Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

kama maneno haya yanatoka moyoni kwako na umeyatoa kwa dhati kabisa ya moyo wako,bila ya kushawishiwa na mtu na wala sio kutafuta umaarufu hapa mmu,basi wewe ni mwanamke hatari sana.
Yaani wewe mwanamke weka mbali na wanaume kabisa.

Hahahaa tatizo hamtaki kuambiwa ukweli lkn huo ndo uhalisia wa karne ya sasa.Na ndo maana hata wewe ukaleta huu uzi ndo mjipange msiokuwa na hela.Na msipojipanga tutawapanga.
 
Hahahaa tatizo hamtaki kuambiwa ukweli lkn huo ndo uhalisia wa karne ya sasa.Na ndo maana hata wewe ukaleta huu uzi ndo mjipange msiokuwa na hela.Na msipojipanga tutawapanga.

hela tunazo,ila tunataka maisha halisi,nataka hata kama umenikuta nauza maji kwenye mokoteni unipende hivyo,sip hadi nikuambie nna nyumba sits na coaster tatu ndo unipende no,
utakua umependa mali zangu sio mimi.
 
mnalalamika nini? c na nyie mtafute pesa kwani wenye nazo wana macho saba? mnadai tunapenda vya rahisi mbona nyie mnapenda rahisi kuwa na mwanamle wakat huwezi kumhudumia!??
 
Miili yetu imechafuka, roho zimechafuka sana na nafsi zetu ni uwanja WA mipasuko karne hii ya 21!!!

KAMA TUCPO RUDI KWNYE HOFU NA MUNGU, basi mwisho WA ubaya wetu ni ADHABU TUU!!

Pesa haikuwahi kuwapo kabla ya mapenzi!!

LUV with fear of the Lord will even nourish existence of Money in luv, but never Money without fear of Lord will last long with Luv

wewe pesa ilikuwepo ila ilikuwa imejificha ktk ufahari wa edeni, kabla adamu hajaumbiwa eva alikuwa na kila kitu, sasa iweje nyie mtake kuwa na wanawake wakat hamna kitu!??
 
ukiweza kutoa kwacash wee fanya tu maana sisi tunaopenda bure tunaambulia usaliti tu. bora huyo alopata chochote kitu
 
Back
Top Bottom