parts
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,712
- 1,748
👊👊Sasa huyo Bashiru Ally ana vision gani zaidi tu ya kumsujudia binadamu mwenzake?
Angekuwa ana vision si angejitokeza hadharani yeye na mwenzake Polepole kumshawishi bosi wake kuurejesha Mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi?