Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,714
Naungana na comment ya gfsonwin... Kutojiamini ndio problem kwako. Unahisi atakutawala? Au unaogopa marafiki zako watasema una sugamamy?..unaeoa ni wewe au hao ndugu na marafiki?? Isijekuwa umeshaona pengine sasa hapa unatafuta tu mtu wa kukutia nguvu ili ummwage yule vizuri..... Hebu kaa na ulinganishe kat ya mazur mliyowah kufanya pamoja na ukayakubali na hiyo shida ya umri unayoiona..halafu discuss na roho yako!
Last edited by a moderator: