Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

competition ni kubwa kitaani kwa wadada.... wanashinda ili wawashinde kina mwajuma wa kitaani... so lazima adandie penye nyingi afikie malengo
 
Tatizo ni kutoweka kwa upendo wa kweli nakukosa utulivu basi pesa imechukua nafasi katika mioyo ya watu wanaume kwa wanawake pesa ndo kila kitu
 
Sikia kaka bonge, to me pesa sio kipaumbele kabisa ninachotafuta mimi ni mapenzi ya kweli, kama ni pesa hata mimi ninao uwezo wa kuzitafuta lakini kumpata akupendaye kwa dhati ni jambo la bahati sana na asilimia kubwa ya wanaume wenye pesa nyingi hawana mapenzi ya kweli hata akikuoa atakuweka tu hapo ndani ule uvae na kujisaidia basi. Wakina dada lazima mtambue kwamba hakuna aliejaliwa vyote yani upate mwanaume anaekupenda sana,awe handsome,awe na pesa nyingi,awe anakuthamini ni kitu ambacho hakiwezekani wewe kama unataka mapenz ya kweli basi usichanganye na pesa, na kama unataka vyote basi utachezewa na kuachwa.
Salaaaam wote,
nimeweka hii mada ili tuweze kupeana uzoefu katika hili,huki mitaani tunakoishi tunaona wenye fedha wakigegeda mabinti hata wanne kutoka familia moja,ukiwauliza wanakwambia pesa kaa,wake za watu ndo usiseme" akipewa lateni yaani elfu kumi,anaambiwa hiyo ya vocha.
Kesho anaipeleka papuch ikatifuliwe.
Wakusoma nao wa vyuo,wa sekondari ndo usiseme mtu anao wa shule kama tano hivi hadi anawapangia zamu.
Tatizo nini DADA ZETU? Mbona bibina babu hawakua hivyo? Tena mahari zilikua sahani na vikombe.
Kwani ukipanga chumba na sebule usafiri daladala mboga zako dagaa,harage,tembele na ndim nyingi huwezi kuwa na mapenzi ya dhati?
Dada zetu badilikeni,msipende sana pesa,maelewano ndo mapenzi.
Wachangiaji twende kazi.
 
jana kaja demu hapa kasema anamwacha jamaa kisa hana hela leo mkamponda na kumtukana leo tofauti mademu wajf waigizaji sana ndo maana kuna mmoja alikua ana nipm nikamtukana
 
Sikia kaka bonge, to me pesa sio kipaumbele kabisa ninachotafuta mimi ni mapenzi ya kweli, kama ni pesa hata mimi ninao uwezo wa kuzitafuta lakini kumpata akupendaye kwa dhati ni jambo la bahati sana na asilimia kubwa ya wanaume wenye pesa nyingi hawana mapenzi ya kweli hata akikuoa atakuweka tu hapo ndani ule uvae na kujisaidia basi. Wakina dada lazima mtambue kwamba hakuna aliejaliwa vyote yani upate mwanaume anaekupenda sana,awe handsome,awe na pesa nyingi,awe anakuthamini ni kitu ambacho hakiwezekani wewe kama unataka mapenz ya kweli basi usichanganye na pesa, na kama unataka vyote basi utachezewa na kuachwa.

nimekupenda sanA wewe
 
Kama nimekupenda kutoka moyoni siangalii wallt, pesa ni sabuni ya roho na tena pesa hiyohiyo ni adui wa mapenzi.
 
Ushasema bibi na babu....Tofautisha maisha ya wakati ule na sasa kabla Bongo yetu ikiwa ya zamani na sasa ikiwa ya kileo technolojia kibao zinazosababisha gharama za maisha kuongezeka...

Wkt ule hakukuwa na Mobile phones...So hakuna haja ya vocha ni barua...Sasa kuwasiliana na mtu kwahitaji hela
Wkt ule taka unatupa...sasa hata mtu wa taka unamlipa.
mmmhh wkt ule mwanamke kitambaa, tissue yes now tissue no magonjwa mengi sasa ni P...d
Wakati ule msichana Mafuta REIZ sasa mafuta Lotion/Body cream
Wakati ule nywele mwanamke anachoma, sasa mwanamke anaweka dawa dawa kuanzia sh. Elfu kumi bado hujaenda saloon.
Wakati ule Kucha hazibandikwi ni hina tuu kwa kwenda mbele, sasa kucha za kubandika na Rangi bado hujamlipa wakukutengeneza.
Wakati ule Kope hakuna za kubandika sasa Kope za kubandika kuanzia elfu 10,000
Wkt ule pichu ikikatika mpira unaweza ifunga au ishona sasa huwezi

Wakati ule TV hadi ukaangalie kwa JIRANI au uende Sinema now Tv nyumbani king'amuzi unalipia.

Inshort angalia mabadiliko ya technolojia na gharama ndipo utapata jibu kwanini hela inahitajika sana wakati huu...Km umezaliwa jana basi uliza baba yako alivyokuwa anaishi enzi zile na sasa maisha yakoje..

Au sikiliza wimbo wa Wati wa ujana wangu mimi baba yenu, sukari dukani shilingi mia unapata, sasa hivi shilingi mia hata mboga hupatiii

Salam wote.
Nimeweka hii mada ili tuweze kupeana uzoefu katika hili, huku mitaani tunakoishi tunaona wenye fedha wakigegeda mabinti hata wanne kutoka familia moja, ukiwauliza wanakwambia pesa kaka, wake za watu ndo usiseme" akipewa elfu kumi, anaambiwa hiyo ya vocha.

Kesho anaenda kulala nae.

Wakusoma nao wa vyuo, wa sekondari ndo usiseme mtu anao wa shule kama tano hivi hadi anawapangia zamu.

Tatizo nini DADA ZETU?

Mbona bibi na babu hawakua hivyo?

Tena mahari zilikua sahani na vikombe.

Kwani ukipanga chumba na sebule usafiri daladala mboga zako dagaa, harage, tembele na ndimi nyingi huwezi kuwa na mapenzi ya dhati?

Dada zetu badilikeni, msipende sana pesa, maelewano ndo mapenzi.

Wachangiaji twende kazi.
 
Nafurahi ktk maisha yangu sijawahi kupata mwanamke wa bure bila kuhonga (including my wife wangu wa ndoa, mpaka leo ananichuna kwa sana tu, afadhali hata kabla hatujaoana), kwa karne hii ukipata wa bure, eti amekupenda tu ujue huyo ni mchawi au jini. Anaweza kukupenda kutokana na good looks lakini hiyo ni for public display/showbiz, nyuma ya pazia kila mwenye feza anweza kumla bila matatizo.
 
kama maneno haya yanatoka moyoni kwako na umeyatoa kwa dhati kabisa ya moyo wako,bila ya kushawishiwa na mtu na wala sio kutafuta umaarufu hapa mmu,basi wewe ni mwanamke hatari sana.
Yaani wewe mwanamke weka mbali na wanaume kabisa.

Bonge the one upo kaka,unashangaa mapenz ya kileo???umeadimika sana
 
Last edited by a moderator:
Ushasema bibi na babu....Tofautisha maisha ya wakati ule na sasa kabla Bongo yetu ikiwa ya zamani na sasa ikiwa ya kileo technolojia kibao zinazosababisha gharama za maisha kuongezeka...

Wkt ule hakukuwa na Mobile phones...So hakuna haja ya vocha ni barua...Sasa kuwasiliana na mtu kwahitaji hela
Wkt ule taka unatupa...sasa hata mtu wa taka unamlipa.
mmmhh wkt ule mwanamke kitambaa, tissue yes now tissue no magonjwa mengi sasa ni P...d
Wakati ule msichana Mafuta REIZ sasa mafuta Lotion/Body cream
Wakati ule nywele mwanamke anachoma, sasa mwanamke anaweka dawa dawa kuanzia sh. Elfu kumi bado hujaenda saloon.
Wakati ule Kucha hazibandikwi ni hina tuu kwa kwenda mbele, sasa kucha za kubandika na Rangi bado hujamlipa wakukutengeneza.
Wakati ule Kope hakuna za kubandika sasa Kope za kubandika kuanzia elfu 10,000
Wkt ule pichu ikikatika mpira unaweza ifunga au ishona sasa huwezi

Wakati ule TV hadi ukaangalie kwa JIRANI au uende Sinema now Tv nyumbani king'amuzi unalipia.

Inshort angalia mabadiliko ya technolojia na gharama ndipo utapata jibu kwanini hela inahitajika sana wakati huu...Km umezaliwa jana basi uliza baba yako alivyokuwa anaishi enzi zile na sasa maisha yakoje..

Au sikiliza wimbo wa Wati wa ujana wangu mimi baba yenu, sukari dukani shilingi mia unapata, sasa hivi shilingi mia hata mboga hupatiii

so hizo gharama unataka mwanaume akugharamikie au wanaume wakughramikie????
 
mnalalamika nini? c na nyie mtafute pesa kwani wenye nazo wana macho saba? mnadai tunapenda vya rahisi mbona nyie mnapenda rahisi kuwa na mwanamle wakat huwezi kumhudumia!??
unataka uhudumiwe wewe gari???tafuta pesa ujihudumie,sasa mnataka haki sawa,mwanamke anayetaka usawa afikirie na kujihudumia
 
Back
Top Bottom