Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ndokeji! Naweza nikapinga kuwa wanawake wemekuwa tegezi ,huo usemi ni wazamani ndo maana ninakwambia ukiona mapenzi yanaterereka kwasababu ya uchumi ujue MSINGI wake ulijegwa na hela./money!
 
Wadau mbona siwaelewi? mapenzi na pesa wapi na wapi? utaitaje mapenzi hayo? semeni biashsara ya mapenzi na pesa.
utasemaje unapendwa wakati unanunua? wewe hapo hupendwi, nenda zako bar elewana na dada au nenda zako ohio opoa unaye mtaka kamalize haja zako.
Hmna uhusiano wa mapenzi na pesa tafadhari msitupotoshe hapa.
Biashara ya mapenzi ipo, kwa maana kunawanaouza uchi wao tena bei maelewano.
 
Mapenzi sio pesa ila pesa inasaidi kuboresha mapenzi,anaekupenda sababu ya pesa zako basi jua hupendwi weye zinapendwa pesa ..
 
.....sasa bila pesa mtafurahia kweli hilo penzi? Ili ufurahie penzi lazima upate mahitaji ya muhimu kama kula, kuvaa na kulala, sasa bila hivi vitu kuna furaha kweli hapo!! Ndio maana wanasema mwanaume pesa na si sura, na hapendwi mtu bali pochi hahahahahha!!
 
nakuunga mkono - tatizo humu wengi wanazu gumza theories tu bila kuzingatia hali halisi
 
yan mhimu kweli sababu kiukweli mambo ya kujidai unampenda mtu bila kuangalia uwezo wake kipesa ni ujinga.mtakula nini mkifika huko ndani???
 
gari%2Bkubwa.jpg

GUDMORNING
 
yan mhimu kweli sababu kiukweli mambo ya kujidai unampenda mtu bila kuangalia uwezo wake kipesa ni ujinga.mtakula nini mkifika huko ndani???

Siku zote ulikua unakula nini?

Hiyo tabia ya utegemezi ndio inayowaingiza wengi matatizoni. Mtu unakua kama mtumwa.
 
'Mambo ya PESA mpaka makubaliano, hapo ndipo PESA huwa na thamani' - Cosmas Chidumule
 
Sio kila mtu anachukulia pesa inamaana sana kwenye mapenzi inategemea unaitumiaje hiyo pesa kwenye Mapenzi,
kama unaifanya ndio weapon yakupendwa au unajifanya wewe unazo unatafuta mtumiaji utampata..
 
pesa is everything my friend, hakuna mapenzi bila pesa. Ni muhimu mkiwa wenzi basi matumizi ya kila siku yasiwapige chenga. Ila techniques ya kukwepa hili kidogo, mazingira uliyompata huyo mwenzi na mazingira unayoishi yana matter sana. Kama huna pesa unaishi mitaa ya matajiri kazi unayo, kaa sehemu ambayo wewe unakuwa noticed kidogo kupunguza tamaa za mwenzi wako.
 
Back
Top Bottom