Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,125
- 8,232
Mama ameanza kuchanganyikiwa, sijui ikifika 2024, panga pangua itashika hatamu
Tunduma ndio penye mafiga matatu Malawi, Zambia na Tanzania hivyo sijakosea inaelekea wewe huijui vizuri Tunduma.Pembeni ya tunduma au kyela. Unazingua
Sema broo pole pole hajachoma sindano ya covid 19 so ataendajee kuleKuteuliwa na Mkuu Wa Nchi kumuwakilisha kama Barozi ni heshima kubwa, inawezekana isiwe nafasi kubwa kwako lakini inaonyesha imani kubwa aliyo nayo Rais kwako...
Majengo ya nhc yalioko kigamboni yanatakiwa yaishe sas unamaliza vipMaprofesa wa chuo kikuu cha Dar es salaam ninaomba mnieleweshe hili jambo...
Covid 19 was not there ndiyo maana JPM ana remain hero ktk vita hiyo ya kiuchumi ya Mabwanyenye na hata waliokufa ni kwa dhana walikufa kwa woga tu na wengine walitolewa sadaka kujustfy walichokuwa wanataka wakubwa.Sema broo pole pole hajachoma sindano ya covid 19 so ataendajee kule
halafu siyo Msumbiji ni MalawiBalozi sio barozi mkuu
Mmmhhhh nchi hii aiseeNehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Tushike lipi tuache lipi? Lakutumbuliwa ama la hakuna watanzania wengi? Nyoosha maelezo mkuu.Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Ubalozi si nikazi kama kazi nyingine? Akiapa na Akaomba likizo bila malipo sheria ya ajira itambana? Just joking ha ha haaa!Exile for Humphrey. Tuone kama atakataa
Likizo akiomba si mpaka akubaliwe?Ubalozi si nikazi kama kazi nyingine? Akiapa na Akaomba likizo bila malipo sheria ya ajira itambana? Just joking ha ha haaa!
mwaka hauishi,kwenye ubunge walikuwa wanashindwa wamtoe vipi,kumfutia uanachama waliona kama makosa yake haya sound vizuri,kwenye ubalozi anakuwa chini ya mamlaka ya Rais,akitaka anaweza akatengua uteuzi hata kesho hiyo hiyo baada ya kuapishwaUko anapiga kazi mwaka mmoja mama anamtumbua
Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Kindamba alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TTCL na anachukua nafasi ya Mhandisi Marwa Rubirya ambaye amestaafu kwa umri.
Polepole na Kindamba wanatarajiwa kuapishwa kesho Jumanne tarehe 15 Machi 2022 Ikulu ya Chamwino Dodoma saa 04:00 Asubuhi.
Katika hatua nyingine Rais Samia Suluhu amemteua Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Mchechu ambaye amewahi kuhudumu kwenye wadhifa huo, anachukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Pia amemteua Balozi na Mkuu wa Jeshi la Polisi (Mstaafu) Ernest Jumbe Mangu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Bandari (Tanzania Port Authority).
Na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Peter Ulanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
Ulanga ni Mkurugenzi Mstaafu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF).
Na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali John Julius Mbungo, Mkurugenzi Mstaafu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Meli Tanzania (MSCL).
View attachment 2150380
View attachment 2150479
WAZIRI NAPE NNAUYE ALIVYOTANGAZA UTEUZI WA HUMPHREY POLEPOLE
Anaenda kula kwa urefu wa kamba yakeRais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.

Hakuna mwajili anakataa kutoa likizo ya bila malipo! Tena kwa serikali nadhani itakuwa rahisi maana mbadala mfanyakazi tena balozi si wakuumuza kichwa siku hizi...kwa hiyo ikiwa vingenevyo basi kuna jambo linginelo...!!!ha ha haaa bado natania mjue!Likizo akiomba si mpaka akubaliwe?