Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nipo hapa nawashikaji tunapiga stori mbili tatu, ghafla kuna prado inapaki mbele yetu anashuka mshikaji wetu Side ambaye tumefahamiana kutokana na mihangaiko ya hapa na pale huku yeye akiwa ni mgeni mtaani kwetu, mlango wa pili anashuka mwanamke "mkali sana" mweupe peee amepakata mtoto, mwanamke huyo amevaa kijigauni cheupee kimeishia magotini. Side anatusalimia pale na kututambulisha huyu ndo shemeji yenu, tunamsalimia kisha Side anampatia funguo funguo ya gari shemeji yetu na kuondoka zake.

tumebaki na Side tunapiga stori na kumsifia kwa kupata chombo kikali namna ile, wakati wa stori nikanukuu maneno haya mawili ambayo hadi sasa nayatafutia ukweli, Side alisema hawa wanawake ukitaka kuwadhibiti lazima uwe na vitu viwili kati ya hivi
  1. Pesa za kumtunza
  2. Kukidhi haja yake ya mwili kikamilifu
ukifanikiwa kwa hivyo, mwanamke yeyote hakupi tabu tena.
.....Side ananyanyuka zake na kuondoka zake......
Vyote kwa pamoja vinahitajika au hata kikiwepo kimoja wapo tu hasa namba 2?.
 
But kwa wale wasio nazo nahisi hawapati kabisa
Glass Amo,
Hapana kuhisi. Nitakuambia kitu kimoja, ukipenda amini usipopenda Acha.
Hakuna mwanamke papoja na hata wake za watu anaetoka ndani ya nyumba kwenda kokote! Kazini, Sokoni, chuo asiwaze kukutana na mtu msamaria atakaekutana nae ingalau asolve tatizo lake dogo moja Iwe vocha, nauli wenye tamaa Simu chochote! Tuseme wanawake unaowaona barabarani wana shida, ukimaliza shida Yake atakupenda!
Hapo pesa haijachukuwa nafasi?
 
Glass Among,
Hapana kuhisi. Nitakuambia kitu kimoja, ukipenda amini usipo usipopenda Acha.
Hakuna mwanamke papoja na hata wake za watu anaetoka ndani ya nyumba kwenda kokote! Kazini, Sokoni, chuo asiwaza kukutana na mtu msamaria atakaekutana nae ingalau asolve tatizo lake dogo moja Iwe vocha, nauli wenye tamaa Simu chochote! Tuseme wanawake unaowaona barabarani wana shida, ukimaliza shida Yake atakupenda!
Hapo pesa haijachukuwa nafasi?

Ndugu Kama ni hivyo basi
Sisi pangu pakavu Tia mchuzi hatuna nafasi kabosa katika mambo hayo.
Maana
Just imagen sina kipato cha kumpa hata vocha mim ntamfaa nini?
Ina maana hiyo chance watatunukiwa wenye hako ka uwezo.
Sasa Kama pesa nafasi take ni hiyo nahisi hayuna nafasi makapuku
 
Maana atateseka akijua,penye penzi la kweli hakuna kuangalia kipato.penzi LA unafiki siku zote pesa mbele,Zamani mama zetu waliolewa kwa kupenda na walikuwa wanalima kutosheleza familia,Leo kitu pesa mbele penzi nyuma,ukiona demu pesa mbele sepa achana nae,kwani pesa ni matokeo lakini penzi ni kama imani yako
Hahaha.
Ahsante Sana.
Waelewa Kama wew ni wachache sana
 
Ndugu Kama ni hivyo basi
Sisi pangu pakavu Tia mchuzi hatuna nafasi kabosa katika mambo hayo.
Maana
Just imagen sina kipato cha kumpa hata vocha mim ntamfaa nini?
Ina maana hiyo chance watatunukiwa wenye hako ka uwezo.
Sasa Kama pesa nafasi take ni hiyo nahisi hayuna nafasi makapuku
Mkuu ya kubahatisha utapata na sio ya kudumu
 
Pesa ndio kila kitu kwa mwanamke wa dunia hii atakuheshimu kugongewa kupo ila tofauti na ukiwa fukara utaachwa kabisa
 
Nipo hapa nawashikaji tunapiga stori mbili tatu, ghafla kuna prado inapaki mbele yetu anashuka mshikaji wetu Side ambaye tumefahamiana kutokana na mihangaiko ya hapa na pale huku yeye akiwa ni mgeni mtaani kwetu, mlango wa pili anashuka mwanamke "mkali sana" mweupe peee amepakata mtoto, mwanamke huyo amevaa kijigauni cheupee kimeishia magotini. Side anatusalimia pale na kututambulisha huyu ndo shemeji yenu, tunamsalimia kisha Side anampatia funguo funguo ya gari shemeji yetu na kuondoka zake.

tumebaki na Side tunapiga stori na kumsifia kwa kupata chombo kikali namna ile, wakati wa stori nikanukuu maneno haya mawili ambayo hadi sasa nayatafutia ukweli, Side alisema hawa wanawake ukitaka kuwadhibiti lazima uwe na vitu viwili kati ya hivi
  1. Pesa za kumtunza
  2. Kukidhi haja yake ya mwili kikamilifu
ukifanikiwa kwa hivyo, mwanamke yeyote hakupi tabu tena.
.....Side ananyanyuka zake na kuondoka zake......
Utumwa huu upumbafu mtupu
 
Hyo 1 n 2 inafanya kaz kwa hawa wadangaji
Lakini pia bado kuna shida hapo mbona hata wenye pesa wanalia kupigiwa!!
Labda kwa kua sijawahi kuwamini hawa watu...
Huyo side mwenyewe mpe mda tu atarud analia !! May b penz lao liko hatua za mwanzo
Hakua anaejua hua wanataka nini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Msingi Kiuno wataishia kuita shemeji tu kama mlivyotambulishwa na SIDE Mnyamwezi........ila asije kuwa yulr SIDE wa Temba
 
Unaweza kabisa kuwa na pesa lakini muuza genge akamvua picchu mkeo. Ingekuwa pesa ndiyo kila kitu ndoa za matajiri wakubwa duniani zisingevunjika.
 
Back
Top Bottom