Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Pesa huendesha maisha,Bali mapenzi huendeshwa na upendo,hakuna pesa hakuna maisha,hakuna upendo hakuna mapenzi labda ngono!
 
Wanawake wemekuwa waajabu sana mwanaume huna pesa anakusaliti ila pata hela utaona anarudi kwako.jamani waugwana huu ni huniugwana kweli???
martin tujuze yalokusibu kuliko kuendelea kuumia moyoni, hili jamvi ni darasa tosha
 
Last edited by a moderator:
Utapata mwanamke mwenye mapenzi ya hela yako siyo mwenye mapenzi na wewe!!!
 
Salam wote.
Nimeweka hii mada ili tuweze kupeana uzoefu katika hili, huku mitaani tunakoishi tunaona wenye fedha wakigegeda mabinti hata wanne kutoka familia moja, ukiwauliza wanakwambia pesa kaka, wake za watu ndo usiseme" akipewa elfu kumi, anaambiwa hiyo ya vocha.

Kesho anaenda kulala nae.

Wakusoma nao wa vyuo, wa sekondari ndo usiseme mtu anao wa shule kama tano hivi hadi anawapangia zamu.

Tatizo nini DADA ZETU?

Mbona bibi na babu hawakua hivyo?

Tena mahari zilikua sahani na vikombe.

Kwani ukipanga chumba na sebule usafiri daladala mboga zako dagaa, harage, tembele na ndimi nyingi huwezi kuwa na mapenzi ya dhati?

Dada zetu badilikeni, msipende sana pesa, maelewano ndo mapenzi.

Wachangiaji twende kazi.
 
Hapo ni tamaa ya kuishi maisha mazuri bila kutumia nguvu na akili. Vijana wa siku hizi hawapendi tabu kabisa. Pesa ikipatikana kwa kazi ya saa 2 tu tena za raha wanaona hapo ndio penyewe. Hata wa kiume unakuta wanajitupa kwa mijimama yenye pesa ili alelewe na kazi yake ni kulitifua lijimama hadi liridhike basi. Hawawazi miaka 2,5,10 au 20 ijayo maisha au future yao itakuwaje.
 
  • Thanks
Reactions: kui
tutalalamika sala ila acheni hela iitwe hela kwa wakati huu.... mi nkigongewa na jamaa mwenye hela ata silalamiki!!!
 
Back
Top Bottom