Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nimekupenda bure
Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!

Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.

Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna

Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..

Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Umenena mamy yaani ni kheri uwe na mtu mzima anayetambua wajibu wake kwako kuliko hii mitoto ya mama kila siku inalialia tu ....sijui nani kawaroga hawa wanaume wa miaka hii ...........nakasirika sana nkiona mwanaume hajielewi dah
 
Hivi mwanaume wa kweli kabisa anaekupenda kwa dhati atashindwa kukuhudumia mpenzi wake?ukiona hakuhudumii huyo hana mapenzi nakuambia yupo anaempa badala yako.

Na mwanaume mwingine anajisifu kuhongwaaa....!whaaat?!!Tanzania hii!

Mimi siamini katika usawa baina ya me na ke!....
Mwanaume play ur part
Mimi sijasema Mwanaume asimhudumie mwanamke,hoja yangu imejikita katika tabia ya wanawake kupenda kuomba omba pesa kupita kiasi,mwanamke anaekupenda anapata wapi ujasiri wa kuomba pesa mara kwa mara?ukiona Hivyo ujue huyo Mwanamke ni chuma ulete,ila mwanaume nae anatakiwa ajiongezee kumhudumia mpenzi pale inapobidi bila kuombwa pesa.
 
Wao fikra zao kua uanamke ni kazi rahisi kumbee ni ngumu mnooo...

Mpaka yeye kakufata kawaacha wangapi ?!anajua hapo umefikaje?!!kwa nini asikupende na kukuthamini ya kweli..

Hatuombi pesa kua tunawachuna..hapana ni wajibu wako mwanaume utimize!
 
Mimi sijasema Mwanaume asimhudumie mwanamke,hoja yangu imejikita katika tabia ya wanawake kupenda kuomba omba pesa kupita kiasi,mwanamke anaekupenda anapata wapi ujasiri wa kuomba pesa mara kwa mara?ukiona Hivyo ujue huyo Mwanamke ni chuma ulete,ila mwanaume nae anatakiwa ajiongezee kumhudumia mpenzi pale inapobidi bila kuombwa pesa.
Kama hutoi utaombwa tu ndugu yangu tena bora anaekuomba kuliko apewe na mwanaume mwenziooo
 
Ni mdada kipindi flani niko choka mbaya!nilikuwa namtokea ila kila nikimuapproach ananipiga kizinga mara sijui lunch mara sijanywa chai najikuta nampa afu mi napiga ndefu!siku hiyo akanihurumia akanipa mzigo nilimchapa nao na kumkunja kiplan hadi akachanganyikiwa!hapo sasa nikaona ndo muda muafaka wa kumtema!!kila nikimkataa ananiganda ikabidi nimchane kwamba mi mambo yangu magum sihitaji uhusiano sasa hivi takupoteza tu!hakujali akawa anatimba magetoni anapika afu na mzigo napiga usiku kucha.akazidi kukolea kila nikitaka kumuacha analia kinoma nikaona acha niende nae mdogomdogo tamuachia njiani wapiii.ramani zangu zilipofunguka siku hiyo kanivamia geto akanikuta nakula manzi ingine!alilia hadi mwanamke mwenzie akawa amenigeuka na yeye kwanini namtenda mwanamke mwenzie!nikawatimua wote huyu mwingine alikuwa na chupi nikafukuzia mbali wote nikalala.kumbe yule demu wangu alilala hadi asubuhi hapo nje.asubuhi nafungua mlango namkuta!nikafunga nikaondoka.daahh ujana ulikuwa na mambo sana.
Hapo umeona umefanya La maana, ungelijua umeongea ujinga usingeongea huo upuuzi
 
Hivi mwanaume wa kweli kabisa anaekupenda kwa dhati atashindwa kukuhudumia mpenzi wake?ukiona hakuhudumii huyo hana mapenzi nakuambia yupo anaempa badala yako.

Na mwanaume mwingine anajisifu kuhongwaaa....!whaaat?!!Tanzania hii!

Mimi siamini katika usawa baina ya me na ke!....
Mwanaume play ur part
mmmmhh afu nyie mnaojifanyaga kutaka kuhudumiwa mara nyingi ndo shida zimewajaa mpka kwenye kope ndo mnaona mwanaume ndo sehem ya kupumulia.........

Nikuhudumie kwani mapenzi ni huduma au ni kupendana?
 
Ndio maana nikasema ilikuwa ujanani!nadhani akili za ujana huzijui??au we umetoka utotoni direct kwenye uzee???!!!afu unajiita binti wakati we ajuza una vitukuu
 
Hivi mwanaume wa kweli kabisa anaekupenda kwa dhati atashindwa kukuhudumia mpenzi wake?ukiona hakuhudumii huyo hana mapenzi nakuambia yupo anaempa badala yako.

Na mwanaume mwingine anajisifu kuhongwaaa....!whaaat?!!Tanzania hii!

Mimi siamini katika usawa baina ya me na ke!....
Mwanaume play ur part
Akuhudumie vipi mpenzi wake? Wewe ni mlemavu au?
To play my part doesnt mean to play YOUR part.
 
Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!

Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.

Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna

Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..

Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23] baada ya kusifiwa.....et "" naongezea nyama""

Nimecheka haki[emoji38]
 
mmmmhh afu nyie mnaojifanyaga kutaka kuhudumiwa mara nyingi ndo shida zimewajaa mpka kwenye kope ndo mnaona mwanaume ndo sehem ya kupumulia.........

Nikuhudumie kwani mapenzi ni huduma au ni kupendana?
Utajua mwenyewe niwe na shida nisiwe na shida shauri yako!!

Mwanaume timiza wajibu wako!ndo maana mwalelewa kwa kupenda slope nowadays!!
 
mpka hapo sikuwezi....hata nikikukuta mtaani umewaka kama princess diana....

ntafumba hata macho
 
Back
Top Bottom