weka picha.
Mapenz mkuu pesa inahitaji indirect n direct way
Bibi na babu hawakuwa hivyo kwa sababu walikuwa analog sasa kidigital zaidi,Pesa kwanza mapenzi yatakuja tu automatically.
Siku hizi unajifichia wapi jamani?
kwa hiyo,akiwa na pesa unampenda,akiishiwa unaenda kwa mwenye pesa mwingine,
sasa utakua na wangapi? Kwanini usivumilie?
Unataka tupeane uzoefu gani?Wa kula maharage na dagaa?au jinsi ya kumiliki vogue wakati huna kazi?????.......lol
Nipo kipenz majukumu hapa na pale
Miss u much wangu
Uzuri wa mwanaume pesa babu sura tutavumiliana.Unajua unapokuwa na mwanaume mwenye pesa baada ya muda mapenzi yaataanza Kuja tu taratibu hivo nitakumbuka fadhila nitavumilia tu.Ila nasisitiza pesa kwanza.
Salaaaam wote,
nimeweka hii mada ili tuweze kupeana uzoefu katika hili,huki mitaani
tunakoishi tunaona wenye fedha wakigegeda mabinti hata wanne kutoka
familia moja,ukiwauliza wanakwambia pesa kaa,wake za watu ndo usiseme"
akipewa lateni yaani elfu kumi,anaambiwa hiyo ya vocha.
Kesho anaipeleka papuch ikatifuliwe.
Wakusoma nao wa vyuo,wa sekondari ndo usiseme mtu anao wa shule kama
tano hivi hadi anawapangia zamu.
Tatizo nini DADA ZETU? Mbona bibina babu hawakua hivyo? Tena mahari
zilikua sahani na vikombe.
Kwani ukipanga chumba na sebule usafiri daladala mboga zako
dagaa,harage,tembele na ndim nyingi huwezi kuwa na mapenzi ya dhati?
Dada zetu badilikeni,msipende sana pesa,maelewano ndo mapenzi.
Wachangiaji twende kazi.

tutalalamika sala ila acheni hela iitwe hela kwa wakati huu.... mi nkigongewa na jamaa mwenye hela ata silalamiki!!!