Hivi rafiki kakukopesha pesa utatue tatizo lako ghafla unamkuta kamtongoza mke wako je ? Utamlipa pesa yake?

Ngoniboysinai

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
577
460
twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka hospital akiwa mzima kabisa.

Baada ya wiki moja jamaa angu akamlipa pesa nusu jamaa ambaye ni laki moja maana alikopa laki mbili , tatizo lilianza hapa baada ya jamaa kumtongoza mke wa rafiki yangu na mshkaji anajisifia kwa mke wa jamaa kua hata ile pesa ya hospital alitoa yeye na kamkejeli sana mwana kwa mke wake mke kamweleza kila kitu mume wake na jamaa kaamua kutokumlipa kiasi kilichobaki je ni sawa? ingekukuta wewe mwana JF UNGEFANYAJE UNGELIPA DENI LILILOBAKI?
 
. Kwenye pesa itabaki pesa kama ilivyo
. Kwenye mapenzi yabaki mapenzi kama yalivyo.

Yawezekana hizo pesa umekopeshwa kwa sababu ya mke wako, analiwa na jamaa si vinginevyo.
 
twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka hospital akiwa mzima kabisa.
Baada ya wiki moja jamaa angu akamlipa pesa nusu jamaa ambaye ni laki moja maana alikopa laki mbili , tatizo lilianza hapa baada ya jamaa kumtongoza mke wa rafiki yangu na mshkaji anajisifia kwa mke wa jamaa kua hata ile pesa ya hospital alitoa yeye na kamkejeli sana mwana kwa mke wake mke kamweleza kila kitu mume wake na jamaa kaamua kutokumlipa kiasi kilichobaki je ni sawa? ingekukuta wewe mwana JF UNGEFANYAJE UNGELIPA DENI LILILOBAKI?
Mimi kiukweli simlipi maana ananiona boya,
Naongea kwa herufi kubwa silipi,
 
twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka hospital akiwa mzima kabisa.
Baada ya wiki moja jamaa angu akamlipa pesa nusu jamaa ambaye ni laki moja maana alikopa laki mbili , tatizo lilianza hapa baada ya jamaa kumtongoza mke wa rafiki yangu na mshkaji anajisifia kwa mke wa jamaa kua hata ile pesa ya hospital alitoa yeye na kamkejeli sana mwana kwa mke wake mke kamweleza kila kitu mume wake na jamaa kaamua kutokumlipa kiasi kilichobaki je ni sawa? ingekukuta wewe mwana JF UNGEFANYAJE UNGELIPA DENI LILILOBAKI?
Ebu acknowledge kuwa ni copied from Wasafi Radio please, hicho ni kisa cha Johnson alikopa 260000 kumuuguza mkewe baada ya mkewe kutoka hospital Johnson akerejesha Laki moja, Kisha siku kadhaa huyo mdeni wake kaenda kuchukua gaoe la kumtongoza mkewe , Johnson akaambiwa Kila kitu na mkewe na Johnson kamfata jamaa Kamchana na kamwambia na pesa ilobaki sikupi
 
Acheni uchonganishi deni lazima ulipe ila waswahili wanasema unapokuwa na kiu sio nyumba zote zinafaa kugongwa hodi kuomba maji, huyo mkopeshaji ni mtu wa sifa sifa na mdhalilishaji ni ameumbwa hivyo kwahiyo mlipe tu na endelea na maisha yako dunia ndio ilivyo
 
Hapo dawa ni kuunda mtego na mke wako, anaingia naye hadi gesti kabla hajafanya unamfumania, unampiga hela ndefu na urafiki unaisha mana hana adabu
 
Mke wako nilimtongoza lakin sijamkula pesa yangu lazima ulipe ,kumbuka nilikukopesha
 
twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka hospital akiwa mzima kabisa.
Baada ya wiki moja jamaa angu akamlipa pesa nusu jamaa ambaye ni laki moja maana alikopa laki mbili , tatizo lilianza hapa baada ya jamaa kumtongoza mke wa rafiki yangu na mshkaji anajisifia kwa mke wa jamaa kua hata ile pesa ya hospital alitoa yeye na kamkejeli sana mwana kwa mke wake mke kamweleza kila kitu mume wake na jamaa kaamua kutokumlipa kiasi kilichobaki je ni sawa? ingekukuta wewe mwana JF UNGEFANYAJE UNGELIPA DENI LILILOBAKI?
Rudisha pesa za watu kama wewe na mke wako mlipanga kumdhulumu mwamba acheni hizo.
 
twendeni moja kwa moja katika jambo ,Kuna rafiki yangu alikua akiuguliwa na mke wake nae hakua na pesa ilimbidi amwone mshkaji amkope pesa akalipie matibabu , mke akapona na akaruhusiwa kutoka hospital akiwa mzima kabisa.
Baada ya wiki moja jamaa angu akamlipa pesa nusu jamaa ambaye ni laki moja maana alikopa laki mbili , tatizo lilianza hapa baada ya jamaa kumtongoza mke wa rafiki yangu na mshkaji anajisifia kwa mke wa jamaa kua hata ile pesa ya hospital alitoa yeye na kamkejeli sana mwana kwa mke wake mke kamweleza kila kitu mume wake na jamaa kaamua kutokumlipa kiasi kilichobaki je ni sawa? ingekukuta wewe mwana JF UNGEFANYAJE UNGELIPA DENI LILILOBAKI?
Itategemea kama alitoa mzigo.
 
Kukopa na kutongoza hakuna uhusiano. Alipe deni lakini amuangalie huyo jamaa kwa jicho jingine kwa sababu ni mshenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom