mtu mwenye asili ya huku bara. Damu ni nzito kuliko maji, hizo nchi unazosema tujiunge nazo, hatuna uhusiano nao wa damu, ni rahisi kukorofishana nao na uhusiano ukafa moja kwa moja, kuiliko ambavyo mtu wa bara anavyoweza kugombana na mzanzibari halafu akaja kupata naye kwani damu zao zina uhusiano.
Usanii mtupu wanatengeneza movie na kuzicheza wenyewe lengo ni kuwaondoa wananchi wa Zanzibar kwenye swala la Uchaguzimovie inafika patamu
Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeehhahaha... ni chokoraa flan hivi anaeish kwa kujipendekeza kama Daudi Bashite...yule aliyemfunga gidam mtoto wa mzee msafiri wa msoga
watu wa ccm kwa kweli wana ajili za ajabu sana....nadhani wana utamaduni wa kufikiri kwa kutumia masaburi...
Ajabu ni kwamba serikali ya Zanzibar wakati wa karume sr.ndiyo iliyoleta utaratibu wa ndoa za lazima kwa ajili ya kuchanganya damu kati ya waafrika,waarabu na wahindi,bila shaka watoto watakaozaliwa kwenye ndoa hizi watakua ni machotara,kosa lao ni nini?Nawasikitikia Wazanzibari,siyo nawatukana lakini inaniuma saana kuona kama vile hakuna masikizano mazuri.Nyiye ni Ndugu kwa nini muanzishe haya mambo ya Uchotara....?? Pse angalieni nje ya hapo mulipo pakoje..???