Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mkuu swali gani sasa hili unauliza?Ni sawa na kutuuliza kiongozi wa Catholics ni Papa au Maulamaa!

Mapenzi ya sasa kiasi kikubwa ni pesa ndiyo yanakuja maelewano!Kama hauna pesa hata nafasi ya kufanya maelewano hupati
 
mnalalamika nini? c na nyie mtafute pesa kwani wenye nazo wana macho saba? mnadai tunapenda vya rahisi mbona nyie mnapenda rahisi kuwa na mwanamle wakat huwezi kumhudumia!??


atoto
bado tu., hujambandilika na ile misimamo yako.
 
Last edited by a moderator:
Nafurahi ktk maisha yangu sijawahi kupata mwanamke wa bure bila kuhonga (including my wife wangu wa ndoa, mpaka leo ananichuna kwa sana tu, afadhali hata kabla hatujaoana), kwa karne hii ukipata wa bure, eti amekupenda tu ujue huyo ni mchawi au jini. Anaweza kukupenda kutokana na good looks lakini hiyo ni for public display/showbiz, nyuma ya pazia kila mwenye feza anweza kumla bila matatizo.

da kaka nikweli mana ukimtongoza tumwanamke kesho anakuomba vocha ukijifanya mgumu umepoteza
 
Mapenzi sio pesa ila ili upate pabachu lazima utoe pesa.ndo maana ukienda hata ktk pande za uhayani unanunua fast fast kaka.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom