Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,917
- 1,660
Ushaur wa kichup huu! Kazia apo apo endelea kumdanganyaNi wasioelewa tu wanaoweza mlaumu Sabaya Kwa utetezi wake , na ni ukweli mamlaka zilimtuma , hakufanya uhalifu alitekekeza majukumu aliyoagizwa na ushahidi upo.
Rais kumfukuza kazi Sabaya na kuruhusu kudhalilishwa kwake huku akijua ofisi yake inahusika moja Kwa moja ilikuwa wrong move....Sabaya shikilia hapo hapo.