Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kwa kweli wanaume wenye pesa wana wakati mgumu kwenye suala la mahusiano
 
Ukiwa na hela unampata mwanamke umtakae, swala ni kiwango tu na class yako. Swala la kupata akupendae "kiukweli" (whatever that means) ukiwa na hela ni vigumu sana kujua mpaka pale utakapokua huna.
Lakini hakuna raha kama umapte mwanamke kabla hujawa na hela nyingi, au mkawa sawa, au kakupita halafu baada ya mda wewe mwanaume ukaanza kuwa na hela zaidi yake halafu uwe umempenda!

Aisee uta enjoy maisha sana! Mapenzi + Hela = Ultimate Happiness!

Ila tu kidume usianze dharau za kutaka kum replace mamaa!
 
Inashangaza sana watu wengi kufikiri kwamba ukiwa na pesa huwezi pata mapenzi ya dhati, si busara kufikiria kwamba wanawake wote wanafuata pesa kwa wanaume ingawaje wengi wao financial security ni priority, kwa iyo mwanaume mwenye pesa hana chochote cha kumattract mwanamke zaidi ya pesa zake?. kwani hamjawahi ona watu na pesa zao wanakataliwa na wanawake ambao hawana kitu.
 
.mmmhh kuna mwingine anakuwa na pesa lakini hatoi ili kukupima tu akili yako so unatakiwa unate na beat tu
 
Kwanza unaweza pata mwanamke umtakaye na hii sasa inakupa wigo mpana wa kuweza kupata mapenzi ya kweli!!!!!

Lifestyle yako ndio dira yako kupata yote hayo!!!
 
Yaani siku hizi mwanaume kama huna hela wanawake wazuri na warembo utabaki kuwaita mashemeji tu... hivi sababu hasa ni nini ... ni ulimbukeni wa wanawake au ni ugumu wa maisha!?
 
Back
Top Bottom