Utetezi wa dr. Louis

Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
4,408
Likes
11,306
Points
280
Age
46
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
4,408 11,306 280
Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900

Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip
 
Emmadogo

Emmadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
4,151
Likes
3,459
Points
280
Emmadogo

Emmadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
4,151 3,459 280
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
 
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,833
Likes
2,917
Points
280
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,833 2,917 280
Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900

Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip
Nimechekaaaaaa sana uzuri nipo peke yangu ofisi dah!
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
31,868
Likes
93,297
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
31,868 93,297 280
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
Wakapimwe mkojo
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
12,159
Likes
8,337
Points
280
M

mangatara

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
12,159 8,337 280
Dr. Louis kajipatia majumba ya kutisha matatu kwa shs 900! Dah! Halafu waliomlaza sero tatizo hakuna sheria Tz za kumfungulia polisi mashitaka ya usumbufu bila sababu, leo angelikuwa hapo hapo mahakamani akidai fidia. 900 bila msamaha
 
Forum statistics

Threads 1,264,281
Members 486,258
Posts 30,178,909