Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,181
- 166,178
Nasikia eti siku hizi na midume inalelewa, very funny
afadhali umuulizeSimu tu unamuanzishia thread, kwani ukinunua hutowasiliana nae?
Khaa! mwana wa laana weye, mwanaume anachuma ili akupe weye na raha msikie wote? kha umezid dhulumat we.
Yaani nakwambia ndio maana nikawa nasema itabidi tufanye tafiti juu ya nafasi ya pesa katika mapenzi (kiumweliukweli) kwa sababu hali inatisha kana inafikia hatua wanawake tunakubali kuchanganywa mpaka watatu wanne kisa bwana ana pesa basi ukimwi hautakaa uishe.
pesa ni pesa tu inapiga pande zote ingawaje kwa wanawake pesa inawadhalilisha sana,
Wana jamvi nilikuwa sehemu na rafiki zangu tukisindikiza siku, ikaja hoja ya kila mtu analalamika kuhusu mizinga kutoka kwa mabinti/dadaz/wasichana/wanawake. Tumejadilia aina za mizinga nawe ongeza kwenye list kila atakae kula tunda ajiandae Wallet kufunguka huwezi kukwepa hii mishale hapo chini labda ubake make kiukweli hatuwezi kuwa mbali na hili tunda.
Mizinga kwa rika
(a) Mabinti/dadaz - Skonga /Xcul
-Vocha
-Kununuliwa simu
-Nauli
-Pesa ya Salon.
(b) Wasichana- Higher learning/Jobless/Low income earners/Gold diggers.
-Vocha
-Simu
-Salon
-Kodi ya nyumba
-Nauli
-Usafiri
-Michango ya Send off na Harusi
(c) Wanwake - Married/Divorced/Separated/Single parent
- Vocha
-Simu
-Salon
-Kodi ya nyumba
-Ada za Shule kwa wanae au ndugu
-Pesa za vyama/vikundi
-Mtaji/Msingi wa biashara
- Nauli
-Usafiri
- Michango ya Harusi, Kitchen party
-Matibabu binafsi, ndugu au watoto
Kudadeki ukicheki hiyo list hapo juu utajua ni kwanini wanaume wanaitwa wanaume kisa kisukari nyama aka K.......
Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi?
Pesa unaweza ukaitumia kuvuta wapenzi wengi na wakakubali kutokana na pesa yako?
Ni kweli pesa ina mvuto katika penzi kuliko upendo wa moyoni?
Angalia pedeshee huyu hapa chini anavyo tumia pesa yake katika mapenzi,huyu jamaa tunaweza kusema aliwazalilisha hawa mabinti kwa kuwachezea ndimi na kila aina ya uchafu kutokana na njaa zao ya pesa walikubali huku wakikata kilaji.
Wanawake kweli mnakubali kufanyiwa hivi? Angalia warembo walivyo wazuri hao.
View attachment 4328
Pedeshee Pius Rutta 'Mzee wa Pamba' akibonyeza totoz Msasani Beach club.
View attachment 4329
Hapo Pedeshee akionekana katika malavidavi.