Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Duu wanzungu nomaaaaa!
Mshaara wangu ukipanda je na wewe uzuri wako utaendleea kupanda umri ukiwa unaenda? Good question!
 
he was soo cruel,lol....those few rich men ambao unawaona wake zao wanashinda na ndala kwa ubahili lol
 
Yani habari ndo hiyo kila mahali! ndo maana wife material wengi wazuri lakini si kivile...coz to get married requires more than looks...it needs something that will be appreciating over the years.
 
jamaa kamjibu vyema: badala ya kufikiria kutafuta mtu tajiri amuoe, ni bora atafute zake... unfortunately mindset kama ya huyo binti bado ina prevail sana mitaani
 
Rifwima naomba HATI MILIKI ya kuibadilisha iwe kwa Kiswahili niiweke hapa JF kwa mazingira ya TZ ITAKUWA BOMBA ZAIDI... Asante kwa kunielewa.
 
Sio mbaya kusema kile Moyo unataka ....lakini moto wa Hao wenye pesa utatamani ahera nawe bado mzima,mume time na mke hanaa hata kidogo....
 
awali nilipenda sana ndoto za huyo binti...baadae nikajikuta napenda zaidi majibu ya CEO!...imetulia mkuu!
 
Mi coni ubaya wakiexchange products zao in terms of batter trade lol! Unanipa cash my beauty pays! Even after 20 years a woman anayejua maana ya kua prety atamaintain ubeauty wake kwa ku2mia hela zako! May be kama uko rich then bahili!thats another case bt kama uko rich then mtoto shoping ya vipodozi and clothes Dubai each passing day utazidi kumuona mrembo tu wala hachuji..
Hahahaa just saying!
 
Nina mda mrefu juu hii mada mademu wengi unapokutana nao mara ya kwanza hujifanya wako cool but kadri siku zinavyokwenda hufungua makucha na wengi ni uroho wa pesa bila kujali kipato chako nimemtafuta mwenye fikra za tofauti za kimaendeleo naona natafuta barafu jangwani hey girls badiliken pesa ni vitu vya kupita but sio zikosekane kabisa na nyie mjitume!
 
Kwenye mapenzi pesa ina nafasi yake aisee..kuna mambo mengi sana hayawezi kufanyika kwenye mapenzi bila pesa,hata kumpigia mke/mpenzi wako simu pesa inahitajika..
 
kila mbuzi anakula usawa wa kamba yake mkuu......
tatizo wanaume na nyie mnapenda makuu..... the way unavojiexpress utapata msichana wa aina hiyohiyo...
kama unaenda kushinda kwenye viti virefu savannah unategemea upate mwanamke wa aina gani....? unaazima gari unaenda kutongozea demu ,azima hata ka vitz basi ... unaazima vogue kabisa..... hapo unaharibu mind ya msichana na watu .... unategemea uje upandishe bodaboda akubali.... na yeye kazoea vogue na wenye vogue wapo?
nyie vijana ishini jinsi mlivo .... wanawake wachache sana wanapenda watu wenye hela..
hela zipo zinatafutwa na ndo maana hata sisi hatulali tunatafuta au hamtuoni tumebanana na nyie tunatafuta jamani?
but kama mwanaume unatakiwa ujue wanawake tunapendwa kudekezwa ... tunapenda sana sio kidogo kupewa pesa na wapenzi wetu hata kama tunazo... hela ya saluni ... vimizinga vidogovidogo hope unaelewa mkuu.
ila sio unajiachiaaa kutoatoa kama mtumwa ... sio issue sana ... kama huna usijitese
ila mimi aisee nisipopewa roho inaumaje?..... kama mtu anataka kuishi na mimi kiukweli chop chop my money .... loh iwepo aiseee
napenda sana kusaidiana ... sipendi mtu mchoyo au bahili meeen

.... acha ubahili bana .....
 
Back
Top Bottom