Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

kama umekutana na muuza mwili pesa ndo kila kitu, lakini kama umekutana na mpenzi basi nafsi ya pesa ni ndogo sana ili kukamilisha mahitaji ya msingi
 
Pesa is not an issue katika mapenzi,it just adds up some flavours.Ukimpenda mtu for money itafikia point utamchoka tu,kuna mambo mengine hayavumiliki hata kama unalalia pesa!
 
Class kitu gani wewe? Hebu taja hiyo thamani ya papuchi yako...si ajabu hata mpiga debe anaweza ku afford.

IN YOUR DREAMS BOY! IN YOUR WILDEST DREAMS If wishes were horses even baggers could ride.
 
ulinganisho wa pesa kila mtu ana kiwango chake (maana mwingine anaweza kuona jamaa yake ana pesa kumbe kwa mwingine ni vijisenti)... wanaosababisha wanawake waone pesa ndo kila kitu ni ninyi wanaume wenyewe... maana utakuta mtu kakupenda ukiwa huna pesa mkaendelea vizuri na maisha yenu lakini inatokea unaanza kupata pesa unasahau upendo mliokuwa nao unatafuta wanawake wengine tu kwa sababu una pesa ya kuwapa maana umepata kiburi kwamba pesa ndo kila kitu... kwa hiyo ni NYIE WANAUME NDO MNASABABISHA PESA KUONEKANA NDO KILA KITU....

wee wanaume hawaoni pesa kama kila kitu...wanaume wanaona pesa kama njia yakumpata mwanamke yoyote umtakaye
 
Mapenzi bila pesa yanawezekana lakini Pesa ndio haswaaaa hunogesha penzi......natoa wito kwa kaka zangu waongeze bidii kutafuta hela kwani bila hela duniani ni shida Hasa kwa maisha ya mahusiano..
Ndo nawawinda aisee nije ni burn paper trail chronicles na wabeibe...umenichekesha aisee😀
 
Mbona akina kaka peke yao?wewe unapingana na terms za beijing conference?sasa kama dependency in 100% kweli jinsia yenu itajikomboa?automatically jinsia yenu itaendelea kutawaliwa hadi mwisho wa dunia cos dependency ndo nature yenu and its in ur veins u inevitable u cannot deny it!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nilichokisema ni kile kinachoendelea mtaani, sasa ni vibaya kuiongelea hali halisi?wengi wanaoachwa as hawana hela ni wakaka.......binafsi naweza kuwa ni mfuasi wa beijing ila wenzangu je? kila siku mnachunwa mtaani.....sasa si ni heri mtambue tu mzitafute
 
hapo umemaliza kabisa, topic closed
Hahaaaaaaaaaaaaa! Mambo ya digitali you surely need money to be loved!

Embu jaribu ukiwa umepaukaaa uwazukie wadada corporate wakipata lunch Marry Brown My dear even with a PHD and the best personality you wont get any!

But if you roll in well tailored suit, expensive shoes, designer watch n perfume, nice car, Blackberry Z 10 or I 6 or an S4 or both at ones, Trust me you will dine with the queens!

Though we long for thins we dont see like love, but we damn sure like what we see!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyu@notifeki anakuwaga na mambo ya kimburula kweli maneno yake ni kama kinyleo kipo pa mdomo
ye akijibiwa mbofu mofu anaanzisha na thread
msamehe bure@lady doctor wangu

he is just, hijo de p**ta!!! Kama ameshazoea kutoheshimu watu hukohuko..!

Aandike sred zake na akiona haitoshi aandike mabango kabisa about Lady doctor atembee nayo...!
 
Ndo mana kugegedwa hakutaisha mnapenda vya kuona,sasa kama leo hii blacberry E 10 akitokea mshikaji wa E 11 wa e 10 sensibly itabd aachwe ndo sifa tu kitaa yule mdada anagegedwa hd sukari guru yake inaelekea kuisha!!-what I min kwamba no love hapa ni TAMAA na dhiki zenu zinawafanya mdharirishwe na kuwa dependant!!sorry for u all Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hivi ni kugegedwa au kugegedana? mbona siku hizi wanaume no wanagegedwa sana tu, hela wanatoa na kugegedwa juu Tunagegedana bwana hakuna anaegegedwa wala anaegegeda, raha mwapata wote
 
Back
Top Bottom