Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Shunie wanaume wanaangalia, kuna watubwanastahili kupewa pesa. Yani you dont ask.....

Lakini kuna wadada wanakipato, wanajiweza, au ananjia za kupata pesa. Hawa hawastahili kupewa wala kuomba pesaa
Kwahiyo nina kipato ndio sistahili kupewa hela ahhahaha nacheka sana
 
Hivi mwanaume wa kweli kabisa anaekupenda kwa dhati atashindwa kukuhudumia mpenzi wake?ukiona hakuhudumii huyo hana mapenzi nakuambia yupo anaempa badala yako.

Na mwanaume mwingine anajisifu kuhongwaaa....!whaaat?!!Tanzania hii!

Mimi siamini katika usawa baina ya me na ke!....
Mwanaume play ur part
Aiseee
 
Back
Top Bottom