Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

To me money is not everything..it can't buy my love & happiness
 
Hela wapi? sound tu. mi nikikutongoza tu siku hiyo hiyo ya kwanza nakufahamisha mimi ni maskini, hivyo hela ya guest tunachangiana na sikupi hata kumi labda unipe wewe.

hahahaaa..!!!! Mimi huyo!!!!????
Kama sikupendi, sikupendi tu uwe masikiti, tajiri whatever...!!
 
To me money is not everything..it can't buy my love & happiness

Money can not buy love and love can not buy money, but money increases the chances of love and love decreases the needs for money.

When one is in love money is of less significance and when one lacks money for basic needs, love is often more at risk... Hii haina ubishi!!!
 
Huyu nakuwa nimemnunua sijamtongoza, nafika tu vipi upo powa? Yeah nipo powa, bei gani? Buku 3 bao moja, mpaka aubuhi bei gani? Elfu 20000. Haya twende. Basi kichapo.

Sasa wewe nikutongoze, nikupigie simu, nikununulie bia, nikununulie nyama choma, nilipe hela ya guest, nikufikishe kileleni, nitokwe majasho. BADO TU NIKULIPE?.

u can not buy love at most, hapo utakuwa umekodisha papuchi just kwa masaa unayotaka lakini si mtu ambae unaweza ishi naye na kushare naye life pamoja
 
to be honest, hata kama nakupendaje wewe kama kila siku hela huna unategemea nini?? eeh!! mie shekeli zinanisababisha nizidi kumpenda...
 
kwahiyo siku akianza kuishiwa automatically na wewe utaanza kuishiwa mapenzi na yeye?. kwani hela zimeanza kutumika lini?


to be honest, hata kama nakupendaje wewe kama kila siku hela huna unategemea nini?? eeh!! mie shekeli zinanisababisha nizidi kumpenda...
 
Kumbe mapenzi ni upendo, kumbe inabidi unipende kwanza. hela hata wewe unaweza kuzitafuta, fanya kazi, fanya biashara, usitegemee mwili wako.


hahahaaa..!!!! Mimi huyo!!!!????
Kama sikupendi, sikupendi tu uwe masikiti, tajiri whatever...!!
 
Kumbe mapenzi ni upendo, kumbe inabidi unipende kwanza. hela hata wewe unaweza kuzitafuta, fanya kazi, fanya biashara, usitegemee mwili wako.

me sitegemei mwili wangu kwaajili ya ku make money... Nategemea akili yangu katika kazi zangu halali...!

Ninachomaanisha ni kwamba sitegemei kudate na mtu wa hali ya chini ili aje kuwa mzigo na kero kwangu,

sikuzote mwanamme mwenye hali ya maisha ya chini ukimiunua wanakuja kuwa mbogo balaa.. Bora tukutane kila mtu yuko well kifedha.
 
alafu humu wanawake bwana ndio wenyewe kusema kuwa papichi zao zina bei lakini chakishangaza ukiwauliza taja bei oh mie sio malaya....kwani ukigegedwa na bf wako ndio makes u less of a malaya than anakaa kona bar....tajeni bei zenu bwana watu tugegede

Mwambie huyo lady doctor ataje bei ya papuchi yake. Si ajabu hata mpiga debe ata afford.
 
ITS ALL ABOUT CLASS!!!!!!!!!!!!!!!!! Mimi siwezi kugegedwa na mpiga debe hata awe na character ya malaika! It just aint cool!

So what im sayin is unaangalia kwanza kama mtu ni size yako au kazidi ndo evaluation zingine zinafuatia! Capish!!!!!!!

Class kitu gani wewe? Hebu taja hiyo thamani ya papuchi yako...si ajabu hata mpiga debe anaweza ku afford.
 
W H A T?????
naona umefika mbali ndugu, heshima nikitu cha bure!!

huyu@notifeki anakuwaga na mambo ya kimburula kweli maneno yake ni kama kinyleo kipo pa mdomo
ye akijibiwa mbofu mofu anaanzisha na thread
msamehe bure@lady doctor wangu
 
Ninachomaanisha mimi ni kuwa, pesa ni matokeo na hakuna asiye na pesa, tunazidiana tu. Unakuta mwanamke hajishughulishi na chochote yeye anasubiri mwanaume wake ndo amletee kila kitu na asipofanya hivyo mapenzi yanapunguwa. Tusiwe hivyo jamani.


Mwambie huyo lady doctor ataje bei ya papuchi yake. Si ajabu hata mpiga debe ata afford.
 
ulinganisho wa pesa kila mtu ana kiwango chake (maana mwingine anaweza kuona jamaa yake ana pesa kumbe kwa mwingine ni vijisenti)... wanaosababisha wanawake waone pesa ndo kila kitu ni ninyi wanaume wenyewe... maana utakuta mtu kakupenda ukiwa huna pesa mkaendelea vizuri na maisha yenu lakini inatokea unaanza kupata pesa unasahau upendo mliokuwa nao unatafuta wanawake wengine tu kwa sababu una pesa ya kuwapa maana umepata kiburi kwamba pesa ndo kila kitu... kwa hiyo ni NYIE WANAUME NDO MNASABABISHA PESA KUONEKANA NDO KILA KITU....
 
kwenye ulimwengu huu wa madada zetu kutawaliwa na tamaa ya vitu kwakweli pesa ndio mpango nmzima, hata hivyo wasio na tamaa wapo japo kwa uchache, wenye bahati zao wamepata wenye mapenzi ya ukweli na hao ndio wenye mahusiano endelevu.
 
Mapenzi bila pesa yanawezekana lakini Pesa ndio haswaaaa hunogesha penzi......natoa wito kwa kaka zangu waongeze bidii kutafuta hela kwani bila hela duniani ni shida Hasa kwa maisha ya mahusiano..

Kwani wanawake hawawezi kuongeza bidii kwa wale wafanyakazi ili baadaye waweze kuishi vizuri na familia yake? Huu mfumo wa gender equality kwa TZ unafanya kazi vipi .?


BACK TO TOPIC
bila pesa mapenzi hakuna tusidanganyane aisee ,
 
Hahaaaaaaaaaaaaa! Mambo ya digitali you surely need money to be loved!

Embu jaribu ukiwa umepaukaaa uwazukie wadada corporate wakipata lunch Marry Brown My dear even with a PHD and the best personality you wont get any!

But if you roll in well tailored suit, expensive shoes, designer watch n perfume, nice car, Blackberry Z 10 or I 6 or an S4 or both at ones, Trust me you will dine with the queens!

Though we long for thins we dont see like love, but we damn sure like what we see!!!!!!!!!!!!!!!




Na huu ndo ukweli na uhalisia wa kizazi hiki cha digitali.no money, no love.
 
Pesa siyo kila kitu katika mapenzi huu ni mtazamo tu wa watu wenye tupesa hebu fikiria watu walivyo na furaha kijijini na ndoa zao zimestawi mlo mmoja tena baada ya kushinda kibaruani akisaka huo mlo.....lakini wenye kutegemea pesa kunogesha penzi stress mtupu,kama unafikiri nasema uongo kawaulize mastaa wa kike waliokimbilia kumegwa/ kuolewa na wenye pesa sasa walisha achika,na wewe mwenyewe jiulize mbona boy/girl friend wako bado anamegwa na wengine pamoja na tu pesa twako.........Mapenzi its all about Upendo,upendo haundoki eti vile mmelala njaa au kuongezeka vile mmekula nyama.
 
Back
Top Bottom