Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Eheee ndiyo imekuwa hivyo? Eheee ndiyo hivyo Mjomba IMEISHA HIYOOOO lazima tuwafundishe watu adabu........Muhuni kakataliwa na wahuni.
 
Niliwahi kusema humu kwamba ubunge tastes sweeter than being ambassador, Rc, au Dc..na ndio maana tumeshuhudia akina Gambo au Pindi chana wakipgana vikumbo kuutaka u-MP..nilisema hvo kuwajibu waliokuwa wakinanga kwamba 'Mama amnyima polepole teuzi' Watu wanapenda kujisahaulisha!
 
Back
Top Bottom