Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,340
- 51,891
- Thread starter
- #41
Kwa umri wa Sabaya Rais agizo lake ni kutekeleza tu hakuna kushauriana ni ndio mkuu sawa mkuu basi. Sabaya kafanyiwa umakusudi na Samia na Watuwake hivyo tu.
Job descriptions yake inamaelekezo hayo??
Kisheria kijana mwenye miaka 18 ni mtu
Hakuna kesi ni ujinga tu, sabaya tangu mwezi wa 4 anasakamwa. Na wanajua alikuwa akipewa order kama mojawapo ya majukumu. Hawakustahili kumdhalilisha kiasi kila wakati wanajua alifanya majukumu aloagizwa
Ilibidi wamlinde maana kwa sisi tunaojua siasa kila uongozi lazima watu wachache waumie wengi wapone.
Sabaya kutumwa na rais sio dhambi ilo wazi hata ungekuwa wewe ungemtuma akusaidie kazi.kisiasa hii inaeleweka wala aliemtuma yupo sahihi.
Urais ni taasisi je hawakujua hilo? Of cause walijua sana. Sasa ndo ujuwe magufuli alikuwa akichukiwa bila yeye kutambua. Yaani sasa hivi ni kama kukomoa.
Sabaya ametaja baada ya kuona hakuna msaada.kipindi hiki chote alikuwa kimya alivyoona hakuna anaemsaidia akaongea...
Najua ataumia na wenda baabae...................
Kwa sasa hana chaguo hata mimi ningefanya hivyo.
Ni mapito tu hata awamu zilizopita hapa.mambo yalikuwepo.