Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Huo sio ukweli ila ni tamaduni mbaya tu iliyoibuka miongoni mwa wanawake...consequences zake ni kwamba ndoa nyingi za kizazi chetu zimekuwa zikiyumba...
Ushauri wangu ni kwamba tafuta mtu wa size yako ukiwa na hakika kuwa akupenda kwa namna ulivyo...
 
huo sio ukweli ila ni tamaduni mbaya tu iliyoibuka miongoni mwa wanawake...consequences zake ni kwamba ndoa nyingi za kizazi chetu zimekuwa zikiyumba...
Ushauri wangu ni kwamba tafuta mtu wa @size yako ukiwa na hakika kuwa akupenda kwa namna ulivyo...
je size hapa una maana kimo? Umri ama class? Yaani daraja la juu ama hohehahe
 
Mbona hilo jambo liko wazi kabisa . mpunga ndo habari ya mujini mengine (kama tabia ) ni mbwembwe tu za kunogesha ili siku ipite.
 
Wanajamvi, napenda kufahamishwa jambo hili, Hivi mapenzi bila pesa hayaendi?
sabab u ya kuuliza hivi ni kwamba, kila rafiki wa kike ninayekuwa nae demand ya kwanza ni hela, na kama ukimueleza ukweli au hali halisi kesho humuoni hata mawasiliano, huu ndio msingi wa swali langu😡

Rafiki wa kike ni neno pana na kila aina ya urafiki una mahitaji yake as well

Hit & run????
One night stand...
Just lovers if and when..
Side kicking?????
Girl friend..
fiance cum wife to be..

Hizo type zote zina mahitaji tofauti so kwa mtazamo wangu mchaguaji ni mwanaume mara nyingi hivyo usipojua unataka nini utakuja kupata usichohitaji na mwisho ulalamike kama hapa!!!!!!!
 
Unazungumzia pesa kwa kiwango gani? Makumi,mamia malaki mamilioni au? Maana hata miatano nayo ni hela so we hata buku huna? Ila c kweli baana! Mapenzi bila hela yanaenda tena saana! Sema we huwa unapata type ya wapenda pochi ukipata anayekupenda kwa dhati waaaala hatokukimbia eti kisa huna hela hao ni manung'ayembe!
 
ayaendi kwa sababu unatafuta ambao siyo size yako.
tafuta wa size yako japo utatoa tu ela lakin itakuwa ya kawaida kuliko ambao si size yako utatoa nyingi

Hili ndio neno

Huwezi kumpigia simu mpenzi wako akakuambia yupo sehemu anakula ukamwambia unampitia unafika mezani na bill inakuja just 8600/= Tsh...ubaki mkavu kabisa na umemfuata mwende kuvunja amri kama hamjaoana kisa nini eti pesa sio kila kitu!!!!!!!

Tender,love and care make a complete set of its own ,but when intercepted with cash more stable it becomes!!!!!!!


Wakulima wenyewe wanafanya vizuri kwenye uzalishaji mashambani kama wanapata pembejeo zenye ruzuku,sembuse mpenzi wa mjini!!!!!!!

Subsidization haikwepeki kwenye mapenzi unless its a cash and cary traffic
 
Inategemea farst aproch inakuaje kama unpromo nyingi itakula kwako kila sehemu ukigusa wadada siku izi wamewastukia wakaka hamtulii kwa iyi akikupata tu anataka achukue chake mapema anajua anapita tu kwako then utamzingua
 
Wanajamvi, napenda kufahamishwa jambo hili, Hivi mapenzi bila pesa hayaendi?
sabab u ya kuuliza hivi ni kwamba, kila rafiki wa kike ninayekuwa nae demand ya kwanza ni hela, na kama ukimueleza ukweli au hali halisi kesho humuoni hata mawasiliano, huu ndio msingi wa swali langu😡

Pesa sabuni ya roho Kaka, hayo mawasiliano bila pesa yatafanyika??? tafuta pesa upate rahaaaaaaaaa!
 
Wanajamvi, napenda kufahamishwa jambo hili, Hivi mapenzi bila pesa hayaendi?
sabab u ya kuuliza hivi ni kwamba, kila rafiki wa kike ninayekuwa nae demand ya kwanza ni hela, na kama ukimueleza ukweli au hali halisi kesho humuoni hata mawasiliano, huu ndio msingi wa swali langu😡

Ingekuwa mimi huu muda niliopost hapa ningeenda kutafuta au kuwaza namna ya kupata shekeli. Hela ni kila kitu kwa dunia ya leo (japo inasikitisha ila tufanyeje wakati walimwengu wameshatupeleka huko). Hela imepewa kipaumbele kuliko undugu siku hizi, hela ukiwa nayo utatembea na mwanamke/mwanaume yeyote chini ya jua kasoro mama yako tu, hela ukiwa nayo uko juu ya sheria, hela ukiwa nayo hata CCM unaweza kuinunua, hela hela, hela, sijui mwisho wake ni nini.
Ushauri: Mkatafiute hela kwani jua lilishageuka. ya mwaka 45 ukiyaleta au kuyawaza leo kila siku utakuwa wa kulalamika.
 
siku hizi watu hawapendi mwanaume suruali..........

ukimpata mdada who loves you as your consider urself LUCKY!!!!!!!!
 
Mimi saa nyingine kwa dada zetu hawa naona ni umaskini wa mawazo(kifikra)..kutotambua thamani ya mwanamke zaidi kuliko pesa......inashangaza sana mtu anakukimbia kisa una hela....ila bado anataka attension yako na anataka um-mle though yupo na mtu mwenye hela alzo kimbila...ndo mana nasema ni umaskini wa mawazo tu wakati mwingine....
 
Mkono mtupu haulambwi...mapenzi bila pesa jsmni hata matanuzi kidogo yanakuwa boring maana mnakuwa hakuna entertainment yeyote baina yenu wawili zaidi ya raha za kimwili.
 
je? wanaume wote 2kiorganise kila mschana anaeomba pesa ananyimwa hawatatoa penz had kufa kwao?
 
Iko siku mtakubaliana na ukweli tu
'
Endeleeni tu!
 
Back
Top Bottom