Nimechekaaaaaa sana uzuri nipo peke yangu ofisi dah!Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900
Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip
Wakapimwe mkojoNilikuwa nabishana na jamaa yangu hapa kitu hiki hiki tangu jana kuwa huyu jamaa hakutamka neno Millioni so hana alichokosea bali wale Yono ndio wapumbvu kwa kubali kumuuzia mtu nyuma ya millioni 900 kwa Mia 900
Nami nashukuru niko peke yangu maana nimecheka sanaNimechekaaaaaa sana uzuri nipo peke yangu ofisi dah!
Yani nikiangangalia majibu nabaki na cheka!huyu jamaa ni jiniasi watu hawaelewi.Nami nashukuru niko peke yangu maana nimecheka sana
Nawazia Polisi na Yono baada ya kupewa jibu kama hili wamejisikiajeYani nikiangangalia majibu nabaki na cheka!huyu jamaa ni jiniasi watu hawaelewi.
haaaaaaaaa jana nimecheka sana wakati naangalia news ITV... alisema 900 itapendeza sana.900 itapendeza
Haisee nakuona bado unacheka... Kwa ujumla hii ni kali ya mwakaYaani leo muda mwingi nilikua nasmile huyu kajua kutuondelea stress siku ya jana