Utetezi wa dr. Louis

Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
4,409
Likes
11,302
Points
280
Age
46
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
4,409 11,302 280
Aise nimecheka mpaka nimeanguka kwenye kiti....Hahahaha:):):) Pale Yono na Polisi kuna vioja vya kufa mtu, ila sishangai, na ndio naelewa kwanini The late Mch. Mtikila kwanini hajashindwa kesi vs dola...
pole nyanyuka mkuu
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
21,000
Likes
21,792
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
21,000 21,792 280
Yaani leo muda mwingi nilikua nasmile huyu kajua kutuondelea stress siku ya jana
Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
 
serio

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
6,476
Likes
1,720
Points
280
serio

serio

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
6,476 1,720 280
Nilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
Kila nikimuwaza huyu Mzee, nacheka balaaa
 
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Messages
4,409
Likes
11,302
Points
280
Age
46
Simara

Simara

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2014
4,409 11,302 280
Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
Hapana nimemshindwa halafu alivyofika tu anaulizia malipo yanakuaje yanalipwaje kumbe hana thumni
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
5,941
Likes
3,773
Points
280
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
5,941 3,773 280
Yaani hunishindi mimi, leo ofisini kila nikipata muda, najikumbushia youtube ule mnada na yale mapozi yake sasa! Yule akija humu JF namkabidhi kwako!
Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
21,000
Likes
21,792
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
21,000 21,792 280
Achana na hilo, hukuona vile vitambaa alivyopepewa navyo! Mama Yono naye alilewa na mawazo ya "ching ching" akasahau kabisa sheria za minada.. hahahahaha, niko hoi kabisa aise, sjiwezi na mbavu zauma...
yule jamaa mkali aiseee! ni zaidi ya genius!
 
Forum statistics

Threads 1,264,249
Members 486,221
Posts 30,176,996