Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,152
Nipo hapa nawashikaji tunapiga stori mbili tatu, ghafla kuna prado inapaki mbele yetu anashuka mshikaji wetu Side ambaye tumefahamiana kutokana na mihangaiko ya hapa na pale huku yeye akiwa ni mgeni mtaani kwetu, mlango wa pili anashuka mwanamke "mkali sana" mweupe peee amepakata mtoto, mwanamke huyo amevaa kijigauni cheupee kimeishia magotini. Side anatusalimia pale na kututambulisha huyu ndo shemeji yenu, tunamsalimia kisha Side anampatia funguo funguo ya gari shemeji yetu na kuondoka zake.
tumebaki na Side tunapiga stori na kumsifia kwa kupata chombo kikali namna ile, wakati wa stori nikanukuu maneno haya mawili ambayo hadi sasa nayatafutia ukweli, Side alisema hawa wanawake ukitaka kuwadhibiti lazima uwe na vitu viwili kati ya hivi
.....Side ananyanyuka zake na kuondoka zake......

- Pesa za kumtunza
- Kukidhi haja yake ya mwili kikamilifu
.....Side ananyanyuka zake na kuondoka zake......