Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

View attachment 1712912

Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?

Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?

View attachment 1713010
Pia ni muhimu kujua makundi ya utumishi wa umma yaliyo ainishwa kwenye Sheria ya utumushi wa umma ili kupata uelewa zaidi kabla hujakosoa uteuzi
 
ccm haina watu wengine hadi muanze kuhamishia chama Ikulu ?
Hivi katiba inazuia katibu mkuu wa chama kuteuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi?
Logic: Hivi chadema ikishinda uchaguzi (najua haitatokea!) Ina maana mnyika kweli hatateuliwa kushika nafasi serikalini?
Chadema mnapiga too much porojos!
 
Back
Top Bottom