SUZANE
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 740
- 502
Mwambie huyo lady doctor ataje bei ya papuchi yake. Si ajabu hata mpiga debe ata afford.
matusi hayooo!!! ngoja tuandamane...
Mwambie huyo lady doctor ataje bei ya papuchi yake. Si ajabu hata mpiga debe ata afford.
matusi hayooo!!! ngoja tuandamane...
wala hamna haja ya kuandamana my dia nishampa za uso hapo juu labda asijue maana yake
Mbona na wanawake nao wanatembea na houseboy, though wanaume wana hela ya kufa mtuulinganisho wa pesa kila mtu ana kiwango chake (maana mwingine anaweza kuona jamaa yake ana pesa kumbe kwa mwingine ni vijisenti)... wanaosababisha wanawake waone pesa ndo kila kitu ni ninyi wanaume wenyewe... maana utakuta mtu kakupenda ukiwa huna pesa mkaendelea vizuri na maisha yenu lakini inatokea unaanza kupata pesa unasahau upendo mliokuwa nao unatafuta wanawake wengine tu kwa sababu una pesa ya kuwapa maana umepata kiburi kwamba pesa ndo kila kitu... kwa hiyo ni NYIE WANAUME NDO MNASABABISHA PESA KUONEKANA NDO KILA KITU....
Jamani wanajamii tusaidiane kwa hili je pesa ndioo kila kitu katika mapenzii kwani me siwezi kukupenda bila pesa na wewe bila pesa huwezi kunipenda wat does dat pesa du wth love
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
wee wanaume hawaoni pesa kama kila kitu...wanaume wanaona pesa kama njia yakumpata mwanamke yoyote umtakaye
money can not buy love and love can not buy money, but money increases the chances of love and love decreases the needs for money.
When one is in love money is of less significance and when one lacks money for basic needs, love is often more at risk... Hii haina ubishi!!!
Wanajamvi, napenda kufahamishwa jambo hili, Hivi mapenzi bila pesa hayaendi?
sabab u ya kuuliza hivi ni kwamba, kila rafiki wa kike ninayekuwa nae demand ya kwanza ni hela, na kama ukimueleza ukweli au hali halisi kesho humuoni hata mawasiliano, huu ndio msingi wa swali langu😡
Asikwambie mtu, pesa ndo kila kitu katika mapenzi.
Kauli nyingine ni za 'maneno ya mkosaji tuu'
No Money No Honey