Kwa kweli Fidel kwa ndoa ambazo hazina mapenzi ya kweli ni utata tu. Huyu alogundua pesa na alaaniwe.
Mi ni Me umri haujaenda sana
Nina mpenzi wangu ambaye tumekua nae katika mahusiano tokea tuko advance, mpaka sasa nna kazi baada ya kumaliza chuo kikuu, mpenzi wangu nae kamaliza chuo lakini vyuo tofauti ye yuko nchini mi Nafanya kazi nje ya nchi lakini maisha yangu kiujumla yako Tanzania.
Sasa hvi ameniweka kidete tuende kwa wazazi tukajitambulishe.. NAMPENDA.. lakini Kanizidi umri kwa miaka miwili. hili jambo linaniumiza sana akili.
Niliwaza kuvunja mahusiano.. lakini alikua ali react tofauti sana... Yeye nikimuuliza kuhusu future ya family na hii age difference anasema kwake haoni kama ni tatizo.
Lakini kwangu nahisi ni tatizo.. tena ambalo laweza kua hata kubwa zaidi baadae. kulingana na mazingira yangu ya kifamilia(wazazi)
Kichwa kinauma nimwacheje?... au kama kuna wazo mbadala!.. Tafadhali wanajamvi.
umesema tatizo wewe ni kuwa amekuzidi umri....sasa hujaeleza y wewe kuzidiwa umri ni tatizo kwako. ebu nipe reasons zako?
sasa wewe tangia uko nae advance,chuo mpaka sasa mna kazi ulikuwa hujui umri wake? hukuona hiyo tofauti ya umri?? na unadai unampenda....NAHISI HUJUI ULITAKALO!!
Nahsi yapo mengi tuu kwa mtazamo wa KAWAIDA.Unahisi tofauti ya umri italeta matatizo gani huko mbeleni..........Kwa mtazamo wako lakini
Nahsi yapo mengi tuu kwa mtazamo wa KAWAIDA.
Mazingira ya wazazi kwanza ni tatizo hata kabla mi me personally ninavyo feel about it.
"No longer such a thing ya kudanganya umri. Kwa hyo huo mwonekano utakuepo wazi tuu.
Kwa maisha yetu ya kiafrika kuna vitu ambavyo vnatubana kimazingira na inabidi twendane navyo tuu.
Mi ni Me umri haujaenda sana
Nina mpenzi wangu ambaye tumekua nae katika mahusiano tokea tuko advance, mpaka sasa nna kazi baada ya kumaliza chuo kikuu, mpenzi wangu nae kamaliza chuo lakini vyuo tofauti ye yuko nchini mi Nafanya kazi nje ya nchi lakini maisha yangu kiujumla yako Tanzania.
Sasa hvi ameniweka kidete tuende kwa wazazi tukajitambulishe.. NAMPENDA.. lakini Kanizidi umri kwa miaka miwili. hili jambo linaniumiza sana akili.
Niliwaza kuvunja mahusiano.. lakini alikua ali react tofauti sana... Yeye nikimuuliza kuhusu future ya family na hii age difference anasema kwake haoni kama ni tatizo.
Lakini kwangu nahisi ni tatizo.. tena ambalo laweza kua hata kubwa zaidi baadae. kulingana na mazingira yangu ya kifamilia(wazazi)
Kichwa kinauma nimwacheje?... au kama kuna wazo mbadala!.. Tafadhali wanajamvi.
Nlitakalo nalijua vzuri.
Actually that is the mistake i'm talking about.
Leaving her as earlier as possible.
With university life sikuhisi ugumu wake saana. Nlijipa moyo wa kumuacha baadae.
Now baadae has just come. Tatizo ni kubwa than how i thought ingeweza kua.
Obvious mi ndie nlieboronga. Solution ya tatizo ndio inahitajika belinda.
Tatizo lako nimehsalijua bro...penzi liliisha zamani...kama lilikuwepo at first place.
Ushauri wangu ni "follow your heart" bora umuumize sasa hivi kwa kumwambia ukweli kuliko kuoa in the name of huruma badala ya love. Wewe wa kwanza kuacha bana...tena hata home hajatambulishwa...chapa lapa.
Hivi katika maisha haya ya saa hizi.. Inaonesha picha ghan pale mama anapomzidi baba umri katika familia?
Hapa najaribu kuwaza maisha ya baadae..sii ya sasa. Tuko pamoja saa hizi.
Naona ni uoga wako tu (kwa kuogopa wazazi na kuogopa hisia zako)...........Hebu fikria mlivyokuwa wapenzi nani alikuwa anawa-judge kwamba unazidiwa umri?.............!
Mbona ndoa ina mchanganyiko wa vitu vingi sana ukiacha umri na huwezi kupata vyote 100% na hamuwezi kuwa compatible 100%.
Chukulia kwamba huyo kwako ni mwanamke anayekufaa kwenye ndoa ukiacha kasoro 1 tu ya umri (ambayo haijasababishwa na yeye) .
Tatizo lako ni kwamba umeshaweka kwenye mind kwamba hutoishi naye kwa hiyo unatafuta justification (pengine bila kujua)........Hebu think positively about him utaona umri sio ishu kubwa