Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mapenzi bila pesa HAYAPO hapa duniani labda ahera lkn NAPINGA habari kuwa ni mwanamme tu ndiye anayepaswa kumpa hela mwanamke!
 
Wadau najiuliza tu inawezakana watu wakapendana na kupeana mapenzi yote bila uwepo wa pesa kwa zama hizi?

mfano mimi nisiye kuwa na ajira miss Tanzania anaweza kunipenda tu na kukubali kuishi nami nandi ya kachumba kamoja ka kupanga?maana kwenye hadithi nyingi za mapenzi nikisoma husema mapenzi hayachagui na ni upofu.

labda wadau mnipe na uzoefu wenu.
Mawazo ya malofa haya, huna pesa unawaza mapenzi!! pole sana.
 
yani atakuwa anagonewa demu wake ... pesa mbele mapenzi badae ..[/QU
Hii yote inasababishwa na uharaka wa sis vijana, tunataka mambo makubwa ambayo sio saiz yetu. Watu watawezesha then watapita wewe utang'ang'ana na uboyfriend na ugirlfriend njaa
mimi huwa napinga hadi baadhi ya watu wana ni PM kunitukana ila msimamo wangu mapenzi na njaa amuna aisee
 
Wadau najiuliza tu inawezakana watu wakapendana na kupeana mapenzi yote bila uwepo wa pesa kwa zama hizi?

mfano mimi nisiye kuwa na ajira miss Tanzania anaweza kunipenda tu na kukubali kuishi nami nandi ya kachumba kamoja ka kupanga?maana kwenye hadithi nyingi za mapenzi nikisoma husema mapenzi hayachagui na ni upofu.

labda wadau mnipe na uzoefu wenu.

Hayawezekani,endelea tu kutafuta hela kwa bidii zako zote na kama utampata anaekupenda bila ya pesa huyo ni muongo kuwa naye makini.
 
achana na mawazo dhaifu wewe tafuta pesaaa! kama una ka chumba kamoja ka kupanga utapata wa kufanana na hako hako kachumba kamoja ka kupanga dont expect kupata beyond that.. think big man.
 
Wanasema mwanaume pesa bwana sura tutavumiliana. Sasa nawajibu kama mapenzi ni pesa kaolewe na benki. Eti kisa nimevaa sare zangu za ukolokoloni basi hata nikikusalimia hutaki...! Haya bana maana wamesahau kuwa pesa hurutubisha penzi lakini si kwamba pesa ndiyo kila kitu katika mapenzi. Haya ipo siku utakwenda kwa babu kulalamika kwa wanaume hawataki kunisalimi..! Kumbe umesahau umri wako umepita na sera yako ya chuna buz
 
Mr sex! Yn ndugu yangu amino usiamin sio kwa demn Wa Ktaa tu even Wa ndoa nshafanyaga utaft akiona kdume kiko rijali tu( yn unapesa) kiharage cha mwke knacmama auto.. Ataanza kujiptishaptisha kmikogo mwanzo mwsho.
 
Mr sex! Yn ndugu yangu amino usiamin sio kwa demn Wa Ktaa tu even Wa ndoa nshafanyaga utaft akiona kdume kiko rijali tu( yn unapesa) kiharage cha mwke knacmama auto.. Ataanza kujiptishaptisha kmikogo mwanzo mwsho.Hapo ataanza kuzpigia hesAbu kwa shda zake za kanga. Watasugua gaga had kiama dadek zao
 
kwani nini bwana, wengine waiotaka hata pesa utawapata......
 
Back
Top Bottom