Urio kimiroI
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 146
- 74
anatakiwa afukuzwe
mti uliozaa matunda haushi kupopolewa na mawe. Shein ni chaguo la Mungu nadhani kama alivyo Magufuli. Seif ukimuangalia usoni hana credibility ya kupewa ikulu na dola.HIVi Shein akiiwa anafanya ibada zake kweli hua anahisi nini moyoni mwake?
Nasubiri kuona hatima ya hii moviccm vipande vipande , hakika utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Dar kubwa sana...Mi nishangaa,kinchi chenywe kama dar alaf bdo tunakinga'nga'nia,,wapeni ki wilaya chao sisi tuendelee na mambo ya msingi
Wazanzibar wote Si wabaguzi, wabaguzi Jana wamejitokeza hadharani na mabango wakiwabagua machotara.Chokochoko zote za karume, nia yake muungano uvunjike, wazanzbar ni wabaguz sana
Wazanzibar wote Si wabaguzi, wabaguzi Jana wamejitokeza hadharani na mabango wakiwabagua machotara.
Na wakasema hiviVijana wa CCM Zanzibar wametoa kauli ya pamoja kwamba Rais mstaafu Aman Karume afukuzwe CCM kwa kuwa anaungana na upinzani kukizamisha chama.
Vijana hao wanaoonekana kutumwa wamesema asipofukuzwa watatumia njia mbadala.
===================
Huyu anasubiri cheo sasaNa wakasema hivi
![]()