laz
Umri na uzoefu Mdogo unatusumbua, kila mtu anachangia according to uzoefu wake hivyo hatuwezi kupata fact. Ipo hivi inategemea na background ya mtu, tabia, insentives zake. Wengi wa wanawake waabudu pesa wamekulia maisha ya kimaskini, au uswahilini, au middle class life ambako pesa ndiyo tatizo. Wengi waliokulia kwenye afadhali pesa haziwi kigezo sio kwa sababu wana pesa hapana ni kwa sababu wanajua Luna vitu enjoyable zaidi kuliko pesa, wao wanataka mtu wa kumpenda, sex, kumsikiliza, kumheshimu, gentleman, nk. Hawa wanajua kuwa na pesa nyingi kunaambatana na shida zake, wengi wa wenye pesa hawana muda na wake zao, wapo under pressure muda mwingi, hawana amani muda mwingi anawaza kuvamiwa, kuibiwa, kodi, kufilisika nk.
Nimekuwa na wanawake zaidi ya 500, wa uswahilini sex for money na starehe, waliokulia wenye kipato hawahangaiki na mastarehe, mavazi, simu Kali, saloon, magari nk, wao wanataka a man to.love, hawa hata sex ya maana itabidi usiwe na haraka yaani inabidi vitu vingi umfundishe.