Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

JPM sijui kama ataondoka madarakani, Muda ukifika atasema sijamaliza kujenga fly over CHATO
Instagram media - CLy4fxuF06Q ( 640 X 640 ).jpg
 
Kama hizi ndio hoja za CHADEMA siku hizi basi nikiri kusema hakuna umuhimu wa upinzani tena. Kama mtu ana sifa na vigezo vya kuteuliwa , hakuna namna kufanywa hivyo

Mhe Bashiru alikuwa akimudu vizuri mno kazi ya kusimamia, kusafisha chama akishirikiana na Rais Magufuli. Angalia chama chini ya Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally kilisafishwa kikawa tofauti na awamu zilizopita, alifanya kazi ndani ya chama vizuri na kwa uwazi na ukweli kwa hiyo kama Katibu Mkuu Kiongozi atafanyakazi vizuri zaidi! History will tell. Amekuwa Katibu Mkuu wa CCM, hujasikia wala kupata fununu kuwa ana meli au mashua yake binafsi Lake Victoria, Lake Tanganyika wala bahari ya Hindi ! Hujasikia ana vitalu vya uwindaji wa nyama pori Serengeti, Saanane, Saadani wala hujasikia ana kampuni ya kusafirisha pembe za ndovu!!
 
Mwal

Mwalimu wa chuo kikuu cha umma/ aliyefikia nafasi ya juu, huyo hatoshi kuwa afisa mwandamizi? Labda watusaidie mipaka ya hayo maneno ni kwa mtumishi aliyewahi kushika nafasi zipi
Huwezi kuwa mtumishi wa umma halafu ukawa katibu wa chama. Tangu ateuliwe kuwa katibu wa CCM alikoma kuwa mtumishi wa umma.
 
Tatizo lako haujui taratibu,ukifuatilia alianza kuapishwa kama balozi, tayari anakua mtumishi wa serikali then akaapishwa kama katibu mkuu kiongozi ,sasa apo amesigina vipi katiba?
Sidhani kama kinachompa uhalali ni huo mtiririko wa Kuala, kwa kuwa katiba yenyewe imetoa definition ya mtumishi mwandamizi wa serikali na kwa maoni yangu Dr Bashiru anakidhi sifa zinazotajwa katika definition hiyo. Kwa hivyo hata asingeteukiwa kuwa Balozi bado angekidhi sifa ya kuwa KMK.
 
Sidhani kama kinachompa uhalali ni huo mtiririko wa katiba yenyewe imetoa definition ya mtumishi mwandamizi wa serikali na kwa maoni yangu Dr Bashiru anakidhi sifa zinazotajwa katika definition hiyo. Kwa hivyo hata asingeteukiwa kuwa Balozi bado angekidhi sifa ya kuwa KMK.
Kwa hiyo wewe kwenye hili hauko kwenye lile kundi linalodai Magufuli kavunja katiba?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kwa hiyo wewe kwenye hili hauko kwenye lile kundi linalodai Magufuli kavunja katiba?
Ni bahati mbaya tu hawa waandishi wanaotoa hizi taarifa za uteuzi hawajiongezi tu.......ingependeza wawe wanasema uteuzi umefanywa chini ya sheria/kigungu gani (Ile barua ya kuvunja Halmashauri ya Jiji la Dar ni mfano wa best practice - kwa maoni yangu).
 
Sidhani kama kinachompa uhalali ni huo mtiririko wa katiba yenyewe imetoa definition ya mtumishi mwandamizi wa serikali na kwa maoni yangu Dr Bashiru anakidhi sifa zinazotajwa katika definition hiyo. Kwa hivyo hata asingeteukiwa kuwa Balozi bado angekidhi sifa ya kuwa KMK.
safi nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom